Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 08

Daily Archives: May 8, 2017

“UWEKEZAJI WAONGEZEKA KATIKA SEKTA YA UTALII”-MHE.MAKANI

unnamed

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema  kumekuwa na ongezeka la uwekezaji katika miundombinu na mahitaji yanayochangia ukuaji wa Sekta  ya Utalii nchini. Hayo yamesemwa leo Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ramo Makani wakati akijibu Hoja mbalimbali za Wabunge . …

Read More »

Q

Katibu wa Shirikisho la Asasi zinazoshughulika na  Usalama Barabarani Tanzania (ARoSAT) Bw. Hassan Mchanjama akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabara leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Mwenyekiti wa Shirikisho hilo Alpherio Nchimbi. Mwenyekiti wa Shirikisho la Asasi zinazoshughulika na …

Read More »

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA

unnamed

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akisisitiza  jambo mbele ya ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe. John Shibuda (Kushoto) na kulia ni Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi …

Read More »

CCM Z’BAR YAWATAKA WANA CCM KUTUMIA VYEMA FURSA YA UCHAGUZI.

1

 Katibu wa Kamati ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi  Bi. Waride Bakar Jabu akizungumza na viongozi na wanachama wa Tawi la CCM Chukwani Zanzibar katika ziara yake ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi.  mwanachama wa Tawi hilo, Bw. Abdalla Said  akizungumza masuala mbali mbali yanayohusu uhai wa CCM katika Tawi …

Read More »

MECHI ZOTE ZA MWISHO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

DSC_0307-1-640x426

  Mara baada ya michezo ya mwishoni mwa juma lililopita, Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2016/2017, inatarajiwa kuendelea Jumanne Mei 9, mwaka huu kwa mchezo mmoja ambako Mabingwa watetezi wa Kombe hilo, Young Africans itaikaribisha Kagera Sugar y Kagera katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia …

Read More »

HIVI NDIVYO ARSENAL WALIVYOZIMA MBIO ZA MAN UNITED

1494173576611_lc_galleryImage_ARSENAL_V_MANCHESTER_UNIT

Arsenal walifikisha kikomo mkimbio wa Manchester United wa mechi 25 bila kushindwa kwa kuwalaza mashetani hao wekundu 2-0 mechi ya Ligi Kuu ya England Jumapili. Ushindi huo uliweka hai matumaini ya Arsenal ya kumaliza katika nafasi nne za kwanza, ingawa bado watatarajia timu nyingine zijikwae. Mabao ya Arsenal yalifungwa na …

Read More »

WAZIRI MWIGULU NA WATENDAJI WAKE WAKUU WAJADILI BAJETI YAKEIKIWA NI MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA KUIWASILISHA KWENYE BUNGE LA BAJETI MJINI DODOMA JUMANNE

unnamed

  Waziri wa Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi,Mh. MwiguluLameck Nchemba wa pili kushoto akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha cha maandalizi ya mwisho cha kupitia Bajeti ya Taasisi ziliko katika Wizara yake,kabla ya kuiwasilisha Bajeti ya Wizara yake katika Vikao vya Bunge la …

Read More »

MALINZI AOMBOLEZA WANAFUNZI, WALIMU ARUSHA

53f46dc612070

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa rambirambi ya Sh 500,000 kwa walengwa walipoteza watoto katika ajali ya gari iliyoua zaidi ya watu 36, wakiwamo wanafunzi 33. Wanafunzi hao 33 wa darasa la saba, walimu wawili na pamoja na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent …

Read More »

Do My Essay – Do My Customized Paper On Essayinca com Service

For anybody interested even faintly in great horror creating, what we essayinca.com right here is pure gold: Lovecraft’s personal selection of the very best the genre has to provide, along with his comments on the individual stories. Speak about the horse’s mouth! This guide is lengthy overdue. To prove the …

Read More »