Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 09

Daily Archives: May 9, 2017

TENGA AULA CAF

Screen-Shot-2017-05-09-at-14.40.41-640x397

Kamati ya Utendaji chini ya uenyekiti wa CAF Rais Ahmad walikutana Jumatatu, Mei 8, 2017 katika Hoteli ya Sheraton  Manama, Bahrain. Ambapo  katika mkutano huo walijadilia ajenda zifuatazo. Uchaguzi wa makamu wa rais kwa mujibu wa katiba, Rais wa CAF mapendekezo mawili Makamu wa rais, wa kwanza ni Kwesi Nyantakyi …

Read More »

UVCCM YASHITUKIA MCHEZO MCHAFU KISIASA

mpanda3

Na Mwandishi wetu, Rukwa Umoja wa Vijana wa CCM umewaonya watendaji wake kujiepusha na uvunjaji wa kanuni na maadili ya jumuiya  hiyo ikiwemo kuendesha mijadala inayozmgumzia masuala ambayo yaliopitishwa kwa mujibu wa vikao,  kikanuni na katiba ya CCM.   Pia umoja huo umelaani na kusema kitendo chochote  cha utovu wa …

Read More »

SERIKALI KUBORESHA KIWANGO CHA VYOO BORA KUFIKIA 2025.

unnamed

Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza mbele ya wabunge na wadau mbalimbali wa afya na mazingira hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya yautunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI”iliyofanyika leo mjini Dodoma. Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na …

Read More »

WAZIRI MKUU NA MATUKIO YA PICHA BUNGENI DODOMA LEO

MASHA5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani, Lawrence Masha kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017. (Picha na Ofisi …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

index

TAREHE 08:05.2017 MAJIRA YA SAA 17:20HRS KATIKA BARABARA YA KIGONGOFERY – USAGARA KIJIJI CHA IDETEMYA TARAFA YA USAGARA WILAYA YA MISUNGWI MKOA WA MWANZA, MTU ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA CHARLES RENATUS MIAKA 55, MKAZI WA MKOLANI – MWANZA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUPATA AJALI AKIWA NA PIKIPIKI YENYE NAMBA MC …

Read More »

NHIF WAISHAURI SERIKALI BIMA YA AFYA KUWA LAZIMA

NHC-1

  Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeishauri Serikali kuifanya bima ya afya iwe lazima kwa kila mwananchi na sio hiari kama ilivyo sasa. Ushauri huo umetolewa jana Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Benard Konga alipokuwa akizungumza …

Read More »

SERIKALI KUBORESHA RELI YA TANGA

images

Na Husna Saidi- MAELEZO   Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeanza kazi ya uboreshaji wa Reli ya Tanga ambayo ni moja ya chanzo cha kukuza uchumi ili kuleta maendeleo ya nchi.   Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani alipokuwa …

Read More »

WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR KUPEWA MAFUNZO

ZAB

Na Ali Issa/ Miza Kona – Maelezo Serikali imeshauriwa  kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari ili waandishi waweze kupata nafasi ya kufichua matatizo  yanayoikabili jamii na kupatiwa ufumbuzi. Hayo yamesemwa leo huko Park Hyyat Hotel na mwandishi wa habari kutoka ubalozi wa Marekani nchini Tanzania  Kenneth Cooper wakati alipokuwa akitoa …

Read More »

RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA DORALEH CONTAINER TERMINAL NCHINI DJBOUT

unnamed

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi  Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (wa pili kushoto) wakati  alipotembelea  katika Bandari ya Doraleh  Container Terminal jana,ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali  zinazowasili katuika Bandari hiyo,akiwa katika ziara ya kiserikali …

Read More »

“SERIKALI YATENGA BILIONI 30 KAMA FIDIA KWA WAKAZI WA KIPUNGUNI”-MHE.NGONYANI

lei13

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi,na Mawasiliano imetenga Shilingi bilioni thelathini(30) katika mwaka wa fedha 2017/2018 ili kukamilisha malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni wanaopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Ujenzi,uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  Bungeni Mjini Dodoma wakati …

Read More »

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA KAGERA SUGAR LEO PALE TAIFA

obrey-chirwa-yanga-2017_r1uv5g65g5iv1ivlu8vuieh0w

Kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Kagera Sugar- VPL 1. Beno Kakolanya  2. Hassan Kessy 3. Haji Mwinyi  4. Kelvin Yondani  5. Nadir Haroub 6. Thaban Kamusoko 7. Saimoni Msuva  8. Haruna Niyonzima 9. Amisi Tambwe  10. Obrey Chirwa  11. Geofrey Mwashuiya  Akiba Deogratius Munishi Juma Abdul Vincent Bossou …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

index

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio …

Read More »

WACHIMBAJI 3000 KUNUFAIKA AJIRA KATIKA MACHIMBO YA KITUNDA

Profesa-Sospeter-Muhongo

Na Tiganya Vincent, Tabora   Waziri wa Nishati na Madini  Profesa Sospeter  Muhongo amevitaka vikundi  vyote vilivyopewa leseni ya kuanza uchimbaji mdogo mdogo wa madini ya dhahabu katika eneo la Kitunda wilayani Sikonge kuhakikisha vinatoa ajira kwa wachimbaji 3000 walipo katika eneo hilo. Waziri ametoa agizo hilo  jana wilayani Sikonge …

Read More »