Friday , March 22 2019

Home / 2017 / May / 10

Daily Archives: May 10, 2017

AFRIKA KUSINI KUENDELEA KUFUNDISHA MARUBANI WA KITANZANIA

KISA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya Mawaziri wa Kamisheni ya Pamoja ya Kitaifa kati ya Tanzania na Afrika Kusini, uliofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR AREJEA NCHINI AKITOKEA DJIBOUTI.

unnamed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein katikati akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Moahammed Mahmoud mara baada ya kuwasili Zanzibar akitokea Djibouti kwa Ziara ya Siku Tatu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein …

Read More »

HONGERA LEODEGAR TENGA – RAIS WA HESHIMA TFF

jamal

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linachukua nafasi ya kipekee kabisa kumpongeza Rais wa Heshima wa shirikisho, Leodegar Chilla Tenga kwa kuteuliwa kuwa Rais wa Kamati ya Usimamizi wa Leseni za Klabu katika Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Kwa mujibu wa taarifa ya CAF, Tenga atasaidiwa Dany …

Read More »

TFF YAVITAHADHALISHA VYOMBO VYA HABARI KUACHA KAMPENI CHAFU

jamal-malinzi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevitaka baadhi ya vyombo vya habari nchini kuacha mara moja kampeni za upotoshaji zenye lengo la kuwachafua viongozi wa juu wa shirikisho hilo. TFF imeshtushwa na taarifa inayoendelea kutolewa kwenye gazeti moja la kila siku ikidai kuwa kuna ufisadi ndani ya shirikisho wakati …

Read More »

RAIS WA CAF AKATAA KULIPWA MSHAHARA

_95977728_ahmedcaf

  Rais wa shirikisho la soka barani Afrika Caf, Ahmed anasema kuwa amekataa kuchukua mshahara kutoka kwa shirikisho hilo. Uchaguzi wake mnamo mwezi Machi ulimaliza uongozi wa miaka 29 wa aliyekuwa rais wa shirikisho hilo kutoka Cameroon Issa Hayatou. ”Nimekataa kuchukua mshahara kwa sababu sio heshima kwa usimamizi mzuri”, aliambia …

Read More »

UHAMISHO WA PAUL POGBA WACHUNGUZWA NA FIFA

_95993024_paulpogba

Uhamisho wa Paul Pogba kutoka Juventus kuelekea Manchester United uliovunja rekodi ya dunia sasa unachunguzwa na shirikisho la soka duniani Fifa. Fifa imeandika barua kwa klabu hiyo ya ligi ya Uingereza ikitaka maelezo zaidi. Shirikisho hilo linataka kujua ni nani alyeshirikishwa katika uhamisho huo wa kitita cha pauni milioni 89.3 …

Read More »

RC NDIKILO AMALIZA ZIARA YAKE KIMKOA NA KUSISITIZA MAMBO MAKUU MANNE

unnamed

Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo, akiwa ametembelea shamba la mfano la zao la biashara la korosho lililopo Ruvu JKT, wilayani Kibaha. (picha na Mwamvua Mwinyi) . ………………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo,amemaliza ziara yake ya kutembelea wilaya sita kimkoa,ambapo amehimiza mambo …

Read More »

SERIKALI KUJENGA DARAJA LA JUU ENEO LA BONDENI JESHINI

PIX 3-Mhe.Kimwele akiongea

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano imesema itajenga daraja la juu kwa ajili ya kivuko cha waenda kwa miguu(Over head Pedestrian Bridge) eneo la Kawe Bondeni. Hayo yamesemwa Bungeni leo na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe aliyekuwa akijibu swali la Mbunge wa …

Read More »

ASKOFU GADI ATOA SALAMU ZA POLE KWA WAFIWA AJALI YA KARATU

1

Na Fatma Salum,MAELEZO,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Kanisa la Good News For All Ministry Askofu Dkt. Charles Gadi ametoa salamu za pole kwa wafiwa na Watanzania wote walioguswa na msiba wa wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wa shule ya Msingi Lucky Vincent iliyotokea Karatu Mkoani Arusha wiki iliyopita. Akizungumza …

Read More »

LICHA YA KUSHUKA DARAJA JKT RUVU KUFA NA NDANDA NA MAJIMAJI

jkt-ruvu-sept13-2013

Baada ya JKT Ruvu kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Toto Africans ya Mwanza, kocha msaidizi wa timu hiyo, Azishi Kondo, amesalimu amri na kuongea kwa unyonge kwamba anasubiri kuona timu mbili zikiungana na timu yake kushuka daraja msimu huu. JKT Ruvu baada ya kichapo hicho, imeshuka daraja ikiwa …

Read More »