Friday , March 22 2019

Home / 2017 / May / 25

Daily Archives: May 25, 2017

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AIPONGEZA MFUKO WA GEPF JIJINI ARUSHA

KIJI

Naibu waziri wa Fedha na Mipango Mh Dr.Ashatu Kijaji akifungua mkutano mkuu wa nane wa wadau wa mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF uliofanyika leo jijini Arusha na kuhudhuriwa na wadau wa mfuko(Picha na Pamela Mollel)  Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Richard Kwitega akiongea katika mkutano huo akimuakilisha mkuu …

Read More »

Tigo wazindua huduma ya 4G LTE mkoani Singida

UKIWA

Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi  akihutubia wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa Tigo 4g LTE zilizofanyika jana mkoani singida ambapo sasa 4G LTE imeweza kufika mikoa 23     Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi  akimkabidhi zawadi ya simu Mama Bora mkazi wa Singida mjini.mara baada …

Read More »

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YAWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18

NGEL1

Waziri wa Wizara ya Ardhi; Mhe. William Lukuvi na Naibu wake; Mhe. Angeline Mabula katika picha ya pamoja na Balozi wa Denmark, nchini Tanzania; Einar H. Jensen na Mshauri wa Programu ya kuwezesha umilikishaji Ardhi (LTSP); Suleiman Dabbas na watendaji wakuu wa Wizara – bungeni, Dodoma baada tu ya kuwasilisha …

Read More »

WAIGIZAJI SASA KUPATA SHAVU KIMATAIFA

unnamed

  ”Nataka kuwatengeneza wakina Lupita Nyong’o wengi” Baada ya kudodora kwa soko la filamu hapa Bongo na Afrika Mashariki kwa ujumla licha ya tasnia hiyo kuajiri vijana wengi lakini imezidi kupoteza mvuto kwa mashabiki wake tofauti na hapo awali. Kupitia kampuni ya Candy and Candy ya nchini Kenya ambayo ina …

Read More »

KIBAHA YAZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI

MSHAMA

Mkuu wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama na mbunge wa viti maalum mkoani Pwani Subira Mgalu mwenye kiremba cha blue wakitembelea mabanda mbalimbali ya bidhaa za wajasiriamali wa Mji wa Kibaha ,baada ya kuzindua jukwaa la wanawake la kuwawezesha kiuchumi mjini hapo .(picha na Mwamvua Mwinyi ) ……………………………………………………………… Na Mwamvua …

Read More »

MHE SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA

unnamed

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa la Kenya iliyoandaliwa na Bunge la nchi hiyo. Wengine katika  pichani kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Kenya  Justin Muturi, Spika wa …

Read More »

KENNY ALLY ATUA SINGIDA UNITED NA KUZITOZA YANGA ,AZAM FC

IMG-20170525-WA0016[1]

Matajiri wa Mkoa wa Singida ambao wamepanda Ligi Kuu Msimu huu wameanza kujiweka fiti katika usajili wa wachezaji wa ndani na mchezaji wa kwanza kusaini ni Kiungo Mkabaji wa Mbeya City, Kenny Ally MWambungu sasa ni mali ya Singida United. Huu ni usajiri wa sita baada ya kuwasajili wachezaji watano …

Read More »

TADB YATOA ‘SAPOTI’ KAMPENI YA KITAIFA YA UNYWAJI WA MAZIWA

A 5

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (kushoto) akiwakaribisha maafisa kutoka Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) walipomtembelea Ofisini kwake kujadiliana juu ya Kampeni ya Kitaifa ya Unywaji Maziwa inayotarajia kufanyika Kitaifa mkoani Kagera kuanzia Mei 28 – Juni 1 mwaka huu. Katikati ni …

Read More »

JOHN BOCCO ASAINI SIMBA MIAKA MIWILI

john-bocco_1t5gwbyl01dbf14rvgpm0r2umd

Mshambuliaji wa timu ya Azam FC ,John Bocco ni mali ya Simba,. Taarifa zinaeleza amesaini miaka miwili katika kikosi cha Simba. Taarifa zinaeleza mkataba huo ni wa awali na inaonekana Bocco ameamua kutua Simba baada ya makubaliano yake na Azam baada ya mkataba wake kwisha, kuonekana unakwenda kombo. Hata hivyo, …

Read More »

ESRF YAENDESHA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA REDIO JAMII

3-1

Vyombo vya habari nchini hususani redio za kijamii zimetakiwa kuandika habari ambazo zinaelezea changamoto ambazo zinawakabili wananchi katika maisha yao ya kila siku na jinsi ambavyo wanaweza kuzitatua. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kuhusu wajibu …

Read More »

DKT.MABODI AWATAKA MADIWA, WABUNGE NA MADIWANI KUJITATHIMINI.

unnamed

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Saadala  “ Mabodi”  amewataka viongozi wa kisiasa wa chama hicho waliopewa dhamana ya kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015/2020 kwa wananchi waanze kujitathimini mapema kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Rai hiyo ameitoa katika hafla ya utekelezaji …

Read More »

KIKOSI BORA CHA LIGI KUU BARA 2016-17

VPL-logo-1

KIKOSI BORA CHA LIGI KUU BARA 2016-17 1. Aishi Manula 2. Salum Kimenya 3. Mohamed Hussein 4. Mohamed Yakubu-Azam 5. Method Mwanjale 6. Kenny Ally-Mbeya City 7. Simon Msuva-Yanga 8. Haruna Niyonzima 9. Abdulrahman Musa 10. Mbaraka Yusuf 11. Shiza Kichuya

Read More »