Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 21

Daily Archives: May 21, 2017

SHEREHE ZA TUZO ZA LIGI KUU 2016/17 ZIMEWADIA

index

SHEREHE za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inatarajiwa kufanyika Mei 24 mwaka huu ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Kamati Maalum iliyoundwa kusimamia tuzo hiyo imefanya mabadiliko kiasi kwa kuongeza baadhi ya tuzo ambazo hazikuwepo msimu uliopita lengo ikiwa ni kuboresha tuzo. Tuzo zilizoongezwa …

Read More »

AJALI: RAIS MALINZI AWAFARIJI RUVU SHOOTING

index

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko taarifa za kupata ajali kwa msafara wa timu ya Ruvu Shooting FC iliyotokea leo barabara ya Manyoni mkoani Singida wakati kikosi hicho kikitokea Shinyanga kwenda Pwani. Taarifa kutoka Singida zinasema gari hilo lilipata ajali baada ya kupasuka tairi moja la …

Read More »

TEA YAKABIDHI MRADI WA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI PUGU

TEA1

  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA),  Graceana Shirima, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo Wilaya ya Ilala Dar es Salaam (katikati) Kaimu Mkurugenzi TEA, Dk. Erasmus Kipesha, na Kaimu Mwanasheria TEA Igenge Edwin. (Picha na Francis Dande). …

Read More »

MAJAJI NA MAHAKIMU WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO CHANYA WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO

index

Na Magreth Kinabo –Mahakama ya Tanzania.                    Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali, amewataka Majaji na Mahakimu kuzingatia maadili ya Uhakimu na Utumishi wa Umma na kutenda haki wakati wanapotimiza majukumu yao. Aidha, Jaji huyo alisema Majaji na mahakimu wanaptimiza majukumu yao wanapaswa kuzingatia kanuni za utendaji wao …

Read More »

DKT.MABODI: ASEMA ATALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE.

mas2

Afisa milki wa CCM Zanzibar Nd. Mwenemzi Omar Said aliyevaa fulana ya njano akionyesha ramani na mipaka ya Shamba hilo kabla ya kuanza ziara hiyo (katikati) ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Abdalla Juma Saadala “ Mabodi”  na kushoto aliyevaa kanzu na kofia ni Kaimu Mkuu wa Utawala Afisi …

Read More »

MAJALIWA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MKAPA

mka3

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wakati alipomtembelea  Rais huyo Mstaafu nyumbani kwake jijini Dar es salaam Mei 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wakati alipomtembelea Rais huyo Mstaafu  nyumbani kwake jijini Dar es …

Read More »

USHIRIKA WA WAUZA MADAGAA WA TUSIYUMBISHANE WAOMBA ‘JEKI’ YA TADB

A

 Wajumbe wa Kikao cha Pamoja kati ya Chama cha Ushirika cha Wauza Madagaa cha Tusiyumbishane kilichopo eneo la Maruhubi mjini Unguja na ugeni wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Kikao kilijadilia changamoto zinazozikabili Ushirika huo na namna TADB inavyoweza kuwasaidia katika kuendeleza ushirika huo. Mtaalamu wa Ushirika kutoka …

Read More »

KUTOKA SHAHIRI HADI KUWA KINYWAJI CHA BALIMI EXTRA LARGER

BALIMI3

wakulima mbalimbali wakionyesha mashamba ya shahiri mkoani Arusha Shahiri ni moja ya malighafi muhimu katika kutengeneza bia   ………………….. –Uzalishaji wake unakuza uchumi na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii Safari yenye historia ya kuvutia ya zao la Shahiri hadi kuwa kinywaji cha bia ya Balimi Extra Lager inaanzia mbali na …

Read More »

BILIONEA WA URUSI KUINUNUA ARSENAL

Usmanov-alisher

Bilionea wa Urusi aliyezaliwa nchini Uzbekistan Alisher Usmanov amewasilisha ombi la pauni bilion moja kuinunua Arsenal kutoka kwa mmiliki wake Stan Kroenke. Huku Kroenke akiwa hana hamu, ombi hilo limekataliwa ijapokuwa Usmanov hajapata uthibitisho woote kupitia maandishi. Gazeti la The Financial Times limeripoti kamba Usmanov aliwasilisha ombi hilo mwezi uliopita …

Read More »

TADB: “ATAKAYE NA AJE KUKOPA”

KIK3

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (kushoto) akimsikiliza Katibu na Mwanasheria wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC), Bw. Ali Hilali Vuai (kulia) wakati wa Kikao cha Wadau wa Karafuu ambapo TADB ilialikwa kuwasilisha mada. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar …

Read More »