Thursday , March 21 2019

Home / 2017 / May / 19

Daily Archives: May 19, 2017

BENKI YA CRDB YAWAPA SEMINA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO

ot pic-5701

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha. Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa …

Read More »

MECHI ZOTE ZA MWISHO VPL KUANZA SAA 10.00 JIONI

VPL-logo

  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), tunafahamisha kuwa mechi za mwisho za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/2017 zitachezwa kuanzia saa 10.00 jioni bila kujali kama jua linawahi au kuchelewa kuzama. Muda huo umepangwa ili kuhakikisha timu zote zinamaliza mechi za Ligi Kuu ya Vodacom …

Read More »

RPC LYANGA-WATUHUMIWA 12 WA MAUAJI WABAINIKA PWANI

unnamed

Kamanda wa polisi mkoani Pwani,kamishna msaidizi mwandamizi ,Onesmo Lyanga,wa kushoto,akizungumza jambo.(picha na Mwamvua Mwinyi). …………………. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la polisi mkoani Pwani ,limewabaini baadhi ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji wapatao kumi na mbili akiwemo mwanzilishi wa mauaji Abdurshakur Ngande Makeo . Aidha …

Read More »

Wakuu Wa Nchi Za Afrika Mashariki Kukutana kesho Dar

index

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajia kufanya mazungumzo ya pamoja baina yao katika  Mkutano wa kawaida wa  18 utakaofanyika kesho Mei 20 Ikulu jijini Dar es salaam.   Mkutano huo unatarajiwa kupokea  ripoti ya usuluhishi ya kamati inayoongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri …

Read More »

Mkutano Mkuu wa Vijana Kimataifa Kufanyika Arusha kwa Siku 7

A

Mratibu wa Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa kwa Vijana Tanzania, Tajiel Urioh akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani) kuzungumzia Mkutano Mkuu Kivuli wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa unaokutanisha vijana utakaofanyika kuanzia tarehe 22 hadi 26 mwezi Mei, 2017 mjini Arusha katika Ukumbi wa Taasisi …

Read More »

ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU

A

Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu  za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mtaalam wa Habari na Masoko wa ZIFF, Bi. Lara Presdon na Meneja wa Tamasha la Kimataifa …

Read More »

Muhimbili: Upungufu wa Wauguzi Kushughulikiwa, Maslahi Kuboreshwa

unnamed

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na wauguzi leo katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani ambayo hufanyika Mei 12,kila mwaka.  Baadhi ya Wauguzi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Museru katika maadhimisho hayo.  Baadhi ya Wauguzi wakirudia kiapo kwamba wataendelea …

Read More »

WATANZANIA WATAKIWA KUEPUKA UZITO MKUBWA NA VITAMBI

unnamed

 Mwenyekiti wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. Mashombo Mkamba akielezea jambo kuhusu umuhimu wa kujua magonjwa katika ngazi ya familia alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri wa Afya ya Jamii kutoka Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA), Dkt. …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

SOUPO

MAJAMBAZI WATATU WAMEUAWA NA KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI WILAYANI NYAMAGANA KWAMBA TAREHE 19.05.2017 MAJIRA YA SAA 02:30HRS USIKU KATIKA VIWANJA VYA ST. MARY’S MTAA WA NDOFE WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, WATU WATATU WANAOZANIWA KUWA NI MAJAMBAZI WANAOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1.BENEDICTO THOBIAS @ BENE MIAKA 31, …

Read More »

TANZANIA MISS SUPER MODEL 2017 AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA

A 2

Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi akizungumza wakati wa tukio la kumkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa mashindano ya Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Ally Mabula (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam. Miss huyo anatarjia kuondoka leo kuelekea Macau nchini …

Read More »

TBS YAJIPANGA KUTEKELEZA ADHMA YA UCHUMI WA VIWANDA

IMG_7647_0

Na Beatrice Lyimo MAELEZO 19/05/2017 DAR ES SALAAM. SHIRIKA la Viwango Nchini (TBS) liimejipanga kuzalisha bidhaa zenye ubora wa kumudu ushindani wa masoko ya ndani na nje ya nchi ili kutimiza malengo ya Serikali ya kufikia uchumi wa kati kupitia uchumi wa viwanda. Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi wa Shirika …

Read More »

TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI LENYE UBORA WA KIMATAIFA KUFANYIKA JUMAPILI HII KWENYE UKUMBI WA KANISA LA CITY CHRISTIAN CENTER JIJINI DAR

unnamed

Tamasha  la muziki wa injili  lenye ubora wa kimataifa  litafanyika Jumapili ya tarehe 21  katika ukumbi wa  Kanisa la City Christian Center (CCC Upanga mkabala na Mzumbe University Tamasha hili linalojulikana  Ni Salama moyoni, ambapo mwanamuziki Mchungaji PAUL SAFARI  ndiye atakayekuwa muhusika mkuu ambapo atarekodi nyimbo zake kwa njia ya …

Read More »

MAYANGA ATAJA KIKOSI CHA TAIFA STARS,AMPIGA CHINI DIDA

MAYANGA SAFI

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 24 ambao wanaunda kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na fainali za Afrika za mwaka 2019. Katika kikosi hicho Mayanga amemjumuisha kwa mara ya kwanza mlinda mlango wa timu ya Yanga Beno …

Read More »

TIMU YA AZANIA YAKWEA PIPA KUELEKEA UINGEREZA

url

Timu ya Azania imeondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Standard Chartered Safari kwenda Anfield yatakayofanyika kwenye uwanja wa klabu ya Liverpool wa Anfield. Timu hiyo imeondoka na msafara wa watu 10 ambapo kati yao wachezaji ni saba ambao ni Shabaka Hamisi, Rajabu Ally, Akhamedy Afifu, Abdala …

Read More »

TEA YAANZA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU.

A 4

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bibi. Graceana Shirima akiongea wakati wa hafla ya makabidhiano ya mkataba wa ukarabati wa shule ya Sekondari Pugu ya Jijini Dar es Salaam unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa ufadhili wa TEA. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala …

Read More »

MUHAS WATAKIWA KUWEKA MAKAZI YA KUDUMU OLOLOSOKWAN

unnamed

Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimetakiwa kuhakikisha kwamba wanatumia vyema kijiji cha kidigitali cha Ololosokwan katika kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na uwezo mkubwa katika tiba mtandao. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Mpoki Ulisubisya wakati …

Read More »

HAMIS KIIZA AJIUNGA NA AL HILAL

IMG-20170518-WA0023[1]

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya soka ya Yanga pamoja na timu ya Simba Hamis Kiiza amejiunga rasmi na klabu ya Al Hilal ya Sudan kwa kuingia kanadarasi ya mwaka mmoja kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo. Kiiza ni miongoni mwa wachezaji wenye bahati ya kusajiliwa na vilabu mbalimbali katika …

Read More »

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUTANA NA WATAALAM WA MFUMO WA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (GIS) UTAKAOTUMIKA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UKUSANYAJI TAKWIMU MBALIMBALI NCHINI

unnamed

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa kikao cha pamoja baina ya wataalam kutoka Kampuni ya esri-  inayojishughulisha na kutoa huduma za Mfumo wa Taarifa za Kijiografia (GIS), walipokutana leo Jijini Dar es Salaam ili kujadili namna mfumo huo unavyoweza kutumika wakati …

Read More »