Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 15

Daily Archives: May 15, 2017

SERENGETI BOYS YATOKA SARE NA MABINGWA WATETEZI AFCON U-17

SERENGETI-BOYS-SA-3

Timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti imeanza vizuri michuano ya Kombe la Mataifa Afrika baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Mali. Boys walionyesha kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu huku wakijilinda katika kila idara katika mechi …

Read More »

JAFO ATOA WIKI MBILI KWA HALMASHAURI YA CHAMWINO KUKAMILISHA MRADI WA MAJI MANZASE

opd

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa TAMISeMI akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali, Madaktari Bingwa, Viongozi wa Dini na Siasa katika Hospitali ya Mvumi. ………………………………………………………………………………………. Na Shanni Amanzi Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI)Selemani …

Read More »

Ziara Maalum ya Dk. Shein Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba

PEM4

Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia jengo la ZSTC Mkoani Pemba lililoanguka ukuta kutokana na kuangukiwa na mti baada ya mvua kubwa za masika zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa alipofanya ziara maalum leo (kushoto) Waziri wa Biashara …

Read More »

SMZ KUIMARISHA MASHIRIKIANO NA JUMUIYA ZA KIKANDA

usi ha

Na Ali Issa- Maelezo Zanzibar 15/05/2015 Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuimarisha mashirkiano na Jumuiya za Kikanda na Kimataifa na kuwashirikisha ipasavyo Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya Zanzibar. Hayo yameelezwa na Waziri wa nchi ofisi  ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

msangii-1

TAREHE  14.05.2017 MAJIRA YA SAA 02:00HRS USIKU KATIKA KISIWA CHA GANA KILICHOPO KIJIJI CHA KAMASI KATA YA ILANGALA WILAYA YA UKEREWE, MTU ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA MKAMA MGENGELE, MIAKA 36, MVUVI NA MKAZI WA GANA KISIWANI, ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUMFANYIA UKATILI MTU ANAYEDAIWA KUWA MPENZI …

Read More »

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA

unnamed

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha Wageni alipofika katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) lililopo Ngaramtoni Mkoani Arusha. Mkurugenzi wa Shirika linalohudumia watoto wenye …

Read More »

MWAMBUSI:MECHI YA TOTO AFRICANS ITAKUWA NGUMU KWETU

Kocha-Mwambusi

Kocha msaidizi wa Yanga SC, Juma Mwambusi  ameizungumzia mechi yao ya kesho dhidi ya Toto Africa kama mechi ngumu na yenye ushindani mkubwa kutokana hali waliyonayo wapinzani wao. Mwambusi ametanabaisha wao kama benchi la ufundi wameiandaa vyema timu yao kucheza kwa ushindani ili washinde mechi hiyo na kujiweka katika mazingira …

Read More »

TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI.

09f94df8-1812-4529-b4d9-49d06cb82195

 Chemba ya Wafanya biashara, Viwanda na Kilimo ( TCCIA ) imeingia makubaliano na Chemba ya Biashara ya Uturuki (TOBB) mjini Instanbul.TOBB ni chemba ya 2 kwa ukubwa duniani ikiwa na wanachama zaudi ya 1,500,000. Ikumbukwe kuwa Uturuki ni Nchi ya 16 kwa uchumi duniani na kilimo ni Nchi ya 7.  …

Read More »

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA ALBINO KITAIFA

A

 Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS) Bw. Nemes Temba (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uelewa juu ya ualbino mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Dar es …

Read More »

TIMU ZA DAR ZAJITOKEZA KWA WINGI USHIRIKI MICHUANO YA KIKAPU

20170513_141607

Kiongozi wa timu ya mpira wa kikapu ya Weusi Basketball Club ya jijini Dar es Salaam, Mntambo Mngeja (kulia) akipata maelekezo ya juu ya kujiandikisha kutoka kwa mratibu ya michuano ya Sprite Bball Kings, Basilisa Biseko wakati wa zoezi la uandikishaji wa timu mbalimbali kwa ajili ya ushiriki wa michuano …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

PICHA-RPC-MBEYA

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa …

Read More »

MANENO YA HANS POPPE KUHUSIANA NA UAMUZI WAKE WA KUONDOKA SIMBA

HANS POPPE

Mwenyekiti wa kamati ya Usajili Zacharia Hans Poppe, mmoja wa wanachama na viongozi maarufu wa Klabu ya Simba, ameamua kuachia ngazi kwenye kamati ya utendaji. Uamuzi wake wa kuondoka kamati ya utendaji, moja kwa moja unamuondoa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya usajili. Hans Poppe amesema kuwa, ameondoka baada …

Read More »

MSHAMBULIAJI WA MAMELOD SUNDOWNS ATUA SINGIDA UNITED

IMG-20170514-WA0036[1]

Singida United imedhamiria kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini baada ya klabu hiyo kuendelea kujiimarisha zaidi kwenye usajili wa wachezaji. Baada ya kufanikiwa kusajili wachezaji wanne wa kigeni leo hii uongozi wa klabu hiyo umekamilisha usajili wa mshambuliaji aliyewai kuitumikia ya Mamelod Sondowns na Super Sport za nchini Afrika ya …

Read More »

SERENGETI BOYS KUIVAA MALI LEO AFCON U-17 NCHINI GABON

SERENGETI-BOYS-SA-3

Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa Miaka 17, Serengeti Boys, leo Jumatatu  inafungua pazia lake katika mashindano ya Kombe la Afrika kwa Vijana, kwa kumenyana na Mali katika michuano hiyo inayofanyika nchini Gabon. Serengeti Boys ipo Kundi B, pamoja na timu nyingine za Angola na Niger ambazo …

Read More »

MBEYA CITY YANOGESHA UMISSETA COPA COCA-COLA MBEYA

Coca Cola Mbeya 15

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa michezo ya Umisseta Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mwishoni mwa wiki. Meneja Masoko Msaidizi wa Coca-Cola,Pamela Lugenge,akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa michezo ya Umisseta Copa Coca Cola katika uwanja wa …

Read More »