Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 11

Daily Archives: May 11, 2017

ASASI YA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA TANZANIA (THPS) YAANDAA MKUTANO WA SIKU MOJA WA WADAU WA MAPAMBANO YA VVU NA UKIMWI ZANZIBAR

RED1

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya kuimarisha huduma za afya Tanzania (THPS) Dkt. Redempta Mbatia akimkaribisha Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo alipowasili kufungua mkutano wa wadau wa mapambano ya ukimwi Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni. Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akifungua mkutano wa wadau wa mapambano ya ukimwi …

Read More »

Government Launches ‘Nipo Tayari’ Campaign

KIT

TANZANIA needs to end open defecation and have all people using improved toilets, to reflect the status of a middle-income country. The Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Honorable Ummy Mwalimu (MP) and stakeholders conveyed this in Dodoma during a Call to Action event. The minister called for …

Read More »

Easy Approaches To Handle Stress

Diwali is a annual celebration of Hindus. Diwali is a massive celebration to Mauritians!! Diwali has become the vital social festival in India and its also my preferred festival. Diwali is the moment for entertainment and revelry.

Read More »

SENSA YA WAFANYAKAZI WA NYUMBANI KUFANYIKA MKOANI MWANZA.

1

Jackline Ngalo ambaye ni Mwanasheria wa shirika la kutetea Haki za watoto wafanyakazi wa nyumbani nchini, WOTESAWA, akizungumza na Lake Fm, baada ya semina kwa viongozi wa serikali za Kata/Mitaa pamoja na wadau wengine wa maendeleo katika wilaya za Ilemela na Nyamagana mkoani Mwanza ili kuwajengea uwezo wa kutetea haki …

Read More »

Halmashauri Ya Wilaya Ya Misungwi Yaweka Mkakati Wa Kuboresha Huduma Za Afya Kwa Kutoa Vitambulisho 12,148 Kwa Wazee.

misungwi hospital 11

Na Thomas Lutego – Afisa Habari Halmashauri ya wilaya ya Misungwi imejipanga kuboresha utoaji wa huduma za Afya kwa wazee kwa kuwapatia  Vitambulisho  12,148 wa wazee wa wilayani humo  ili kutambulika rasmi wanapohitaji  matibu. Mkakati huo umefanyika ikiwa ni utekelezaji  wa maagizo na maelekezo ya Serikali  katika kuboredha huduma zitolewazo …

Read More »

MISS TANZANIA AKABIDHIWA GARI LAKE

uZZ

Mwakilishi wa  Baraza la Sanaa la Tanzania (Basata), Augustino Makame akikabidhi funguo ya gari kwa Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumay jana.  Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Grace Products ltd, Elizabeth Kilili na Meneja Masoko wa  Duka la Jewellers Mohamed Hassan Salum. ………………………. Na Mwandishi wetu Hatimaye Miss Tanzania, …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

unnamed

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara mbalimbali wa nchini pamoja na Afrika ya Kusini wakati aliposhiriki pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika Jukwaa hilo  la Wafanyabiashara  jijini Dar es Salaam. Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisoma hotuba yake …

Read More »

Waziri Mhagama Afanya Ziara Mradi Wa Nyumba Za CDA Dodoma

unnamed

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (mb) akisalimiana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Mhandisi Paskasi Muragili wakati wa ziara yake katika Ukarabati wa nyumba za Kikuyu Dodoma, tarehe 11 Mei, 2017 wa kwanza kulia …

Read More »

TIMU YA MAJIMAJI YASHUSHWA DARAJA LA KWANZA

ZANZIBAR LOGO

Na Seleiman Ussi Zanzibar . ZFA Taifa Pemba imeiteremsha daraja timu ya Maji Maji kutoka ligi kuu ya Zanzibar, hadi daraja la kwanza Taifa msimu wa 2017/2018, pamoja na kuitoza faini ya shilingi Milioni 1,200,000/= kwa makosa mawili tafauti. Kosa la kwanza kwa Timu hiyo katika mchezo wake na Shaba wa …

Read More »

