Thursday , March 21 2019

Home / 2017 / May / 06

Daily Archives: May 6, 2017

MSUVA AUPELEKA USHINDI WA YANGA KWA YUSUF MANJI

manji.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva amesema matokeo ya ushindi wanayoyapata uwanjani ni kwa ajili ya kumfariji mwenyekiti wa timu yao Yusuf Manji ambaye hivi karibuni alipatwa na matatizo. Msuva amesema watapambana katika michezo minne iliyosalia ili kuhakikisha wanatetea taji lao na kupeleka furaha kwa mashabiki wa timu hiyo pamoja …

Read More »

JPM AWATAKA WAKANDARASI NCHINI KUJITATHMINI

unnamed

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa Mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa Biashara Tanzania (TBNC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Waziri Mkuu na Mjumbe wa Baraza hilo Kassim Majaliwa, Mwenyekiti Mwenza wa Baraza Hilo kutoka Sekta …

Read More »

Rais wa Zanzibar Dk Shein Ziarani Nchini Djibout

JIBO2

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Serikali na Wazee wa CCM uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu .(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi …

Read More »

CCM Z’BAR YATOA POLE KWA WANANCHI WALIOPATA ATHARI ZINAZOTOKANA NA MVUA

048

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  kinatowa pole kwa wananchi wote walioathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini kote.    Mvua hizi zinazoendelea kunyesha zimeathiri maeneo mbali mbali hasa katika kisiwa cha Pemba. Maeneo hasa yalioathiriwa yakiwemo Vijiji  vya Mbuyuni, Mwambe, Uweleni, Makombeni, Ukutini, Kendwa, Vitongoji, Chamanangwe na maeneo mengine katika Mikoa ya …

Read More »

TBL Group ilivyoshiriki Siku ya Uhuru wa Afrika ya Kusini

SOS1

Katika mkakati wake wa kuendeleza uhusiano mzuri na serikali na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi,kampuni ya TBL Group mwishoni mwa wiki iliungana na makampuni mbalimbali ya hapa nchini kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Afrika ya Kusini ambapo maofisa baadhi ya  wafanyakazi na maofisa walijumuika katika hafla ya …

Read More »

BURIANI MWANAHABARI REVOCATUS BULIZYA

BULIZ

Marehemu Revocatus Bulizya enzi za uhai wake Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mwanahabari Revocatus Bulizya wakati ukiingizwa katika Kanisa la Katoliki Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya ibada ya kuuaga kabla ya kwenda kwenye mazishi yaliyofanyika Mwandege Kongowe Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo.

Read More »

ATCL KUPATA NDEGE MPYA JULAI MWAKA HUU-NGONYANI

2343

  Na Tiganya Vincent RAS-Tabora.   Serikali imesema kuwa mwezi Julai mwaka huu (2017)itanunua ndege nyingine mpya aina ya Dash 8-Q 400 kwa ajili kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania ili  liliweze kutoa kutoa huduma za usafiri wa anga katika maeneo mengi ndani na nje ya nchi.   Hatua hiyo …

Read More »

SAFARI ZA ATCL MKOANI TABORA ZAZINDULIWA RASMI

JJ6

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, wakiwa ndani ya ndege kuelekea katika uzinduzi wa safari za ndege za Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), mkoani Tabora. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. …

Read More »

Dr. Ntuyabaliwe Foundation yahimiza wanafunzi kusoma vitabu

JAC

Wananafunzi wa Shule za Msingi jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla, wametakiwa kujenga utamaduni wa kupenda kusoma vitabu vikiwemo vya kiada na ziada, ili waweze kupanua wigo wa uelewa wa mambo mbalimbali. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation Mama Jacqueline Mengi, alipozungumza na wanafunzi, walimu …

Read More »