Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 18

Daily Archives: May 18, 2017

WAFANYAKAZI DStv WAIUNGA MKONO SERENGETI BOYS

A 1

Wafanyakazi wote wa DStv wavaa sare za Serengeti boys kama njia mojawapo ya kuwaunga mkono katika ushiriki wao katika michuano inayoendelea ya kombe la Afrika kwa wachezaji wa umri wa chini ya miaka 17 nchini Gabon.   Wakizungumzia hatua hiyo baadhi ya wafanyakazi hao wamesema kuwa kwakuwa DStv imejikita kwenye …

Read More »

Trust Care Tanzania, TTCL kuwajengea uwezo wanafunzi vyuo vikuu

ttc

SHIRIKA la Trust Care Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wameandaa semina ya kuwajengea uwezo wa kifikra wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya jijini Dar es Salaam ikiwa na lengo la kuwabadili wanafunzi kwa ujumla kuwa na mawazo chanya yatakayowawezesha kutumia fursa anuai zinazowazunguka katika jamii mara …

Read More »

MASHIRIKA YA KIMATIAFA YAOMBWA KUISAIDIA TANZANIA KUWAUNGANISHA RAIA WAPYA NA WATANZANIA WENGINE

mushi

Na Tiganya   Vincent-Kaliua Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiako wa Kimataifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashiriki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Celestine Mushi ametoa wito kwa  Mashirika Kimataifa na Umoja wa Ulaya kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuwasaidia Watanzania wapya (waliokuwa …

Read More »

KIMENUKAAA KIBITI,KIONGOZI MWINGINE WA CCM AUAWA KWA RISASI

unnamed

Kamanda wa polisi mkoani Pwani,kamishna msaidizi mwandamizi ,Onesmo Lyanga,wa kushoto,akizungumza jambo.(picha na Mwamvua Mwinyi). …………………………… Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti    HALI ya sintofahamu bado inaendelea kutanda wilayani Kibiti ,mkoani Pwani ,baada ya kutokea mauaji mengine ya kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi ,ndani ya siku sita. Kaimu mkuu wa wilaya ya …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

RPC KIDAVASHARI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio …

Read More »

SERIKALI KUHAMASISHA HALMASHAURI NCHINI KUNUNUA VIUADUDU VYA KUUA VILUILUI VYA MBU WAENEZAO MALARIA.

9234-Mhe.Kigwangala

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kuwa itaendelea kuhamasisha Halmshauri  zote nchini kununua viuadudu vya kibailojia kwa ajili ya kuua viluilui vya mbu waenezao Malaria vinavyotengenezwa na kiwanda cha Biotec product cha Kibaha. Hayo yamesemwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Wizara …

Read More »

MABASI YANAYOBEBA WANAFUNZI MKOANI SINGIDA YAKAGULIWA.

A

Askari wa usalama barabarani mkoani Singida, E.8763. Sgt. Benes Lucas akikagua mabasi yanayotumika kusafirisha wanafunzi mjini hapa jana. Baadhi ya mabasi kati ya 20 yanayotumika kusafirisha wanafunzi Mkoani Singida yakifanyiwa ugazi na askari usalama barabarani kwa lengo la kujiridhisha ubora wake. RTO Mkoa wa Singida Mrakibu wa polisi Peter Raphael …

Read More »

WAKUU WA POLISI KUTOKA NCHI ZA SADC KUKUTANA ARUSHA.

ddddd-1

Mkutano mkuu wa  mwaka wa Shirikisho la wakuu wa Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) unatarajia kufanyika Mei 24, 2017 mkoani Arusha chini ya mwenyekiti wa Shirikisho hilo kipindi hiki ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu.  Mkutano huo utatanguliwa na mikutano ya kamati …

Read More »

TADB KUCHANGAMKIA FURSA ZANZIBAR

unnamed

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anaeshughulikia Kilimo na Maliasili Bibi Maryam Juma Abdullah (aliyesimama) akiwakaribisha ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB). Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anaeshughulikia Kilimo na Maliasili Bibi Maryam Juma Abdullah (aliyesimama kulia) akizungumza wakati wa ugeni kutoka Benki ya Maendeleo …

Read More »

Ben Paul Ndani Ya Miss Ustawi Ijumaa

unnamed

  Rais wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Yohana Mabena akizungumza wakati wa kuwatambulisha warembo wao kwa wadhamini wakuu, kampuni ya Mabibo Beer. Kulia  ni msemaji wa kampuni ya Mabibo Beer, Andrea Missama na kushoto kwa Mabena ni Waziri wa Michezo wa Ustawi, Ashura Jingu. Nyuma ni warembo wa miss …

Read More »

ZANZIBAR HAIBAGULIWI KATIKA EAC

719A6500

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akimkaribisha Mkurugenzi wa Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Jamii, Bw. Eliabi Chodota kutoa mada kwenye semina ya mtangamano inayoendelea Kisiwani Pemba. Ushiriki na mwitikio katika semina hiyo umekuwa mkubwa kwa washiriki ambapo wameonekana kuvutiwa sana …

Read More »