Sunday , October 21 2018

Home / MCHANGANYIKO / GEITA WAPONGEZA HUDUMA ZA NHIF

GEITA WAPONGEZA HUDUMA ZA NHIF

unnamed

Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita ambapo mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa NHIF

A

Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu na Ushauri wa Kitaalam Dk. Aifena Mramba ambaye alimwakilisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Benrard Konga,akitoa maelezo ya awali kwenye uzinduzi wa huduma hizo.

A 2

Mramba akikabidhi Mashuka na Vifaa tiba kwa uongozi wa Mkoa wa Geita kwa ajili ya matumizi ya zoezi la MadaktariBingwa.

A 3

WananchiwenyeuhitajiwahudumazaKibingwawakiwakwenyemstariwakuandikishwa

A 4

Wananchiwakifuataliahotubayauzinduziwazoezihilo la madaktariBingwa

A 5

WahudumukatikahospitaliyaMkoawaGeitawakihesabumashukayaliyotolewana NHIF.

…………………………

Geitawapongezahudumaza NHIF

Na Grace Michael, Geita

MamiayawananchimkoaniGeitawamejitokezakupatahudumazamadaktaribingwa , mpangounaotekelezwakwaushiriianowaMfukowaTaifawaBimayaAfyanaWizarayaAfya, UstawiwaJamii, Jinsia, WazeenaWatoto.

MpangohuoulianzakutekelezwasikuyaJumatatu wiki hii, katikamikoayaGeitanaKigomanaunalengakuwahudumiawagonjwaambaowanahitajihudumazakibingwaambazohazipokatikaHospitalihizo.

Madaktaribingwawanaoshirikikatikampangohuoniwamagonjwayawatoto, mfumowamkojo, magonjwayandaninamoyo, magonjwayapua, masikionakoopamojanahudumazadawazausingizinahudumazawagonjwamahututi.

WakizungumzakatikauzinduziwampangohuouliofanyikakatikaviwanjavyahospitaliyamkoawaGeita, wananchiwaliojitokezakupatahudumahizowamesemaujiowawataalamuhaoumekuwamsaadamkubwanaumewaondoleausumbufunagharamakubwaambazowangelazimikakuzitumiakufuatahudumahizonjeyamkoawao.

“ … MfukoumetendajambojemasananaunapaswakupongezwahasakwakuonaumuhimuwakusogezahudumahizikaribunawananchiwengiwenyemahitajikwamfanomiminimjanehapanilipolakinimpangohuuumeniwezeshakuwaonahawawataalamambaokwahaliyakawaidanisingewaonahivyonapongezaMfukowaSerikaliyetuinayoongozwana Dk. Pombe John Magufuli,..” Alisema Bi. Leah Ezekiel.

AkitoamaelezoyaawaliMwakilishiwaKaimuMkurugenziMkuuwaMfukowaTaifawaBimayaAfya , Dk.AifenaMrambaalisemakuwakwamudawasikumbilizazoezihilokatikamikioayaKigomanaGeita,  jumlayawagonjwa 1,204, wameonwanakuhudumiwanamadaktaribingwa.

AlisemakuwaidadihiyoimetoataswirayamahitajiyawananchikatikahudumazakibingwajambolinalotoahamasakwaMfukokuangalianamnayakuendesha program hizokatikamaeneomengizaidi.

“…Kwamadaktarituliowaleta, wametuhakikishiakuwawakotayarikufanyakazikwamudawowoteiliwagonjwawotewaliofikakwaajiliyampangohuowahudumiwenamfanomzurijanakunamadaktariwaliofanyakazihadisaasitausiku…”alisema Dk. Mramba.

KatibuTawalawaMkoawaGeitaSelestineGesimba,ambayealimwakilishaMkuuwaMkoakatikauzinduziwampangohuo, ameombaMfukowaTaifawaBimayaAfyakuangalianamnayakufanyahudumahizikuwaendelevukwakuwazimeonyeshamafanikiomakubwakatikakuwahudumiawananchiambaouwezowaonimdogokufuatahudumambali.

AliviagizavituovyamatibabumkoanihumokuendeleakushirikiananaMfukowaTaifawaBimayaAfyakatikafursambalimbalizinazolengakuboreshahudumaikiwanipamojanakutumiafursayamikopoyavifaatibanaukarabatiwamajengoilikuboreshahudumakatikavituovyao.

AidhaamewahimizawananchikujiunganaMfukowaTaifawaBimayaAfyanaMfukowaAfyayaJamiiilikujihakikishiaupatikanajiwakupatahudumakwakuchangiakablayakuuguanakuepukananausumbufuwakutafutafedhazamatibabuwakatiwanapougua

 

About Alex

Check Also

3

Matukio Katika Picha Tamasha la Wajasiriamali wanawake Jijini Dodoma

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akisisitiza …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 × four =