Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 22

Daily Archives: May 22, 2017

WAKULIMA WA NDIMU BWEJUU WALILIA SOKO

unnamed

Na mwandishi wetu, Zanzibar Umoja wa Wakulima wa Ndimu wa Kikundi cha Juhudi Zetu kilichopo Bwejuu, mjini Unguja wametoa kilio chao cha kukosa soko la ndimu wanazozalisha kwa uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Wakizungumza na ugeni huo, wakulima hao wamesema kwa muda mrefu sasa wamekosa soko …

Read More »

CANDY IMAX YAITEKA BONGO MOVIE

CAN

BAADA ya kuonekana kuanza hali ya kuashiria kupoteza mvuto kwenye tasnia ya filamu hapa Bongo,hatimaye Candyimax imekuja kwa kasi ya kurudisha hadhi ya filamu hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kupitia ‘Candyimax online streaming Tv’ imetoa fursa kwa kiwanda cha filamu hapa nchini na wadau wote kupeleka miongozo ya …

Read More »

SERENGETI BOYS: NI KUJIPANGA UPYA

SERENGETI-BOYS-SA-3

Safari ya Serengeti Boys – timu ya Tanzania ya Vijana wenye umri wa miaka 17, inaendelea licha ya jana Mei 21, mwaka huu kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya kuwania taji la Afrika hapa Port Gentil nchini Gabon. Serengeti Boys ilifungwa bao 1-0 na Niger katika mchezo uliofanyika , hivyo …

Read More »

VPL: MCHEZAJI BORA WA MWEZI MEI NI MOHAMMED HUSSEIN

Tshabalalal-559x520

Mchezaji wa timu ya Simba SC, Mohamed Hussein amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Mei kwa msimu wa 2016/2017. Hussein aliwashinda wachezaji Haruna Niyonzima wa Yanga na Shabani Idd wa Azam FC.  Katika mwezi Mei kulikuwa na raundi tatu ambazo Hussein alicheza kwa dakika zote 270 na kutoa mchango mkubwa …

Read More »

NEEC, UN, HDIF Wazindua Mafunzo Kwa Wajasiriamali

7

  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji,Bengi Issa, akizungumza na waandishi wa habarai Dar es Salaam jana wakati wa semina kwa vijana kuhusu namna ya kutumia Fursa kujikwamua kiuchumi. Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Alvaro Rodriguez,Mkurugenzi wa Fursa, Ruge Mutahaba na Kiongozi wa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 22.05.2017 WATU WATATU WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI HUKU MWINGINE MMOJA AKIENDELEA KUTAFUTWA KWA TUHUMA ZA KUMBAKA BINTI MMOJA WILAYANI ILEMELA.   KWAMBA TAREHE 21/05/2017 MAJIRA YA SAA 19:00HRS KATIKA MAENEO YA MAMLAKA YA PAMBA KATA …

Read More »

TBL GROUP YASHIRIKI KAMPENI YA KUWAJENGEA WASICHANA UWEZO

ZENA-PHOTO 1

 Meneja wa Mawasiliano wa TBL Group, Zena Tenga, akiongea na wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyopo Bagamoyo katika semina ya kuwajengea  uwezo wa kujiamini na kukabiliana na  changamoto mbalimbali chini ya mpango unaojulikana kama HerAfrica. Wanafunzi  wasichana wa shule ya sekondari  ya Premier iliyopo Bagamoyo katika …

Read More »

SEKTA BINAFSI CHACHU YA MAENDELEO KUELEKEA TANZANIA YA VIWANDA.

ug8

          Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                             Tanzania ya viwanda inayoelekea kwenye uchumi wa kati ni moja kati ya mipango mikubwa ya Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli katika azma yake ya kuleta Maendeleo  nchini. Akihutubia Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

MSUVA, MUSSA WAGAWANA KIATU CHA DHAHABU

2

Washambuliaji Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting na Simon Msuva wa Yanga wameibuka wafungaji bora kwenye Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2016/2017 iliyomalizika Mei 20 mwaka huu. Kutokana na wachezaji hao kuibuka vinara kwa ufungaji ambapo kila mmoja amefunga mabao 14, watagawana zawadi ya mfungaji bora ambayo ni sh. 5,800,000. Yanga …

Read More »

“SERIKALI KUSAMBAZA VIFUKO VYENYE VIFAA MAALUM VYA KUJIFUNGULIA KWA WANAWAKE 500,000 NCHI NZIMA”-MHE.KIGWANGALLA

9724-Mhe.Kigwangalla

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kuwa inategemea kusambaza  vifuko maalum vya kujifungulia vyenye vifaa vya kujifungulia  kwa wanawake  500,000 ambavyo vitasambazwa nchi nzima kulingana na uhitaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Mhe.Dk Khamis Kigwangalla wakati akijibu swali …

Read More »

VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUINGILIA KATIKA MAUAJI YA KIBITI

index

“WAITAKA SERIKALI KUWADHIBITI WAHAMIAJI HARAMU /WAILILIA CUF/CCM/WANAHARAKATI” Na Mwandishi Wetu,Pwani BAADHI ya wananchi wilayani Kibiti ,mkoani Pwani ,wamewataka viongozi wa vyama vya siasa vikubwa wilayani humo, Chama cha Mapinduzi (CCM) na CUF ,kukaa meza moja kuangalia namna ya kukemea vitendo vya mauaji vinavyoendelea kwenye ukanda huo. Aidha wamesema kwa umoja …

Read More »

UHALIFU UNAOVUKA MIPAKA KUJADILIWA ARUSHA.

unnamed

NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI, ABDULRAHMANI KANIKI, AKITOA HOTUBA YA UFUNGUZI WA MKUTANO WA KAMATI TENDAJI ZA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI KWA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA, (SARPCCO)  IKIWA NI MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SHIRIKISHO HILO UNAOTARAJIWA KUFANYIKA  JUMATANO TAREHE 24/05/2017 MKOANI ARUSHA. PICHA NA HASSAN …

Read More »

MTULE AMCOS WAJIPANGA KUCHANGAMKIA FURSA ZA TADB

A 5

Katibu wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Masoko cha Mtule (Mtule AMCOS), Bw. Ali Fadhil Ali akiongea wakati Benki ya Kilimo ilipotembelea Kijiji cha Mtule kukagua miradi ya kilimo inayohitaji mikopo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (kulia) akizungumza na wanachama wa  Mtule AMCOS (hawapo pichani) kuhusu …

Read More »

MV KAZI YAFANYIWA MAJARIBIO

A 1

Kivuko kipya cha MV KAZI kikiwasili kwa mara ya kwanza upande wa Magogoni tayari kwa majaribio ya kubeba abiria na magari.  Magari yakiingia kwa mara ya kwanza kwenye kivuko kipya cha MV KAZI tayari kuvuka kuelekea upande wa Kigamboni. Kivuko hicho kilikua kikifanyiwa majaribio baada ya ujenzi wake kukamilika.  Abiria …

Read More »

MAHENGE AVAA KIATU CHA ALPHONCE MAWAZO GEITA

DSC_0458

Mwenyekiti aliyechaguliwa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,Fabian Mahenge Akiomba kura kwa wajumbe wakati wa mkutano wa maamuzi ya uchaguzi wa ndani ya chama hicho.   Mgombea wa uenyekiti Bw,Charles Makanje akiomba kuchaguliwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti ngazi ya Mkoa ndani ya chama cha CHADEMA. Miongoni mwa wasimamizi …

Read More »