Wednesday , August 15 2018

Home / MICHEZO / FIFA YATUMA SALAM ZA PONGEZI KWA YANGA BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU BARA 2016-17

FIFA YATUMA SALAM ZA PONGEZI KWA YANGA BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU BARA 2016-17

 

RAIS wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi leo amesema kuwa Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino ametuma salam za pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2016/17 na ameitakia kheri Yanga.

About Alex

Check Also

MO SALAH ACHUNGUZWA NA POLISI

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah ‘Mo Salah’ anachunguzwa na polisi nchini England kutokana …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 × two =