Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / May / 12

Daily Archives: May 12, 2017

BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA

DSC_0349

Meneja Mahusiano Biashara za serikali Kanda ya Ziwa  wa NMB Bi Suma Mwainunu Akitoa shukrani kwa wao  kama Benki kushirikishwa kwenye shughuli hiyo ya siku ya wauguzi Duniani huku akihaidi kwa Kwa Benki yao kuendelea kushirikiana na serikali. Maandamano ya Wauguzi kutoka Katika Mkoa wa Geita yakiingia kwenye viwanja vya …

Read More »

SIKU YA WAUGUZI KISHAPU

unnamed

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Nyabaganga Talaba akiwa amembeba mtoto aliyezaliwa katika Hopsitali ya Wilaya (Dk. Jakaya Kikwete) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani kiwilaya. Kaimu Muuguzi Mkuu Hospitali ya Wilaya, Rehema Jumanne (kulia) akimuongoza Mkuu wa Wilaya, Nyabaganga Talaba na viongozi mbalimbali wa halmashauri na wilaya kutembelea …

Read More »

SIMBA YAISHUSHA KILELENI YANGA,YAIBUTUA STAND UNITED

jonas-mkude-wa-simba-akishangilia-2016_wurkxze8jfpv1cw44hzrzo82r

  Simba SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Stand United ya Shinyanga jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Wekundu wa Msimbazi wanafikisha pointi 65 baada ya ushindi wa leo wakiwa wamecheza mechi 29, mbili zaidi …

Read More »

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA BENKI YA NBC

nbc4

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NBC ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Ndg. Nehemia Mchechu (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Bodi, Dkt. Kassim Hussein (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ndg. Edward  Marks (kulia) uliotembelea leo Ofisini …

Read More »

TADB YAOMBWA KUSAIDIA SEKTA YA MIFUGO MKOANI ARUSHA

R10

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (aliyesimama) akizungumza katika kikao cha pamoja kati ya TADB na Wadau wa Mifugo mkoani Arusha kuhusu fursa za mikopo ya TADB. Kikao hicho kilifanyika katika Kampuni ya Nyama ya Arusha, jijini Arusha. Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa TADB, Bw. Augustino Chacha …

Read More »

RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA RAIS DKT. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

A 3

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali (hawaonekani pichani) waliohudhuria katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni …

Read More »

FIFA YAIPA SHAVU AFRIKA

_96021355_160513194107_gianni_infantino_950x633_getty_nocredit

Shirikisho la soka duniani FIFA chini ya raisi wake mpya Gianni Infantino linaonekana kujaribu kuinua sana soka katika ukanda wa Afrika, ambako kuna wafuasi wengi wa Infantino. Shirikisho hilo la soka sasa limeamua kuipa Africa nafasi ya upendeleo kwa kuiongezea nafasi 5 zaidi za ushiriki katika fainali za kombe la …

Read More »

KAMPUNI YA TANCOAL YATEKELEZA AGIZO LA SERIKALI

unnamed

Kijiko kikifanya kazi ya kuchimba makaa ya mawe katika mgodi wa makaa ya mawe uliopo eneo la mgodi wa Ngaka Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma 10 Mei, 2017. Baadhi ya Wataalam toka Kampuni ya Tancoal Energy Limited, wakiwa wameongozana na Waandishi wa habari wakielekea sehemu inayochimbwa makaa ya mawe kwenda kujionea …

Read More »