Friday , March 22 2019

Home / 2017 / May / 04

Daily Archives: May 4, 2017

GEITA:WANAKIJIJI WAANDAMANA KUPINGA MWEKEZAJI KUJENGA KIWANDA CHA KUCHENJULIA DHAHABU KARIBU NA CHANZO CHA MAJI.

geta

Wanakijiji wa Kijiji Cha Hililika Kata ya Nyarugusu wakiandamana kuelekea kwenye eneo ambalo mwekezaji anajenga kiwanda kwaajili ya shughuli za uchinjuaji wa Dhahabu. Wanakijiji wakishirikiana kuziba Eneo la Bara bara ya kuelekea kwenye kiwanja ambapo ndiko ujenzi unaendelea. Wakinamama wa Kijiji wakishiriki maandamano ya kupinga ujenzi wa Kiwanda cha Uchenjuaji …

Read More »

UWANJA WA NDEGE DODOMA KUTUMIKA MASAA 24

mba3

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara, Sekta ya Uchukuzi Dkt. Leonard Chamuriho (kulia), mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa ajili ya kukagua Taa za Kisasa za Umeme Jua (Aviation Solar Powered Light), kwa ajili ya kuongozea …

Read More »

WANANCHI WATOE USHIRIKIANO UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA

dc2

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi (katikati) akisikiliza kwa maelezo ya tathmini ya athari za mazingira na kijamii kwa mradi wa bomba la mafuta, wa kwanza kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa Dkt Angelina Lutambi na kushoto ni Mtathmini wa mazingira Bi Saada Juma kutoka kampuni ya JSB. …

Read More »

WAZIRI MKUU AIOMBA ROTARY CLUB ISAIDIE KUKABILIANA NA MALARIA

picmajaliwa-1

  *Awa mwanachama wa 651 kujiunga na klabu hiyo, mkewe pia ajiunga *Aaahidi kushawishi viongozi wa Serikali na wabunge wajiunge kwa wingi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Klabu ya Rotary nchini uangalie uwezekano wa kuisaidia Serikali kupambana na ugonjwa wa Malaria. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye leo hii (Alhamisi, …

Read More »

WANAFUNZI ARUSHA WAPEWA ELIMU YA MADINI

unnamed

Wanafunzi wa Shule wa Sekondari ya Arusha wakimsikiliza Mkufunzi kutoka  Taasisi ya  Gemological Insitute of America (GIA) , Elizabeth  Bokaba (hayupo pichani). Wanafunzi hao wamepata mafunzo kuhusu mafunzo ya Jimolojia. Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Arusha wakifuatilia mafunzo kwa vitendo kuhusu elimu ya madini ya vito yanayopatikana chini, wakati wa …

Read More »

SERIKALI YATAKA MAKANDARASI NCHINI KUWAJIBIKA

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikaribishwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika moja ya banda lililopo katika ukumbi wa Kimataifa wa mikutano wa Kikwete kabla ya kufungua Mkutano wa 20 wa Mashauriano ya Bodi ya Makandarasi (CRB), …

Read More »

WASAFIRI WATAHADHARISHWA KUPATA CHANJO YA HOMA YA MANJANO

ZA

Waziri wa Viwanda,Biashara naUwekezaji Mhe. Charles Mwijage kulia akipokea cheti cha chanjo cha kimataifa kijulikanacho kama cheti cha homa ya manjano kutoka kwa Afisa Afya Bw. Fadhili Kilamile mara baada ya kupata chanjo hiyo leo kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Zungu wa …

Read More »

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KWA WITO WA KUIMARISHWA HUDUMA ZA UZAZI KATIKA HOSPITALI NA VITUO VYA AFYA VIJIJINI

A

 Brass band ya Chipikizi ikiongoza maandamano ya wakunga na wauguzi kupita mbele ya mgeni rasmi Waziri Afya Mhmoud Thabit Kombo katika maadhimisho ya siku ya wakunga Duniani yaliyofanyika Ukumbi wa Wasanii Rahaleo Mjini Zanzibar.  Mama Mariyam Othmani Mihale akiongoza wakunga na wauguzi katika wimbo maalum wa maadhimisho ya siku ya …

Read More »

JUMA IKANGAA MGENI RASMI DASANI MARATHON

unnamed

Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Coca Cola Kwanza, Nalaka Hettiarachchi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mashindano ya Dasani Marathon yanayotarajia kufanyika Mei 14 mwaka huu Jijini Dar es Salaam,Kushoto kwake ni Rais wa Chama Cha Wakimbiaji Mkoa wa Dar es Salaam, Goodluck Elvis …

Read More »

WAZIRI MKUU: SERIKALI KUBORESHA BARABARA ZA MAJIJI

pic+majaliwa

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ina mkakati wa kufanya yote nchini yawe na barabara za viwango vya kimataifa na zinazopitika kwa urahisi. “Tumeanza kujenga barabara za kisasa katika jiji la Arusha ambalo ni jiji la utalii, tutakwenda Mwanza na Dar es Salaam kwa kujenga barabara zenue njia za …

Read More »

TADB, SUA WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

S

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (katikati) akiongoza kikao cha majadiliano juu ya ushirikiano na Chuo cha Kilimo cha Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) wakati uongozi wa Chuo hicho walipotembelea Ofisi za TADB. Msafara wa huo wa Chuo cha Kilimo uliongozwa na …

Read More »