Monday , February 18 2019

Home / 2017 / May / 23

Daily Archives: May 23, 2017

NAIBU WAZIRI WA FEDHA KUFUNGUA MKUTANO MKUU GEPF ARUSHA

SAM_0937

Mkurugenzi mkuu wa mfuko Gepf , Daudi Msangi akizungumza leo na vyombo mbalimbali kuhusu, mkutano wa wadau wa mfuko huo ambao  utashirikisha wadau zaidi ya mia tatu kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini,,mgeni rasmi katika mkutano huo anatarajiwa kuwa  Naibu waziri wa fedha na mipango  Ashatu kijaja  kufungua mkutano  huo wa …

Read More »

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA MAKONDA

KOND

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. SARAH COOKE, amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe PAUL MAKONDA na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuongeza na kuimarisha Ushirikiano uliopo baina ya jiji la Dar es salaam na London, nchini Uingereza. Katika mazungumzo yao, Mhe MAKONDA na Bi. COOKE …

Read More »

WANAFUNZI WATATU WAFA MAJINI MKOANI GEITA

IMG_20170523_134835

Baadhi ya viongozi wa kiserikali na wakidini pamoja na wananchi wakiwa kwenye ibada ya mazishi ya  watoto watatu ambao wamekufa maji .   Mkuu wa Wilaya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Geita waki shuhudia miili ya marehemu .   Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi akitoa pole …

Read More »

MAZIKO YA MZEE TAIMURI SALEH

A 1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) alipojumuika na Waislamu mbali mbali katika kumswalia Marehemu Mzee Taimur Saleh Juma katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani Mjini leo,marehemu aliwahi kushika nyazifa mbali mbali katika Serikalia ya Mapinduzi Zanzibar.  Baadhi ya Waislamu wakiitikia dua …

Read More »

PROF. MBARAWA AITAKA BODI YA DMI KUBORESHA MIUNDOMBINU

unnamed

Serikali imeitaka Bodi ya Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (DMI), kuhakikisha inaboresha miundombinu ya chuo na kuzingatia miiko na kanuni za ufundishaji ili wanafunzi wanaohitimu  chuoni hapo waweze kukidhi mahitaji ya soko. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, amesema hayo leo jijini Dar es salaam, wakati …

Read More »

MAJALIWA: BENKI VIKOPESHENI VIKUNDI VYA WAKULIMA

A 3

23, Mei , 2017 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka benki mbalimbali nchini ikiwemo Benki ya Maendeleo ya Kilimo kutoa mikopo kwa vikundi vya kilimo ili viweze kupata fedha za kununulia matrekta.   Amesema Serikali imedhamiria kuimarisha Sekta ya kilimo ili kwenda sambamba na adhma yake …

Read More »

Bright future for continent’s digital workforce at female-dominated graduation for Francophone Africa leg of 2017 SAP Skills for Africa

unnamed

All 63 graduates will be placed at partner and customer organisations to apply skills in real-world business environment First true Francophone class as group includes graduates from Morocco, Cote d’Ivoire and Algeria. BENGUERIR, Morocco — May 22, 2017 – Following an intense 9-week on-site training program held between the Mohammed …

Read More »

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI

PMO_6318

Na Nuru Juma & Husna Saidi- MAELEZO. Serikali kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji inaendelea na kutekeleza  miradi mbalimbali ya maji Mijini na Vijijini ili kuhakikisha Taifa linaondokana na kero itokanayo na maji. Hayo yamesemwa leo Bungeni Mjini Dodoma na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge alipokuwa akijibu …

Read More »

PBZ, TADB KUWAINUA WAKULIMA VISIWANI ZANZIBAR

unnamed

Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, Bw. Juma Ameir (kulia) akizungumza na wageni kutoka TADB (kushoto) wakati walipofika Ofisini kwake kujadiliana masuala mbalimbali yenye lengo la kuwanyanyua wakulima visiwani humo. Mjumbe wa Bodi ya TADB, Bibi Rehema Twalib (kulia) akizungumza wakati walipotembelea Makao Makuu ya Benki ya Watu wa Zanzibar. Kushoto ni …

Read More »

