Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 14

Daily Archives: May 14, 2017

MAENDELEO YA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI

unnamed

  Wamiliki wa Viwanja na Mashamba wakiendelea kujitokeza kufanya malipo ya Kodi ya Pango la Ardhi katika kituo cha malipo cha Ardhi Street – Watumishi wa Kitengo cha Kodi wakiwa Mkoani Arusha katika zoezi la kusambaza Hati za madai. Mkuu wa Kitengo cha Kodi; Dennis Masami akielimisha Umma kuhusu Ulipaji …

Read More »

BUNDI MWEUSI ATINGA SIMBA,MO DEWJI NA HANS POPPE WAJIWEKA PEMBENI

DEWJI-640x386

Mwanachama na kijana tajiri barani Afrika kwa sasa  Mohammed Dewji anayetaka kununua hisa Simba, amesikitishwa na uongozi wa klabu hiyo kwa kuingia mkataba wa udhamini na kampuni ya SportPesa bila kumshirikisha. Na habari ambazo hazijathibitishwa na upande wowote, zinasema Mo Dewji, Mbunge wa zamani wa Singida Mjini ameuandikia barua uongozi …

Read More »

TFDA: DAWA ZILIZOPO SOKONI ZINA UBORA WA ASILIMIA 98

tf2

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Taasisi yake leo Jijini Dar es Salaam. : Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo …

Read More »

DKT.MABODI: VIONGOZI WA CCM KUFANYENI KAZI ZA KIJAMII

kaz1

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Saadala “ Mabodi”  na kushoto ni Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Nd. Abdulghafar Idrissa akifanya kazi ya kukandika udongo katika nyumba ya mwananchi Bi. Asha Abdalla  wa Shehia ya Fuoni Migombani  aliyebomokewa nyumba yake kutokana na maafa ya mvua …

Read More »

Ziara ya Rais Dk.Shein Maenneo ya Mafuriko leo

MAF3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)  alipokuwa  akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi wa Barabara katika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Twahir leo wakati alipotembelea Bonde la Kibonde Mzungu kutoka na Mafuriko yalitokea hivi karibuni kutoka na mvua kubwa za …

Read More »

MWENYEKITI WA KIJIJI CHA IKUNGI AVULIWA MADARAKA.

MJ4

Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ikungi  waliohudhuria mkutano maalum wa kijijji hicho wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu hayupo pichani. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu katikati akiwa na kaimu mkurugenzi wa halmashauri hiyo Haika Massawe na kaimu mwenyekiti wa kijiji hicho Athuman Seleman wakiwa kwenye …

Read More »

MAUAJI MENGINE KIBITI WANACCM WAHAHA

KATIB

Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti  WAKATI serikali ikijipanga kuanzisha Mkoa wa kipolisi katika wilaya ya Rufiji, Kibiti ,Mafia na Mkuranga ,katibu wa CCM kata ya Bungu ,wilaya ya Kibiti, Halife Mtulia amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana.  Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM wilayani Kibiti, Zena Mgaya, alisema marehemu ameuawa …

Read More »

NEC Yaanza Maandalizi Uboreshaji Wa Daftari La Wapiga Kura

unnamed

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanua jambo wakati akitoa elimu ya mpiga kura kwenye kituo cha redio Dodoma FM cha mjini Dodoma.Kulia kwake ni Afisa wa Tume Bw. Mawazo Bikenye na mbeye ni watangazaji .Picha na Hussein Makame, NEC-Dodoma. …………………………… Hussein Makame-NEC, …

Read More »

KMTC YAJIPANGA KUJENGA JIKO LA KUYEYUSHIA CHUMA

KT2

Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Uzalishaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC), Mhandisi Adriano Nyaluke akiwaonyesha Waandishi wa habari (hawapo pichani) baadhi ya mitambo itumikayo kutengeneza vipuri mbalimbali vya mashine 13 Mei, 2017 Moshi, Kilimanjaro. Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Uzalishaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC),  Mhandisi Adriano Nyaluke (kushoto) akiwaonyesha …

Read More »

WAZAZI WATAKIWA KUWAEPUSHA WATOTO NA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.

MN10

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi.Sihaba Nkinga akivishwa skafu na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwendakulima iliyopo Halmashauri ya Mji wa Kahama alipohudhuria mahafali ya 5 ya kidato cha sita katika shule hiyo. Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee …

Read More »

FAINALI ZA AFCON U-17 KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO NCHINI GABON

Ghana-u20

Fainali za Michuano ya 12 ya  Kombe la Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 zinatarajiwa kuanza leo mjini Franceville, Gabon hadi Mei 28, mwaka huu itakapofikia tamati. Mechi mbili za Kundi A zinatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Franceville kuanzia Saa 10:00 jioni kati ya wenyeji Gabon dhidi ya …

Read More »

MO ANATAKA SIMBA IMLIPE BILIONI 1.4

mo d

Unaweza kuweza kusema sasa mambo yanazidi kuamka baada ya mmoja wa wanachama maarufu wa Simba, Mohammed Dewji kuiambia Simba imlipe kiasi cha Sh bilioni 1.4 anazoidai. Mo Dewji amewaambia Simba wamlipe mara tu baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa. Taarifa zinaeleza, …

Read More »