Tuesday , January 16 2018

Home / BURUDANI / ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU

ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU

unnamed

Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu  za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mtaalam wa Habari na Masoko wa ZIFF, Bi. Lara Presdon na Meneja wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Daniel Nyalusi.

A

Mtaalam wa Habari na Masoko wa ZIFF, Bi. Lara Presdon akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo.

A 1

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Emerson’s Zanzibar Foundation, Said ELG akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tuzo ya Filamu itakayotolewa na taasisi yake katika Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo.

A 2

 Baadhi ya waamdishi wa habari wakifuatilia mkutano wa waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) leo jijini Dar es Salaam.

Picha na: Frank Shija – MAELEZO

About Alex

Check Also

2

DStv YAONGEZA TAMTHILIA ZA KITANZANIA!

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harishon Mwakyembe(katikati) na Katibu Mtendaji wa Bodi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nineteen − sixteen =