CCM Z’BAR YATOA MAAGIZO MAZITO KWA JUMUIYA ZAKE.

unnamed

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar  Dkt. Abdalla Juma Saadala akizungumza wakati wa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo watendaji na viongozi wa Majimbo 9 ya CCM na jumuiya zake Mkoa wa Mjini Unguja. washiriki wa mafunzo hayo wakisikiliza kwa makini Nasaha za Mgeni rasmi  Dkt. Abdalla Juma Saadala huko ktk …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA TELEGRAMS:   POLISI,                                                                                               OFISI YA TELEPHONE: 2500712                                                                         KAMANDA WA POLISI, Fax: 2502310                                                                                            MKOA WA MWANZA, E-mail: mwapol@yahoo.com                                                                                      S.L.P. 120,            rpc.mwanza@tpf.go.tz                                                                                  MWANZA. TAARIFA YA JESHI LA POLISI …

Read More »

MAJALIWA ATMBELEA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MATREKTA YA URSUS KILICHOPO KIBAHA. PIA ATEMBELEA ENO LA UWEKEZAJI LA KAMAL BAGAMOYO

A 5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mtrekta aina URSUS yanayounganishwa kwenye karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei 23, 2017.Kulia  kwake  ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji,  Charles Mwijage. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mtrekta aina URSUS yanayounganishwa kwenye …

Read More »

SERIKALI IMEKAMATA VYOMBO 2795 KATIKA KUZUIA UVUVI HARAMU.

OLE

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi katika kipindi cha mwaka 2010-2015 imekamata   vyombo 2795,injini za Mitumbwi 118,magari 297 na pikipiki 33 kwa sababu ya uvuvi haramu na utoroshwaji haramu kupitia  maziwa makubwa,mwambao wa Bahari ya Hindi na Mipaka ya Nchi. Hayo yamesemwa leo Bungeni na …

Read More »

How Could you Advantage with Compose My Paper Company?

How Could you Advantage with Compose My Paper Company? Round the off likelihood that you are seeking to get a company to put in writing papers for me individually, be sure to query them what their strategies require presctiption creativeness, regardless if or not their essayists have specialized educations, and …

Read More »

UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI

DSC_0513

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (Mbele) akihutubia maelfu ya wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Arusha zinazoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA, katika ufunguzi wa mashindano hiyo mkoani Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid iliyofanyika mwishoni mwa wiki. Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (Mbele) akiambatana na …

Read More »

MANJI ATHIBITISHA RASMI KUACHIA NGAZI YANGA,SANGA KUONGOZA UENYEKITI

pic+azam

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga,Yusuf Manji amethibitisha rasmi kuwa ameachia ngazi ya kuiongoza timu kongwe hiyo na amesema hawezi kuongea zaidi wakati barua inajionyesha. Akizungumza na mtandao huu muda sio mrefu amesema kuwa ameachana na Yanga ili wengine waweze kuiendesha kwani yeye amefanya mambo makubwa kwa hiyo ambapo alishindwa kufika …

Read More »

RC TABORA APIGA MARUFUKU USAFISHAJI WA TUMBAKU NJE YA WILAYA

index

     NI BAADA YA WAKULIMA 18 KUKAIDI AGIZO LA WAZIRI MKUU. ·        ATAKAYEKAMATWA TUMBAKU YAKE KUTAIFISHWA Na Tiganya Vincent  RS-Tabora 23.5.2017   Mkuu wa  Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri amepiga marufuku usafirishaji wa  tumbaku kutoka Wilaya moja kwenda nyingine ili kudhibiti utoroshaji unaotarajiwa kufanya na baadhi ya wakulima wasio …

Read More »

TAMKO LA KLABU YA YANGA BAADA YA MANJI KUACHIA NGAZI

manji1

Baada ya taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kueleza kuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Yusuf Manji ameachia ngazi kuiongoza Yanga, tamko rasmi limetolewa juu ya ukweli wa suala hilo. Katibu Mkuu wa Klabu ya Yanga, Charles Mkwasa ametoa tamko kwa kusema kuwa hajapata taarifa rasmi juu ya ukweli wa …

Read More »