Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 17

Daily Archives: May 17, 2017

BALOZI WA HUNGARY AAHIDI NCHI YAKE KUWEKEZA TANZANIA

HUNG3

Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kushoto) akionesha nia ya nchi yake kuwa na ushirika wa maendeleo na Tanzania utakao wezesha nchi hizo mbili kunufaika kiuchumi kupitia Sekta mbalimbali za Maendeleo, wakati wa Mkutano kati yake na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip …

Read More »

WASANII WA MAIGIZO WAMWANGUKIA DC WA GEITA

SNA

Mwenyekiti wa chama cha Wasanii Mkoani Geita ,Bi Rose Michael(ROSE BINANZA)Akizungumza na waandishi wa habari juu ya kutokupatiwa ushirikiano na Mkuu wa Wilaya ya Geita. Sagari Mganga ni Moja kati ya wasanii wa maigizo akisisitiza na kuomba  kupatiwa sapoti wao kama wasanii na wadau mbali mbali waliopo Wilayani na Mkoani …

Read More »

WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA VPL

VPL-logo

Wachezaji watano wameteuliwa (nominees) kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2016/2017. Walioteuliwa kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho ni Aishi Manula (Azam FC), Haruna Niyonzima (Yanga), Mohamed Hussein (Simba), Shiza Kichuya (Simba) na Simon Msuva (Yanga). Majina hayo yatapigiwa kura na makocha, makocha wasaidizi na manahodha …

Read More »

SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA

sportpesa

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Yanga  Leo wameingia mkataba na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa  na kuwa klabu ya pili kudhaminiwa baada ya watani zao Simba kuwa wa kwanza kuingia kwenye udhamini huo. Mkataba huo utakuwa ni wa miaka mitano na utagharimu …

Read More »

MSANII WA ZANZIBAR ATARAJIA KUTOA VIDEO MPYA

unnamed

Msanii wa bongo flevar Kinde Makengeza anatarajia kuibuka na video mpya ya wimbo wake unao kwenda kwa jina la kidogokidogo Pamoja na hayo Kinde amedai kua  atafanya vizuri zaidi katika nyimbo hiyo husaa kwa upande wa video Amesema kua Director anaemtumia amemuhidi atatoa Kazi zake vizuri kuliko Kazi zake ambazo …

Read More »

MRADI WA MATREKTA YA URSUS MKOMBOZI KWA WAKULIMA TANZANIA

PICHA 1

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani Pwani yakiwa tayari kuanza kufanya kazi. /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:”Table Normal”; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; …

Read More »

IMF Na Tanzania Zajadili Malengo Ya Kufikia Uchumi Wa Kati.

unnamed

 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Naibu Mkurugenzi wa shirika hilo Bw. Roger Nord na kushoto ni Gavana wa Benki …

Read More »

FURSA ZA WATANZANIA KUFUNDISHA KISWAHILI AFRIKA ZAONGEZEKA.

unnamed

Jovina Bujulu- Maelezo Hivi karibuni, Tanzania ilitembelewa na ugeni wafanyabiashara zaidi ya 80 kutoka Afrika Kusini ambao uliongozwa na Rais wa nchi  hiyo Jacob Zuma kwa  lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili. Ujio huo ulikuwa na nia ya kusaini makubaliano katika nyanja za biashara na uwekezaji, Bioanuwai …

Read More »

Serikali Yakusudia Kujenga Magereza Maeneo ya Kilimo

8753-Mhe.Mwigullu nchemba

Na Nuru Juma-MAELEZO Serikali inamkakati wa kuhakikisha inajenga Magereza   katika maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa kilimo ambayo pia yana ukubwa wa kutosha ili kazi ya kuwarekebisha wafungwa iwe rahisi kufanyika huku shughuli za uzalishaji zikiwa zinaendelea. Hayo yamesemwa leo Bungeni Mjini Dodoma na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi …

Read More »

TAKUKURU KUBANA WEZI TASNIA YA KOROSHO

mlowola3

KUTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) itafuatiIia na kubana wezi ndani ya Tasnia ya Korosho ili mkulima apate stahili yake. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Velentino Mlowola, amesema kuna wizi na udanganyifu mwingi ndani ta Tasnia ya Korosho na hivyo wakati umefika sasa wa wabaya wote kupelekwa mbele ya …

Read More »

WIZARA YAAGIZA KUKAMATWA ALIYEMCHOMA MOTO MTOTO MKOANI GEITA

index

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imelaani vikali kitendo cha mtoto wa miaka mitatu (jina limehifadhiwa), mkazi wa kata ya Rudete mkoani Geita, aliyeelezwa kwamba amejeruhiwa na mama wa kambo kwa kuchomwa moto mwilini akituhumiwa kuiba chakula alichobakiziwa baba yake. Wizara imesikitishwa na tukio hili maana …

Read More »

Wakurugenzi Wajadili Upatikanaji Wa Maji Morogoro

picha no 4

Usimamizi usiofaa wa miradi mbalimbali ya maji nchini umeelezwa kuwa ni kikwazo kwa juhudi za kuwezesha upatikanaji wa maji kwa kila familia. Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Maji na Umwagiliaji Injinia Jackson Mutazamba katika semina ya inayofanyika mjini Morogoro ikijuimuisha wakurugenzi kutoka halmashauri zote nchini. Alisema lengo …

Read More »