Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 16

Daily Archives: May 16, 2017

YANGA KUSAINI MKATABA NA SPORTPESA HAPO KESHO

SPORT

Uongozi wa klabu ya Yanga hapo kesho unataraji kuingia mkataba na kampuni ya SportPesa kwa ajili ya kuidhamini timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo mkataba huo unatarajiwa kusainiwa makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Jangwani kuanzia mishale ya saa sita mchana. Yanga inatarajiwa kupata udhamini mkubwa zaidi unaotofautiana …

Read More »

MAKUNDI, VITUO LIGI YA MABINGWA MKOA (RCL) 201718

mabingwa-mikoa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza Makundi ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL). Kadhalika TFF, limetangaza timu saba kwa kila kundi katika michuano hiyo itakayoanza Mei 28, mwaka huu katika vituo vya Lindi, S ongwe, Tabora na Kahama mkoani Shinyanga. Ratiba mechi za kila kituo itatolewa Mei …

Read More »

WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO

A-4-11

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limewateua Watanzania watatu kuwa maofisa waandamizi wa kusimamia mchezo wa kundi A kati ya  Ghana na Gabon wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 utakaofanyika Uwanja wa Port Gentil utakaofanyika kesho Mei 17, …

Read More »

MALINZI ATOA SIRI SARE SERENGETI BOYS KUIGOMEA MALI

TANZA1

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ametoa siri ya uimara wa timu ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 akisema: “Haya yote kayafanya Dk. Harrison Mwakyembe.” Akizungumza mjini Libreville, Malinzi amesema: “Ujumbe wa kuitakia kheri Serengeti Boys ulitolewa na Waziri …

Read More »

MIZANI 105 YAHAKIKIWA KATIKA VYAMA VYA WAKULIMA WILAYANI MASASI

UTL2

Wananchi wakisikiliza kwa Makini, Afisa kutoka Wakala wa Vipimo Nchini huko Wilayani Masasi wakati wa uhakiki wa Mizani hivi karibuni. Mmoja ya Maafisa wa Wakala wa Vipimo, akiukagua mzania na kuonesha alama muhimu ambazo mkulima kabla yakupima Mazao yake anapaswa  kuzifahamu huko Wilayani Masasi. Rehema Michael kutoka Wakala wa Vipimo …

Read More »

BENKI YA CBA YAZINDUA HUDUMA MPYA YA KUWAFATA WATEJA WAKE WALIPO

CBA

Mkurugenzi wa Bank ya biashara Africa CBA Gift Shoko akizungumza hivi karibuni jijini Arusha katika hafla ya uzinduzi wa  huduma ya kuwahudumia wateja kibinafsi (private banking) kwa kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka wa wateja kufuata bank(Habari Picha na Pamela Mollel blog)  Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi CBA N.Kitomari …

Read More »

TAMWA yajivunia kuwawezesha wanahabari 2470 kimafunzo

NIYO1

KILA ifikapo Mei 3 ya kila mwaka wanahabari na wadau wa vyombo vya habari ulimwenguni huadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Maadhimisho ya mwaka huu (2017) kitaifa nchini Tanzania yalifanyika mkoani Mwanza na kushirikisha wanataaluma ya habari na wadau anuai wa vyombo vya habari. Miongoni mwa hoja …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) ALIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

tot3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA – TBC

bc10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt Ayoub Rioba.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

UKWELI KUHUSU MTI ULIOGOMA KUNG’OLEWA JIJINI MWANZA.

1

George Binagi-GB Pazzo @BMG Wakazi wa Jiji la Mwanza wameingia katika taharuki baada ya kutokea uvumi wa taarifa za mti kugoma kung’olewa katika eneo la Pasiansi ambapo kuna shughuli ya upanuzi wa barabara inayoelekea uwanja wa ndege wa Mwanza. Taharuki hiyo ilianza tangu jana majira ya jioni ambapo mamia ya wananchi …

Read More »

NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

SAC1

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza jambo pale alipotembelewa na ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, wakiongozwa na Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (kushoto), Makamu wa Rais …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

msangii-1

TAREHE 15.05.2017 MAJIRA YA SAA 20:00HRS KATIKA KIJIJI CHA IBAYA KATA YA RUNELE TARAFA YA NYAMILAMA WILAYA YA KWIMBA MKOA WA MWANZA, MWANAMKE ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA MEJA NTENDE MIAKA 35, MKULIMA NA MKAZI WA KIJIJI CHA IBAYA, ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MUMEWE AITWAYE MBIMBE …

Read More »

Kura zinazoharibika zinatokana na ukosefu wa elimu ya mpiga kura

kail1

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akisalimiana na Meneja Mkuu wa Redio AFM ya Dodoma Bw. Tatenda J. Nyawo baada ya kutoa elimu ya mpiga kura kupitia redio hiyo hivi karibuni. ……………………………………………………………………….. Hussein Makame, NEC-aliyekuwa Dodoma Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA.

A 4

Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe.Jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katikati akiwatembelea pamoja na kuwafariji waathirika wa …

Read More »