Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 20

Daily Archives: May 20, 2017

MAKAMU WA RAIS KUZINDUA KAMPENI YA MIMI NA WEWE MJINI UNGUJA

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Unguja – Zanzibar akitokea mkoani Dodoma ambapo hapo kesho anatarajiwa kuzindua ya kampeni maalum inayojulikana kama Mimi na Wewe mjini Unguja. Lengo la kampeni hiyo ni kuhamasisha jamii kuchangia kwa hali na mali katika uboreshaji …

Read More »

TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA

VPL-logo

Hatimaye timu tatu zilizoteremka daraja zimejulikana nazo ni JKT Ruvu kutoka Pwani, Toto African ya Mwanza na African Lyon ya Dar es Salaam. Timu hizo zimeteremka baada ya mechi za mwisho za ligi huku mbili kila moja ikipoteza na moja ikipata sare ya bila mabao. Toto African wamepoteza kwa kuchapwa …

Read More »

Trust Care Tanzania Foundation yawanoa wanafunzi vyuo vikuu Dar

nick

MKURUGENZI Mtendaji wa Trust Care Tanzania Foundation, Zambert Mbwafu alisema semina hiyo ni maalum kwa wanafunzi waliopo vyuoni kwa ajili ya kuwajengea uwezo. Alisema mada zilizotolewa ni pamoja na Umuhimu wa Kujiamini na Kujijengea Uwezo, Uwezo wa Uthubutu, Vipaji na Jinsi ya Kuviendeleza, Maadili na Nidhamu katika Kazi na Ubunifu katika …

Read More »

MTAMA WAIFAGILIA KAMPENI YA TGGA YA HEDHI SALAMA KWA WASICHANA

SHUL

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Mkoa wa Lindi, Sharifa Mkwango akitoa elimu kwa wanafunzi kuhusu Hedhi salama kwa wasichana  (Manustretion Hygiene) wakati wa kampeni iliyoendeshwa na chama hicho  katika Shule ya Sekondari Mtama, Lindi Vijijini juzi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA-KAMANDA WA MATUKIO BLOG ……………………………………………… Na …

Read More »

CHIN BEES AACHIA WIMBO NA VIDEO MPYA ‘NYONGA NYONGA’

JAM

Baada ya kujitengenezea heshima adimu kama ‘Prince wa Trap’ Tanzania kupitia ngoma yake, Pepeta, Chin Bees ameachia wimbo mpya ‘Nyonga Nyonga’ pamoja na video yake. Wimbo huo wenye mahadhi ya dancehall iliyochanganyikana na ladha za aina yake za Kibongo, unadhihirisha uwezo wa Chin katika kubadilika kwenye mahadhi mbalimbali kama atakavyo. …

Read More »

WAZIRI HAMAD AIPIGIA DEBE ZANZIBAR

A 7

                                                                                                                                         Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed (kushoto) akimkabaribisha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (kulia) wakati walipomtembelea Ofisini kwake mjini Unguja. Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Augustino Chacha (wapili kushoto) akikaribishwa …

Read More »

BODI YA LIGI YAWEKA KOMBE MOJA MWANZA, MOJA DAR ES SALAAM

KOMBE ubingwa bara

Huku Bingwa wa Ligi Kuu Bara akitarajiwa kupatikana leo, Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imeandaa makombe mawili kwa ajili ya kumkabidhi bingwa, moja lipo Dar es Salaam na lingine lipo Mwanza. Kombe moja leo litakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambapo Simba inacheza na Mwadui FC ya Shinyanga …

Read More »

SBL YAZINDUA BIA MPYA IITWAYO SERENGETI PREMIUM LITE

1

   Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka wizara yake, Leah Kihimbi (kulia) ambaye alimwakilisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, Dk Harrison Mwakyembe aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa bia mpya aina ya Lite akitosti glasi na Mkurugenzi wa Fedha na Bodi ya SBL, Kalpesh Mehta (kushoto) na mjumbe wa bodi ya …

Read More »

MIZANI 94 YATAKIWA KUFANYIWA MAREKEBISHO WILAYANI RUANGWA

mizani

Wakala wa Vipimo Mkoa wa Lindi imezuia matumizi ya mizani 94ya vyama vya msingi vya ushirika(AMCOS) katika Wilaya ya Ruangwa. Mizani hiyoimezuiwaisitumike katika msimu ujao wa ununuzi wa ufuta/korosho mpaka itakapofanyiwa marekebisho na Mafundi Mizani kwa kurekebisha mapungufu yaliyoainishwa na Wakaguzi wa mizani hiyo,ambapo Mizani hiyo itakaguliwatena na Maafisa vipimo …

Read More »