Tuesday , January 22 2019

Home / MICHEZO / FAINALI YA KOMBE LA FA,SIMBA NA MBAO FC KUPIGWA MJINI DODOMA MEI 28.

FAINALI YA KOMBE LA FA,SIMBA NA MBAO FC KUPIGWA MJINI DODOMA MEI 28.

simba-vs-mbao-fc_dhgu8a1ys6nq1ny5m5d92i0r2

Hatimaye fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mbao FC dhidi ya Simba itafanyika Mei 28 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Msemaji wa TFF, Alfred Lucas amethibitisha kwamba uwanja utakuwa ni Jamhuri.

“Kweli ni Jamhuri, awali ilikuwa ni droo lakini sasa moja kwa moja tumetangaza Jamhuri,” alisema leo.

Awali, kupitia mitandao ya kijamii, Rais wa TFF, Jamal Malinzi alitangaza uwanja utakaochezewa mechi utapatikana kupitia droo.

Malinzi alisema droo itafanyika ndani ya siku chache zijazo jambo ambalo lilizua mjadala mkubwa kati yake na mashabiki ambao walioenkana kumshangaza.

About Alex

Check Also

AA

LIVERPOOL ‘MOTO HAUZIMIKI’ YAICHAPA 4-3 CRYSTAL PALACE

Sadio Mane akiifungia bao la ushindi Liverpool dakika ya 90 na ushei ikiilaza¬†Crystal Palace 4-3 …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

seventeen − fourteen =