Friday , January 19 2018

Home / MCHANGANYIKO / UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAENDELEA MKOANI DODOMA

UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAENDELEA MKOANI DODOMA

unnamed

Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya ofisi hiyo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya  ujenzi wa jengo hilo iliyofanyika hivi karibuni  mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.

A

A 1

Taswira ya ujenzi wa  jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.

A 2

Taswira ya ujenzi wa  jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.

About Alex

Check Also

IMG_3931

WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Ndugu Nicholaus Lugandu mkazi wa Kijiji cha Ikelu Kata ya Ikelu Wilaya Njombe akichukuliwa alama …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

13 − three =