Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / May / 03

Daily Archives: May 3, 2017

SIMBA YAKIMBILIA FIFA KISA MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR

aveva2

Klabu ya Simba imesema kuwa, itapeleka malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kutokana na kudhulumiwa mchezaji wao, Mbaraka Yusuph anayekipiga kwenye kikosi cha Kagera Sugar.   Rais wa Simba, Evans Aveva, ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari huku akiwa na leseni mkononi ya mchezaji huyo …

Read More »

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI MHE. UMMY A. MWALIMU , KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2017/18

PIX 5-Waziri wa afya akiongea

                            UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge lako Tukufu, ambayo imechambua Bajeti ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, naomba sasa kutoa hoja kwamba Bunge lako likubali kupokea na kujadili …

Read More »

Ufinyu Wa Bajeti Ni Kikwazo Kwa Huduma Za Uzazi Wa Mpango

8

 Ufinyu wa bajeti kwa ajili ya huduma za uzazi wa mpango imekuwa ndicho kikwazo kikuu katika kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi hapa nchini ambapo katika miaka sita iliyopita kiwango cha juu sana kilichotengwa na kutolewa kwa mwaka ni shilingi bilioni tano tu. Hayo yameelezwa na Dkt. Faustine Ndugulile, ambaye ni …

Read More »

WAANDISHI WATAKIWA KUTUMIA KALAMU ZAO VIZURI.

1-2

Na Nuru Juma & Husna Saidi- MAELEZO Waandishi wa Habari nchini wametakiwa kuzingatia kanuni,sheria na taratibu za uandishi katika kuandika habari zitakazoleta umoja,mshikamano na maendeleo na siyo uchochezi ili kujenga jamii bora. Hayo yamesemwa leo  Jijini Mwanza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Harrison George Mwakyembe kwa niaba …

Read More »

BONANZA LA AFYA KWANZA LAFANA JIJINI ARUSHA

DSC09981

 wakwanza  kushoto ni muaandaji wa bonanza la Afya kwanza akiwa na timu ya Triple a klabu Fc  kabla ya mechi kuanza(habari picha na Woinde Shizza wa libeneke la kaskazini )         timu ya tigo Fc ikiwa pamoja na timu ya Triple A klabu FC     waimbaji wa …

Read More »

MKUU WA MKOA WA MWANZA AHITIMISHA MAADHIMISHO SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, KITAIFA JIJINI MWANZA.

29

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, amehitimisha kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, yaliyofanyika kitaifa Jijini Mwanza. Mongella amewasisitizia wanahabari kujikita zaidi katika weledi kwenye utendaji wao wa kazi ili kuondokana na migogoro inayoweza kujitokeza wakati wakitimiza majukumu yao. Amewahimiza zaidi waandishi wa …

Read More »

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI AHUDHURIA MKUTANO WA 56 A MWAKA WA JUMUIYA YA MASHAURIANO YA MASUALA YA KISHERIA YA NCHI ZA ASIA NA AFRIKA

Q 2

Mkutano huo unajadili masuala mbalimbali ya kisheria yanayohusu ugaidi, utawala wa sheria, maendeleo ya Mahakama ya Kimataifa ya mauala ya Jinai na masuala ya wakimbizi katika nchi wanachama. AALCO ilianzishwa mwaka 1956 kwa lengo la kuwa chombo cha ushauri na ushirikiano katika masuala ya sheria za kimataifa kwa nchi za Asia na Afrika. Toka kuanzishwa kwake chombo hiki kimewezesha nchi wanachama kushirikiana na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya sheria za kimataifa na kimechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya sheria za kimataifa. Tanzania ilijiungana umoja huo 1973 na kwa sasa Katibu Mkuu wa Umoja huo ni Mtanzania Prof. Kennedy Gastorn ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo Agosti 2016.  

Read More »

“HALI YA DAWA NCHINI IMEIMARIKA”-MHE.KIGWANGALLA

PIX 4-Dk Kugwangala akiongea

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kuwa hali ya upatikanaji wa Dawa nchini imeimarika na kufikia asilimia 83. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Khamis Kigwagalla alipokuwa akijibu Hoja mbalimbali za Wabunge leo Mjini Dodoma. “Moja ya vipaumbele …

Read More »

YANGA,KUNA NJIA ZAIDI YA HIYO

18198338_1848053955519356_3295898567109695560_n

ABDUL DUNIA Hongera Yanga…..Hongera Yanga….Hongera Yanga…Hongera Yanga. Ndio lazima Yanga ipewe pongezi kwa hapa ilipofikia. Ni mara chache sana kwa Klabu kubwa kama Yanga kueleza ukweli kwenye matatizo yake. Ni mara chache sana. Leo napingana na ule msemo unaopendwa kutumiwa na Wanajeshi Vitani unaosema, Usiombe amani wakati wa Vita. Ila …

Read More »

UCHAGUZI TAFCA KINONDONI SASA JUNI 4

soccer

Uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu (TAFCA) Mkoa wa Kinondoni uliokuwa ufanyike Mei 7 mwaka huu jijini Dar es Salaam sasa umesogezwa mbele hadi Juni 4. Uamuzi wa kusogeza mbele uchaguzi huo umetokana na mwitikio mdogo wa uchukuaji fomu kwa wagombea. Muda wa uchukuaji fomu sasa umeongezwa hadi …

Read More »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI TPC

CU IN TUGE TPC

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Arusha Chini, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro na kukagua baadhi ya miundombinu ya kiwanda pamoja na mashamba. Akiwa kiwandani hapo, Waziri Mkuu alielezwa kwamba hivi sasa msimu wa uzalishaji umefungwa na kiwanda kinafanyiwa matengenezo ambapo alishuhudia baadhi ya mitambo …

Read More »

HIMID MAO ATUA LIGI KUU DENMARK TAYARI KWA CHANGAMOTO MPYA

Himid-Mao-1024x604

KIUNGO wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, akiwa tayari amewasili kwenye makao makuu wa klabu ya Randers alikokwenda kufanya majaribio. Kama anavyoonekana hapo kwenye picha, akiwa katika uwanja unaotumiwa na timu hiyo unaoitwa ‘BioNutria Park Randers’. Kwa mujibu wa tovuti ya timu hiyo, inaeleza kuwa Himid …

Read More »

Vicoba Moshi Wanufaika Na Mafunzo Ya Ujasiriamali

Pix 1

   Wajasiriamali wa Kilimanjaro Vicoba Network (KIVINET) wamepata elimu ya ujasiriamali baada ya kupata mafunzo yaliyoandaliwa na FINCA Microfinance Bank mjini Moshi mwishoni mwa wiki.  “Lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha wajasiriamali wa KIVINET kuwa na uelewa wa kutosha wa kukuza miradi na mitaji yao hivyo kushiriki kikamilifu katika kukuza …

Read More »

SEKTA YA VIWANDA NCHINI NA ULIPAJI KODI YA MAPATO

W

CHEMBA ya Madini na Nishati (TCME) imetambua na kuguswa na taarifa zisizo sahihi kwamba kampuni zinazojihusisha na uchimbaji mkubwa wa madini zimekuwa zikifanya shughuli zake hapa nchini bila ya kulipa kodi ya mapato. Chemba hii ni muwakilishi wa makampuni wanachama waliorasimisha shughuli zao katika sekta ya madini kuanzia kampuni ndogo …

Read More »

BAJETI YA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO YAPITISHWA

unnamed

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati), akimsikiliza Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga (Kulia), mara baada ya kumaliza kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2017/2018. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko. Waziri wa Ujenzi, …

Read More »