Ukisema mambo yanaanza kunyooka, baada ya mashabiki wengi wa KRC Genk kuonyesha imani kubwa kwa mshambulizi, Mbwana Samatta. Samatta anaonekana kuwa bora zaidi kutokana na kuwa tegemeo katika kikosi cha Genk cha Ubelgiji. Imeonekana mmoja wa shabiki akiwa na bango uwanjani, akiomba jezi ya Samatta. Imekuwa kawaida kwa mashabiki wa …
Read More »Daily Archives: May 2, 2017
VIDEO:NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA
WAZIRI LUKUVI AZINDUA MPANGO KABAMBE MTWARA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evodi Mmanda Baada ya kuwasili mkoani humo. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akizindua mpango kabambe mkoani Mtwara na Mkukabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara …
Read More »MWAJIRI NA MWAJIRIWA SI MTU NA ADUI YAKE; DKT NCHIMBI.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akimkabidhi afisa wa usalama kutoka shirika la TANESCO Mkoa wa Singida Juma Mauba zawadi ya cheti na TV flat screen baada ya kuchaguliwa kuwa mfanyakazi bora mwaka 2017. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akiwa ameshikama na Mwenyekiti wa Shirikisho …
Read More »SERENGETI BOYS YAPANGIWA LIBREVILLE
Timu ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kwa jina la Serengeti Boys, imebadilishiwa kituo kutoka Port Gentil na sasa imepangiwa Libreville. Serengeti Boys imepangwa kundi B pamoja na timu za Niger, Angola na Ethiopia ambako watafungua nayo mchezo Mei 15, mwaka huu. Kwa mabadiliko …
Read More »LIGI KUU YA VODACOM BARA KUENDELEA JUMAMOSI NA JUMAPILI
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea Jumamosi Mei 6 na Jumapili Mei 7, mwaka huu kwa jumla ya michezo sita. Kwa mujjibu wa ratiba, michezo ya Jumamosi kutakuwa na michezo mitano ilihali Jumapili kutakuwa na mechi moja. Michezo ya Jumamosi itakuwa ni kati ya Toto African na …
Read More »WAHAMIAJI HARAMU 411 WAKAMATWA BAGAMOYO ,KIPINDI CHA MIEZI SITA ILIYOPITA
Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo, akizungumza jambo baada ya kupatiwa taarifa ya kuingia kwa wahamiaji haramu 72, huko Bagamoyo Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, alhaj Majid Mwanga akitolea ufafanuzi tatizo la wahamiaji haramu wilayani hapo. (picha na Mwamvua Mwinyi) Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo Jeshi la polisi limewakamata …
Read More »VIDEO : MAMBO MANNE ALIYOZUNGUMZA MBUNGE WA JIMBO LA MADABA MH. JOSEPH MHAKAMA.
Kutoka kushoto ni Mh.Rashidi Shangazi mbunge wa jimbo la Mlalo Wilaya ya Rushoto mkoani Tanga katikati ni Rauph Mohamedi mtangazaji wa Ruvuma TV na wa mwisho aliyeshika mic yenye nembo ya Ruvuma Tv ni Mh.Joseph Mhagama mbunge wa jimbo la Madaba mkoani Ruvuma. ———————— Mbunge wa Jimbo la Madaba mkoani …
Read More »TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA
WATU WAWILI WAMEUAWA NA FISI NA WENGINE WATANO KUJERUHIWA WILAYANI SENGEREMA. MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUPATINA AKIWA NA NOTI BANDIA WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 01.05.2017 MAJIRA YA SAA 9:00HRS KATIKA KIJIJI CHA NYASHANA KATA YA KALEBEZO WILAYA YA SENGEREMA MKOA WA MWANZA, WATU WAWILI …
Read More »TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa …
Read More »FAINALI YA KOMBE LA FA,SIMBA NA MBAO FC KUPIGWA MJINI DODOMA MEI 28.
Hatimaye fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mbao FC dhidi ya Simba itafanyika Mei 28 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Msemaji wa TFF, Alfred Lucas amethibitisha kwamba uwanja utakuwa ni Jamhuri. “Kweli ni Jamhuri, awali ilikuwa ni droo lakini sasa moja kwa moja tumetangaza Jamhuri,” alisema leo. Awali, …
Read More »MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA TANO MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 2, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt,Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na …
Read More »WAZEE WA CCM Z’BAR WATOA WAMPONGEZA DR.SHEIN NA KUTOA MAPENDEKEZO MAZITO.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CCM Zanzibar, Bi.Khadija Jabir akizungumza na waandishi wa Habari juu ya kumpongeza Dkt.Shein huko Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui . Mmoja wa Wazee wa Chama hicho, Bw. Haji Machano akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya kikao hicho. Baadhi ya waandishi wa habari na …
Read More »Madaktari Hospitali ya BLK India Watembelea Muhimbili leo
Mkurugenzi wa Utumishi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani ambaye anamwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Profesa Lawrence Museru – kizungumza na madaktari kutoka Hospitali ya BLK ya India wanaohusika na upandikizaji wa figo na wataalamu wengine. Kutoka kulia ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa mfumo wa Mkojo, Dk …
Read More »JIJI LA ARUSHA LANUFAIKA NA MIRADI YA BARABARA, ELIMU NA AFYA .