Tanzania Na Afrika Kusini Zasaini Mikataba Mitatu Ya Ushirikiano

A 2

  Na. Beatrice Lyimo na Immaculate Makilika- MAELEZO,Dar es Salaam ………………………………………………………. Serikali za Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania na Afrika ya Kusini zasaini mikataba mitatu ya ushirikiano katika sekta mbalimbali zitakazosaidia kukuza uchumi wa nchi hizo mbili. Hati za mikataba hiyo  zimesainiwa leo Ikulu Jijini  Dar es Salaam wakati wa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

  WATU 20 WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA WILAYANI MISUNGWI.   MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMFANYIA UKATILI WA KIPIGO MJUKUU WAKE NA KUSABABISHA KIFO CHAKE WILAYANI MISUNGWI.   KWAMBA TAREHE 10.05.2017 MAJIRA YA SAA 16:00HRS KATIKA BARABARA YA KIJIJI CHA MWABAKOYE  KATA YA …

Read More »

SINGIDA UNITED FC YAMNASA BEKI WA TIMU YA TAIFA UGANDA

Tusker-Shafiq-Batambuze-1-300

Wakati bado ulimwengu wa michezo ukijadiliana namna Singida United Fc ilivyowanasa wazimbabwe Muroiwa na Kutinyu walioongoza kikosi cha timu yao ya Taifa pale Gabon kwenye michuano ya  AFCON 2017. Hii leo kupitia chanzo chetu cha uhakika mjini NAIROBI kenya zinasema, Singida United Fc jana usiku walifanikiwa kuinasa saini ya beki …

Read More »

HUDUMA ZA AFYA ZISIFUNGWE WAKATI WA ZOEZI LA USAFI-MAJALIWA

A 3

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali waweke utaratibu utakaoruhusu huduma za afya kuendelea kutolewa kwa wananchi katika maeneo yao hata kama zoezi la usafi la kila mwezi litakuwa linaendelea. Serikali imeweka utaratibu wa wananchi kushiriki katika shughuli za usafi wa mazingira siku ya Jumamosi ya mwisho …

Read More »

LAPF YADHIHIRISHA KUWA CHAGUO BORA KWA WAAJIRIWA WAPYA

unnamed

Meneja Masoko na Mawasiliano Mfuko wa Pensheni wa LAPF James Mlowe akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Makao makuu ya Mfuko huo mjini dodoma leo. Kushoto ni meneja Matekelezowa LAPF Victor Kikoti. Baadhi ya Waandishi wa Habari Mjini Dodoma walioshiriki katika mkutano wa LAPF Dodoma Leo. LAPF imedhihirisha …

Read More »

KESI YA WASSIRA DHIDI YA BULAYA 11.05.2017.

A 1

Aliyekuwa  kuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Steven  Wassira  akiwa katika jengo la Mahakama ya Rufaa jijiji Dares Salaam akizungumza jambo na baadhi ya mawakili kabla ya kusikiliza kwa Rufaa ya kesi yake dhidi ya Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya.  Katika kesi hiyo jopo la majaji watatu  wa …

Read More »

DC KASESELA AFUNGUA WARSHA YA KUJENGA UELEWA KUHUSU PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO AWAMU YA PILI (ADSP 2)

1

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard Kasesela akizungumza wakati wa kufungua warsha ya siku tatu ya kuwajengea wadau uelewa wa pamoja kuhusu programu ya kuendeleza sekta ya kilimo Awamu ya pili nchini Agricultural sector Development Programme (ASDP 2), Programu inayotarajiwa kutekelezwa katika kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2017/2018 …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAOMBWA KUTOA MIKOPO ARUSHA

unnamed

Katibu Tawala Mkoa wa Mkoa wa Arusha, Bw. Richard Kwitega (kushoto) akimkaribisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (kulia) wakati walipomtembelea Ofisini kwake kuzungumzia fursa za uwekezaji mkoani Arusha. Katibu Tawala Mkoa wa Mkoa wa Arusha, Bw. Richard Kwitega (katikati) akizungumza …

Read More »

SHAKA AIPA BIG UP HALMASHAURI YA CHALINZE

unnamed

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)Taifa Shaka Hamdu Shaka wa kushoto pichani akiwa ameshikana mkono na msaidizi wa mbunge jimbo la Chalinze Iddi Swala. (picha na Mwamvua Mwinyi) . ……………………. Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, imepongezwa kwa kuwa ya kwanza …

Read More »