Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 13

Daily Archives: May 13, 2017

WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA (SHIVYATIATA) ILALA WAKUTANA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA VYAMA VYAO JIJINI DAR ES SALAAM

IMG_0059

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo (katikati), akizungumza na wajumbe wa mkutano wa shirikisho hilo wilayani Ilala, wakati wa mkutano wao wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia …

Read More »

UVCCM MWAMBUGU ALIKUA NI MWANASIASA MZALENDO

kk9

Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akisain Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo  wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .    Kaimu Katibu …

Read More »

MAKUSANYO YA KODI YA PANGO LA ARDHI YAONGEZEKA MARADUFU.

TIB1

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Yamungu Kayandabila akiongea na watumishi wa wizara hiyo katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi na kuwataka waongeze jitihada za makusanyo ya kodi ya pango la ardhi. Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimsikiliza …

Read More »

DStv kurusha matangazo mechi za Serengeti Boys kwa Kiswahili!

SERENGETI-BOYS-1

Siku chache baada ya DStv kutangaza kuwa itarusha moja kwa moja (Mubashara) Michuano ya vijana ya AFCON itakayoanza kesho huko Gabon, habari mpya na njema zinasema sasa DStv itarusha mechi zote za Serengeti boys katika michuano hiyo kwa lugha ya Kiswahili. Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania Maharage Chande, amesema baada …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii-1

TAREHE 12.05.2017 MAJIRA YA SAA 19:00HRS USIKU KATIKA MWALO WA LUMEYA KATA YA NYAKALILO TARAFA YA BUCHOSA WILAYA YA SENGEREMA MKOA WA MWANZA, ASKARI WAKIWA KWENYE MISAKO NA DORIA WALIFANIKIWA KUWAKAMATA WATU NANE WAKIWA NA NYAVU HARAMU MAKOKORO KUMI NA MOJA (11) ZA KUVULIA SAMAKI, KITENDO AMBACHO NI KINYUME NA …

Read More »

WMA REKEBISHENI MIZANI KWENYE MAGHALA YA KOROSHO-MAJALIWA

SI1

Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akihutubia    wakati wa ufunguzi wa Mkutano  Mkuu  wawa Dau wa Tansnia  ya Korosho  Nchini  ambao  umefunguliwa  na Waziri Mkuu  May 13, 2017 katika  Ukumbi wa  Chuo cha Mipango   Mkoani  Dododma   (PICHA NA OWM) Wadau  wa Tasnia ya Korosho   wakimsikilza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  wakati wa …

Read More »

TRA watoa semina ya masuala ya kodi kwa wanahabari Tanzania

kido

….. MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo, ameendelea kukanusha kwamba, Mamlaka hiyo haijamkadiria msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnamuz kulipa kodi ya shilingi Milioni 400. Hayo ameyasema leo Mei 13, 2017 wakati akifafanua hoja mbalimbali kwa waandishi …

Read More »

TADB YAFUNGULIWA MILANGO MANYARA

tb5

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Joel Bendera (katikati) akimkaribisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (kushoto) wakati alipomtembelea ofisini kwake. Kulia ni Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Manyara, Bw. Venance Msafiri. Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Manyara, Bw. Venance Msafiri (kulia) akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, …

Read More »