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo afungua barabara ya Mahakama – St. James wakati wa ziara yake Jijini hapa. Jiwe la Msingi lililowekwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye barabara ya Mahakama – St. James Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(Pili kulia) akiwa na Mkuu …
Read More »MASAUNI AFANYA KIKAO NA WAJUMBE WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wajumbe wa Baraza lake pamoja na Wadau wa Kampuni ya Afritrack ambayo iliwasilisha katika kikao hicho Mfumo wa Ulipaji wa Tozo wa Papo kwa Papo kwa …
Read More »TUME YA UCHAGUZI YASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akiwaameshikabango wakati akiongozamaandamano yawafanyakazi wa Tume kushirikiMaadhimisho ya Siku ya WafanyakaziDunianikwa mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika uwanja wa Uhuru. Baadhi ya wafanyakaziwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani …
Read More »SERIKALI YAAHIDI KUSHUGHULIKIA HUDUMA BURE ZA AFYA KWA WENYE ULEMAVU
Na Husna Saidi & Nuru Juma- MAELEZO Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kushughulikia suala la huduma za afya bure kwa watu wenye ulemavu. Hayo yamesemwa leo Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na …
Read More »MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI DUNIANI KWA WAFANYAKAZI WA ZANTEL
Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama barabarani wa Wilaya ya Kinondoni, ACP Theopista Mallya akizungumza na wafanyakazi wa Zantel walipomtembelea katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki mara baada ya wafanyakazi hao kukamilisha matembezi mafupi ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama mahali pa …
Read More »RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe …
Read More »RC MARA AWATAKA WAFANYAKAZI KUTOA HUDUMA BORA
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk. Charles Mlingwa akiwa katika banda la Idara ya Elimu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti katika maadhimisho ya Mei Mosi kimkoa Wilayani Serengeti. Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Ndugu Nurdin Babu akiongea jambo katika maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika Kimkoa katika Wilaya ya Serengeti. …
Read More »RAIS DKT. MAGUFULI AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …
Read More »Wafanyakazi TBL Group washiriki maandamano ya Mei Mosi na ujumbe mzito kuelekea uchumi wa viwanda
Wafanyakazi wa kampuni ya TBL Group wameungana na wafanyakazi wa taasisi nyingine kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo kwa hapa nchini ilifanyika mkoani Kilimanjaro ambapo mgeni wa heshima alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.John Magufuli. Katika kuadhimisha siku hiyo muhimu kwao wafanyakazi walishiriki katika maandamano yaliyofanyika sehemu …
Read More »STAR MEDIA TANZANIA YACHANGIA SERENGETI BOYS
Kampuni ya Star Media Tanzania imekabidi hundi ya shilingi milioni ishirini (20) kwa Waziri Wa Habari Utamaduni Na Michezo Dk.Harisson Mwakyembe katika harambee ya kuchangia timu ya vijana wenye umri wa chini ya miaka kumi na saba Serengeti Boys iliyofanyika April 30, 2017 katika ukumbi wa JK Nyerere Convetion Center. …
Read More »Overcome Composing Be troubled using this corporation. Troublesome occupations are painless using this type of specialist assistance
Overcome Composing Be troubled using this corporation. Troublesome occupations are painless using this type of specialist assistance For undergrads who may have a difficulty with composing, this can be particularly troublesome, considering the fact that there sound to finish up content articles and papers in any previous program, and other …
Read More »RC NDIKILO -WAFANYAKAZI WAJITUME KWENDA NA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, amewaasa wafanyakazi kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wajitume ili kuhakikisha dhamira ya serikali ya awamu ya tano ya Tanzania ya viwanda inafanikiwa. Alisema wakati serikali inatekeleza kwa vitendo ujenzi wa viwanda katika maeneo mbalimbali ya …
Read More »KAMPENI YA “NG’ARISHA NZENGO, UCHAFU NUKUSI” YAZINDULIWA JIJINI MWANZA.
Mei Mosi 2017, umefanyika uzinduzi wa kampeni ya “Ng’arisha Nzengo, Uchafu Nuksu” inayoratibiwa na 102.5 Lake Fm Mwanza @lakefmmwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo. Kampeni inalenga kuhamasisha jamii kuweka mazingira katika hali ya usafi muda wote huku Wananzengo wa minadani wakipata fursa ya kipekee. Endelea kuitegea sikio 102.5 #LakeFm Mwanza kwa burudani na …
Read More »SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHKAMILE WALIPA FAINI NA KUFUNGULIWA MAJI.
Wananchi wa Kijiji cha Mwasikamile ambao ni Wakulima wa mashamba ya mpunga ya Mwashikamile wakishirikiana kwa pamoja kufungua mfereji wa kupitishia maji ili kumwagilia mashamba yao baada ya kulipa faini waliyotozwa na Kikosi kazi cha kunusuru ikolojia ya Mto Ruaha. Mwenyekiti wa Kikosi cha Kitaifa cha kunusuru ikolojia ya Mto …
Read More »SHAKA AWATAKA VIJANA KUCHAGUA VIONGOZI IMARA,SHUPAVU NA WACHAPAKAZI
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Mpanda Na Mwandishi Wetu, Katavi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi umesema wakati huu chama na jumuiya zake kukiwa katika hekaheka za uchaguzi kimewataka wanachama kujitokeza waaamue kidemorasia kumchagua kiongozi yeyote …
Read More »