Tuesday , November 21 2017

Home / MICHEZO / MECHI ZOTE ZA MWISHO VPL KUANZA SAA 10.00 JIONI

MECHI ZOTE ZA MWISHO VPL KUANZA SAA 10.00 JIONI

 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), tunafahamisha kuwa mechi za mwisho za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/2017 zitachezwa kuanzia saa 10.00 jioni bila kujali kama jua linawahi au kuchelewa kuzama.

Muda huo umepangwa ili kuhakikisha timu zote zinamaliza mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zinamalizika siku moja ya Mei 20, mwaka huu na kwa muda mmoja, ikiwa ni pamoja na kudhibiti viashiria vyo vyote vya upangaji wa matokeo.

Ni jukumu la kila kamishna kuhakikisha mechi anayosimamia inaanza katika muda ulipangwa bila kujali kama kuna mgeni rasmi au la.

About Alex

Check Also

1

UONGOZI WA TIMU YA MAJIMAJI WAMPA TUZO MAALUM WAZIRI MAKAMBA

Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda  kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 + 6 =