Friday , March 22 2019

Home / 2017 / May / 01

Daily Archives: May 1, 2017

LUKUVI AMPA SIKU SABA MBUNGE KULIPA KODI YA ARDHI

index

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi amemtaka mbunge wa kwimba Mhe. Shannif Mansuri alipe kiasi cha shilingi million 529 ambayo ni malimbikizo ya Kodi ya pango la ardhi  tangu mwaka 2010 ndani ya siku saba. Waziri Lukuvi amesema hayo alipokuwa katika ziara yake Mkoani Mwanza …

Read More »

MKURUGENZI MKUU WA WCF MASHA MSHOMBA AWAHAMASISHA WAAJIRI KUJISAJILI NA MFUKO HUO, WAUNGANA NA WENZAO KUADHIMISHA MEI MOSI, MOSHI NA DAR ES SALAAM

UF3A0333

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (Workers Compesation Fund – WCF), Masha Mshomba, (pichani) amewahamasisha waajiri nchini kujisajili katika mfuko huo kwani mkombozi mkubwa kwa waajiri na wafanyakazi. Mshomba ametoa rai hiyo leo wakati wa siku ya wafanyakazi duniani ‘Mei Mosi” iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Ushirika Moshi …

Read More »

BOSI MPYA SHIRIKA LA POSTA AJA NA MATUMIZI YA TEHAMA

bo2

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusu ujio mpya wa Posta ya Kidijitali ofinini kwake leo Jijini Dar es Salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio mpya wa Posta ya …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI ZILIZOFANYIKA MOSHI MKOANI KILIMANJARO

MEI1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo nchini yamefanyika Kitaifa katika Chuo cha Ushirika, Moshi Mkoani Kilimanjaro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe …

Read More »

SERIKALI YAAHIDI NEEMA KWA WAFANYAKAZI

LIK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika kilele cha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. ………………………………………………………………… Na Nuru Juma, Husna Saidi – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Read More »

RAIS WA ZANZIBA MH. DK SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEIMOSI) MAHONDA

KAN7

Masheha wa Kaskazini Unguja wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), wakati wa maandamano  katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Read More »

MGALU: WANAWAKE WAUNGANE , WACHAPE KAZI KUJIINUA KIUCHUMI

MG1

Mbunge wa viti malum mkoani Pwani, Subira Mgalu mwenye kitambaa kichwani akitembelea bidhaa mbalimbali zaywajasiriamali kwenye uzinduzi wa umoja wa kikundi cha Pwani Generation Queens. (Mwamvua Mwinyi)  Mbunge viti maalum mkoani Pwani, Subira Mgalu akizungumza wakati wa uzinduzi wa umoja wa kikundi cha Pwani Generation Queens, uliofanyika Triple J, Pichandege …

Read More »