Friday , January 18 2019

Home / MICHEZO / Waziri Mwakyembe Apokea Hundi Ya Sh. Millioni 50 Kutoka Kampuni Ya SportPesa kuchangia Serengeti Boys

Waziri Mwakyembe Apokea Hundi Ya Sh. Millioni 50 Kutoka Kampuni Ya SportPesa kuchangia Serengeti Boys

unnamed

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harisson Mwakyembe (Kushoto) akipokea Hundi ya Shillingi milioni 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya SportPesa  Bw. Tarimba Abbas( kulia) kwa ajili ya kuisadia timu ya mpira ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) leo Jijini Dar es Salaam, katika ni Mkurugenzi wa Michezo Bw. Yussuph Singo

S

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harisson Mwakyembe (Kushoto) akitoa neno la shukrani baada ya kupokea Hundi ya Shillingi milioni 50 kutoka kwa Kampuni ya SportPesa kwajili ya kuisadia timu ya mpira ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) leo Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni hiyo  Bw. Tarimba Abbas.

About Alex

Check Also

hqdefault

SIMBA SC KUONDOKA LEO BILA BOCCO KWENDA DRC KUWAFUATA AS VITA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco hatasafiri …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × 5 =