Friday , March 22 2019

Home / 2017 / May / 07

Daily Archives: May 7, 2017

MAKAMU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI ARUSHA

AU2

Makamu w a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo  mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo  Mhe. Makamu wa Rais ataongoza  wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa …

Read More »

SPIKA WA BUNGE AKABIDHI KIKOMBE MECHI YA BUNGE NA NMB

bu1

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (Kushoto)akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge, Mheshimiwa Sixtus Mapunda mara baada ya mechi kuisha na timu ya Bunge kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila dhidi ya NMB,  mechi hiyo ilifanyika jana katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. …

Read More »

WATENDAJI WA AFISI KUU CCM Z’BAR WAPINGWA MSASA

msas1

  Kulia ni Afisa Milki wa CCM Afisi Kuu Zanzibar, Mwenemzi Omar Said akimkabidhi nyaraka za kiutendaji Kaimu Mkuu wa Utawala wa CCM Afisi Kuu Zanzibar,  Bw. Mohamed Sijaamini (kushoto), hafla iliyofanyika Afisi Kuu Kisiwandui Mjini Zanzibar. Baadhi ya Maafisi na Wakuu wa Idara za Chama hicho Zanzibar,  wakiomba dua …

Read More »

RC NDIKILO AHIMIZA WILAYA YA KISARAWE KUFUFUA ZAO LA KOROSHO

KOR1

Mkulima wa korosho huko Sungwi, wilayani Kisarawe mkoani Pwani akimwelezea mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo, (aliyefunikwa mwamvuli) namna alivyoanza kilimo hicho .(picha na Mwamvua Mwinyi)  Mtaalamu wa zao la korosho, wilayani Kisarawe, Ayubu Isele, akimwelezea mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo, hatua wanazochukua kufufua zao …

Read More »

TEMESA WAPEWA SEMINA YA UKIMWI NA TACAIDS

TEM1

Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir akizungumza wakati akitoa semina kuhusu Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano makao makuu ya TEMESA jijini Dar Es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakimsikiliza Afisa Mwitikio wa Taasisi …

Read More »

Mourinho: Nitawapumzisha Wachezaji Dhidi Ya Arsenal

jose-mourinho-not-happy-at-all-w

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa atawapumzisha wachezaji wake katika mechi ya siku ya Jumapili dhidi ya Arsenal. Ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya klabu ya Uhispania Celta Vigo siku ya Alhamisi ulikuwa wa 10 tangu mwezi Aprili. Huku kikosi hicho cha Mourinho kikiwa katika …

Read More »

ENG. NGONYANI ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI UYOVU- BWANGA.

unnamed

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akipokea taarifa ya maendeleo kutoka kwa Mhandisi Mkazi Eng. Juma Msonge, kuhusu ujenzi wa barabara ya Uyovu-Bwanga KM 45 inayojengwa kwa kiwango cha lami wakati alipokagua barabara hiyo jana, mkoani Geita Mhandisi Mkazi Eng. Juma Msonge, akitoa taarifa ya maendeleo …

Read More »

Hamasika na Masika ya Mobisol yaibua washindi wengine

MOB1

Mwakilishi wa  kampuni ya umeme wa jua ya Mobisol wa mkoa wa Dar es Salaam,Allan Rwechungura (kulia) akiongea kwa simu na mmoja wa washindi wa droo ya promoshenu ya Hamasika na Masika inayoendeshwa na kampuni hiyo ambapo wateja wateja watatu walijishindia fedha taslimu na vifaa vinavyotumia umeme wa nishati ya …

Read More »

WABABE WA YANGA WAFUNDISHWA SOKA CHAMAZI

IMG_5575

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli usiku huu baada ya kuichapa Mbao mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Ushindi huo umeifanya Azam FC kuzidi kujikita katika nafasi ya tatu kwenye …

Read More »