Friday , March 22 2019

Home / 2017 / May / 05

Daily Archives: May 5, 2017

JICA Yaipongeza Muhimbili Kwa Kuboresha Huduma

unnamed

Mkurugenzi  wa  Utumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Makwaia Makani akitoa neno kwa wauguzi wa  Hospitali hiyo katika mkutano wa kupokea mrejesho kuhusu mpango wa kuboresha huduma na kutatua matatizo madogo  kwa kutumia rasilimali zilizopo-KAIZEN . Baadhi ya wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakimsikiliza Mkurugenzi wa Utumishi wa MNH …

Read More »

WAZIRI MKUU ANUNUA HISA ZA VODACOM

CUT WAYS MAJALIWA ANUNUHISA VODACOM

*Awasihi wananchi wote wanunue hisa kabla muda haujaisha *Asema wajasiriamali, wakulima, wafugaji na wavuvi wana fursa sawa   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amenunua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania Plc zenye thamani ya sh. milioni 10 pamoja na nyingine za sh. milioni 10 kwa ajili ya mke wake, Mary Majaliwa. …

Read More »

MAMA SAMIA AWATAKA WAKUNGA KUFANYA KAZI KWA BIDII

58

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia  kwenye kilele cha siku ya Wakunga Duniani ambapo Kitaifa imefanyika mjini Dodoma.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Samia akihutubia Wakunga kwenye kilele cha Sherehe za Siku ya Wakunga Duniani …

Read More »

SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YAFANA DODOMA

ZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Damu Salama mkoani Dodoma Daktari Leah Kitundya wakati akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye kilele cha siku ya Wakunga Duniani ambapo Kitaifa imefanyika mjini Dodoma, katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, …

Read More »

ISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007

mipa

Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Prof. John Lupala akitoa ufafanuzi wa Sheria ya Mipango Miji, Na. 8 ya mwaka 2007. …………………………………………………………………….. Prof. John Lupala, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya …

Read More »

MADIWANI DODOMA WAFURAHISHWA NA AGIZO LA RAIS MAGUFULI

unnamed

Diwani wa Kata ya Mtumba Manispaa ya Dodoma Edward Maboje akichangia taarifa iliyowasilishwa na Katibu wa Baraza la Madiwani la Manispaa hiyo Godwin Kunambi iliyojumuisha agizo la Rais Dokta John Magufuli kuhusu uongozi wa Mkoa na wadau wote kuchunguza na kuishauri Serikali endapo kuna haja ya kuendelea au kutoendelea kuwa …

Read More »

ABDULRAHMAN MUSSA MCHEZAJI BORA WA VPL MWEZI APRILI,2017

1

Mchezaji wa timu ya Ruvu Shooting FC, Abdulrahman Mussa amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Aprili kwa msimu wa 2016/2017. Abdulrahman  aliwashinda wachezaji Jafar Salum wa Mtibwa Sugar  FC na Zahoro Pazi wa Mbeya City. Katika mwezi wa Aprili kulikuwa na raundi tatu na timu …

Read More »

TFF, WILDAID WASAINI MAKUBALIANO KUPIGA VITA UJANGILI

images

  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Taasisi ya kupigania uhai wa maisha ya wanyama wa mbugani ya Wildaid Alhamisi Mei 4, mwaka huu kwa pamoja wamesaini makubaliano ya vita dhidi ya ujangili. Makubaliano hayo yalisainiwa jijini Dar es Salaam kati ya Rais wa TFF, Jamal Malinzi na …

Read More »

WAUAJI RUFIJI WAUA TENA, HALI SIO SHWARI

unnamed

Kamanda wa polisi mkoani Pwani, kamishna msaidizi mwandamizi, Onesmo Lyanga, akizungumza (picha na Mwamvua Mwinyi)  …….. Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji  Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Amiri Chanjale (60)mgambo,mkazi wa Umwe ,tarafa ya Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani ,amefariki dunia kwa kupigwa risasi kichwani na watu wasiojulikaa.  Tukio hilo ni la sita …

Read More »

DC KASESELA ATOA WIKI MBILI KUFANYIKA MIKUTANO YA HADHARA KATA MLANDEGE

KAS2

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa na viongozi mbalimbali wa Manispaa ya Iringa kama Naibu Meya Joseph Lyata na mbunge wa viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi CCM Ritta Kabati wakisikiza hoja za wananchi wa Kata ya mlandege ……………………………………………………………………………….. Na Fredy Mgunda, Iringa Watendaji wa …

Read More »

In no way HAS THERE BEEN A Considerably More Certified Inexpensive ESSAY Publishing Services. In this article You Will Definately Get Important AND At the same time Low cost ESSAY Assist. Adhering to Day time ESSAY: YOUR Fantastic TICKET Into A STRONG ACADEMIC Overall performance

In no way HAS THERE BEEN A Considerably More Certified Inexpensive ESSAY Publishing Services. In this article You Will Definately Get Important AND At the same time Low cost ESSAY Assist. Adhering to Day time ESSAY: YOUR Fantastic TICKET Into A STRONG ACADEMIC Overall performance Writing duties actually is some …

Read More »