Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / May / 24

Daily Archives: May 24, 2017

DC SHINYANGA AFUNGA MAFUNZO YA MAAFISA WATENDAJI ,AWATAKA KUKATAA MIRADI WASIYOITAMBUA

MWAA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro (pichani)  amewataka maafisa watendaji wa mitaa,vitongoji,vijiji na kata kuwa chachu ya maendeleo kwa kushirikiana kikamilifu na madiwani wao ili kuwaletea maendeleo wananchi huku akiwataka kukataa miradi wasiyoielewa katika maeneo yao. ………………………………………………………………………..   Matiro ameyazungumza hayo leo May 24,2017 wakati akifunga mafunzo ya siku …

Read More »

Lucky Vicent Wang’ara Juma la Elimu

JU7

Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha Ndg. David Mwakiposa akizungumza wakati wa maadhimisho ya Juma la Elimu katika Jiji la Arusha Kaimu Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi Bi. Eunice Tondi akisoma taarifa katika maadimisho ya juma la Elimu yaliyoadhimishwa katika viwanja vya Arusha School jijini hapa. Mgeni rasmi ambaye …

Read More »

NHIF YAZINDUA MPANGO WA MADAKTARI BINGWA GEITA

NHI

  Kaimu Mkurugenzi wa tiba na ushauri wa kiufundi NHIF Makao makuu ,Dr Aifena Mramba akielezea malengo ya kuwepo kwa madkatari Bingwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita wakati wa hafra fupi ya uzinduzi ambayo imefanyika kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.  Meneja wa NHIF Mkoani Geita …

Read More »

COMMISSION SALES REPRESENTATIVES

                          COMMISSION SALES REPRESENTATIVES We are a group of companies currently looking to expand and now looking for Commission based sales representatives in Dar es salaam (30) all other regions  (2) each city to enable us expand our business. The ideal candidates will possess a high energy level, outgoing personality, …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 24.05.2017 MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUPATIKANA NA NOTI BANDIA ZA SHILINGI ELFU KUMI 20, ZENYE JUMLA YA THAMANI YA TSH.200, 000/=, WILAYANI NYAMAGANA. WATU WAWILI WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI …

Read More »

UONGOZI WA YANGA WAKATAA OMBI LA MANJI

DSC_1031[1]

Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kujiuzulu kwa aliyekuwa mwenyekiti wao Yusuf Manji alieamua kujiweka pembeni ndani ya klabu hiyo baada ya kuiongoza kwa kipindi cha miaka 11. Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga Siza Lymo alisema kwamba kwa upande wao kama uongozi bado wanashindwa kulitolea ufafanuzi zaidi kwani …

Read More »

UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SARPCCO

A 1

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Mhe.Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu wakati anawasili katika ukumbi wa mikutano wa AICC kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kutoka nchi za kusini …

Read More »

RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI KWENYE MCHANGA KATIKA MAKONTENA YALIYOZUILIWA BANDARINI, ATUMBUA TENA

1

Rais Dk John Pombe Magufuli akipokea ripoti kutoka kwa  Profesa Abdulkarim Hamis Mruma Mwenyekiti wa Kamati Maalum  ambayo ilipewa kazi ya kuchunguza kiwango cha aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga   uliomo ndani ya makontena yaliyozuiliwa na Serikali  Bandarini na sehemu mbalimbali hapa nchini katika hafla iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es Salaam …

Read More »

GEITA WAPONGEZA HUDUMA ZA NHIF

unnamed

Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita ambapo mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa NHIF Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu na Ushauri wa Kitaalam Dk. Aifena Mramba ambaye alimwakilisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Benrard Konga,akitoa maelezo ya awali kwenye uzinduzi wa huduma hizo. Mramba akikabidhi Mashuka na Vifaa …

Read More »

PHIRI:MSIMU MBAYA NA MATOKEO YA KUSHANGAZA

NF6_9494

JUMAMOSI  Mei 20, kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea, Mbeya City  fc ilicheza mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara  2016/17  na kupoteza kwa bao 2-1 dhidi ya wenyeji Majimaji Fc waliocheza mchezo huo wakiwa na presha kubwa ya kuepuka kushuka daraja jambo lililowachagiza kucheza kwa …

Read More »

MHE SPIKA ATEMBELEA BUNGE LA KENYA

A

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai  (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa …

Read More »

RADIO ZA JAMII MSITUMIWE NA WANASIASA: ANASTAZIA WAMBURA

A 1

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Dkt. Tausi Kido walipokuwa wakielekea katika uzinduzi wa mafunzo yahusuyo Radio ya Jamii kwa Maendeleo Vijijini yaliyofanyika Mjini Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za …

Read More »

BancABC wins best emerging Bank in Tanzania

11

  BancABC has been announced as the Best Emerging Bank in Tanzania for the year 2017. The bank won the award during The Banker Africa – East Africa Awards 2017 which were held in Nairobi last week.Speaking during the event which was held at Kenya’s capital crown plaza, Robin Amlot …

Read More »