Tuesday , November 21 2017

Home / MICHEZO / MAYANGA ATAJA KIKOSI CHA TAIFA STARS,AMPIGA CHINI DIDA

MAYANGA ATAJA KIKOSI CHA TAIFA STARS,AMPIGA CHINI DIDA

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 24 ambao wanaunda kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na fainali za Afrika za mwaka 2019.

Katika kikosi hicho Mayanga amemjumuisha kwa mara ya kwanza mlinda mlango wa timu ya Yanga Beno Kakolanya.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wafuatao.

MAKIPA
1.Aishi Manula
2.Beno Kakolanya
3.Said Mohamed

WAZUIAJI
1.Shomar Kapombe
2.Hassani Ramadhani Kessy
3.Mwinyi Haji
4.Mohamed Hussein
5.Salim Abdalah
6.Agrey Moris
7.Abdi Banda
8.Erasto Nyoni

VIUNGO
1.Himid Mao
2.Jonas Mkude
3.Salum Abubakar
4.Said Ndemla
5.Mzamiru Yassin
6.Simon Msuva
7.Farid Musa
8.Shiza Kichuya
9.Thomas Ulimwengu

WASHAMBULIAJI
1.Mbwana Samata
2.Mbaraka Yusuph
3.Ibrahim Hajibu
4.Abdulrahiman Mussa

About Alex

Check Also

1

UONGOZI WA TIMU YA MAJIMAJI WAMPA TUZO MAALUM WAZIRI MAKAMBA

Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda¬† kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

fourteen + 3 =