Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / May

Monthly Archives: May 2017

KATIBU WA CCM MKOA WA ARUSHA AKUMBUSHA WAJIBU WA WATUMISHI

unnamed

Katibu wa ccm Mkoa wa Arusha Ndg. Ernest Mpanda (aliyesimama) akizungumza na watumishi wa Jiji la Arusha (hawapo pichani) katika Kikao Maalumu alichoitisha kuzungumza na watumishi hao. Katibu wa Ccm Wilaya ya Arusha Ndg. Ramadhani Dalo akiteta jambo na Katibu Mwenezi wa Ccm Mkoa wa Arusha Ndg. Shabani Mdoe wakati …

Read More »

WCF Tells Employers: Pay Contributions As Per The Law.

unnamed

The member of Workers Compensation Fund (WCF) Board of Trustees, Felix Kagisa (Center) officiating at the Sensitisation Seminar for Employers on the Rights and Obligations of employers and employees, held today (yesterday) in Dar es Salaam, On the Right side is The Director of Operation of WCF Ansilim Peter and …

Read More »

WAZIRI MKUU AHIMIZA UJENZI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU

unnamed

  *Ataka VIGUTA iende kwenye halmashauri, ihamasishe watumishi *Asema Watanzania wanataka nyumba bora, hawana muda wa kusimamia ujenzi            WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri za wilaya nchini ziangalie uwezekano wa kuwapatia watumishi wake nyumba za bei nafuu kwa malipo kidogo kidogo. Amesema Halmashauri za wilaya kupitia mapato ya ndani, japo …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA UJENZI WA NYUMBA

unnamed

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha za nyumba wakati alipotembelea Maonyesho ya Mpango wa ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Mei 30, 2017. Maonyesho hayo yameandaliwa na Muungano wa  Vikundi Vya Vicoba Tanzania (VIGUTA) .Kushoto  ni  Mwenyekiti wa Taifa wa VIGUTA, Dkt. Salmin Ibrahim …

Read More »

VIONGOZI WA DINI WAMPONGEZA KAMANDA SIRRO KUWA IGP

IMG_9905

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya Pamoja na IGP Simon Siro kushoto na aliyekuwa IGP Ernest Mangu  aliyemaliza muda wake ikulu mara baada ya IGP Simon Siro kuapishwa mwanzoni mwa wiki hii. …………………………………………………… Na Jonas Kamaleki- MAELEZO Viongozi wa Dini hapa …

Read More »

Elimu zaidi inahitajika kuhifadhi mazingira nchini

maz

WAKATI Mataifa mbalimbali yanaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani yanayofikia kilele chake hapo Juni 5, 2017, takriban hekta 372,000 za misitu hupotea kila mwaka nchini Tanzania kutokana na shughuli mbalimbali. Mwandishi Beatrice Lyimo wa Idara ya Habari – MAELEZO anaelezea zaidi. Kwa miaka mingi siku ya Mazingira duniani imekuwa ikiadhimishwa kwa Wadau …

Read More »

TAIFA STARS KUANZA KUFANYA MAZOEZI USIKU

6

Madaktari wa Taifa Stars, Dk. Gilbert Kigadye (aliyesimama kushoto) na Dk. Richard Yomba (aliyesimama kulia) wakitoa maelekezo ya chakula hitajika kwa baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars. Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga akikagua mizigo mara baada ya kuripoti kambi ya Tolip Sports City, Alexandia, Misri. Kocha Mkuu wa …

Read More »

SERIKALI KUENDELEA KUPAMBANA NA KILIMO CHA MIRUNGI

OTH_1290

Frank Mvungi-Maelezo Serikali imetangaza kuendesha operesheni ya kuteketeza mashamba ya mirungi kote nchini ikiwa ni mkakati wa kupambana na dawa za kulevya. Hatua hiyo inafuata baada ya kuteketeza mashamba ya bangi zaidi ya 150 yenye ukubwa wa ekari 165 katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na …

Read More »