Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / May / 26

Daily Archives: May 26, 2017

Serikali Yampeleka India Mtoto Anayeongezeka Uzito

unnamed

Mtoto Antonia Justine Msoka akitoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea nchini India kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Kushoto ni mama yake, Salome Manyirizu Kisusi ambaye anamsindikiza. Wengine ni mwandishi na mpiga picha wa TBC.   Baadhi ya wauguzi na madaktari  wakimpandisha kwenye ambulance Mtoto Antonia kwa ajili ya kuelekea …

Read More »

TIMU YA WAANGALIZI WA UCHAGUZI YA SADC YAZINDULIWA LESOTHO

index

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TIMU YA WAANGALIZI WA UCHAGUZI YA SADC YAZINDULIWA LESOTHO Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), imesisitiza kuwa wapiga kura wa Lesotho wanatarajia kuwa Serikali itakayochaguliwa na wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Wabunge wa mwaka 2017 itasimamia na kutekeleza mageuzi yanayohitajika nchini humo. Akizungumza …

Read More »

ZANTEL KUTOA OFA KWA WATEJA WAKE KIPINDI CHA MFUNGO WA RAMADHANI

LOGO

  Wateja wa mtandao wa simu Zantel sasa kufurahia mawasiliano na ndugu jamaa na marafiki waliopo  mashariki ya kati kwa bei nafuu kwa kutumia kifurushi cha kimataifa cha uarabuni. ……………………………………………….. Kampuni ya simu ya Zantel inaendelea kutimiza ahadi yake ya kuongeza thamani katika maisha ya wateja wao na sasa kutangaza …

Read More »

Dkt.Semboja amsifu Rais Magufuli kuhusu ripoti ya mchanga

2

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Awataka watanzania kumsaidia katika vita hiyo Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  Dkt.Haji Semboja anasema kuwa amefurahishwa na ripoti ya Kamati Maalum iliyoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  John Pombe Magufuli  ya  kuchunguza mchanga wa …

Read More »

WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI NCHINI WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUBAINI MABILIONI YA HASARA ITOKANAYO NA MCHANGA WA MADINI.

MADIN

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimba Madini Nchini (FEMATA), John Bina (katikati) akitoa pongezi za shirikisho kwa Rais Dkt.Magufuli kwa hatua yake ya kubaini hasara ya mabilioni ya fedha iliyokuwa kisababishwa na mchanga kusafirishwa nje ya nchi. Kulia ni Mwenyekiti wa Wachimbaji Madini Wadogo Mkoa wa Singida Robert Marando na …

Read More »

WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO

BN4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa Pikipiki na Vipuri  vyake pamoja na baadhi ya wabunge, ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma Mei 26, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Fedha na Uchumi, Dkt. Philip Mpango. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOANI MWANZA LEO

msangii-1

TAREHE 25.05.2017 MAJIRA YA SAA 22:15HRS USIKU KATIKA MTAA WA KANYERERE KATA YA MAHINA WILAYA YA NYAMAGANA JIJI MKOA WA MWANZA, MAXIMILIAN NGEDERE @ TULA MIAKA 40, MKAZI WA MTAA WA KANYERERE, ALIMJERUHI KWA KUMPIGA RISASI KWA KUTUMIA BASTOLA YENYE BJ 306666 YENYE CAR NAMBA 00103129 MKEWE AITWAYE TEDY PATRICK …

Read More »

Government advises use of sign language on TV programs

Pix 3

Tanzania Information Services Department – MAELEZO Dar es Salaam, May 26, 2017 The government has pledged to work with stakeholders to ensure television broadcasters incorporate sign language in their programs to enable deaf community effectively follow television programs. Speaking yesterday at the opening of a one-day Consultative Meeting on the …

Read More »

MAREKANI YAAHIDI KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA VIJANA WA ZANZIBAR.

MABOD

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.  Abdalla Juma  Saadala ” Mabodi” akizungumza na Mkurugenzi wa taasisi ya kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia duniani (NDI), Dkt. Keith Jenningspamoja na ujumbe wake …………………………………………………………….. NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. Naibu Katibu Mkuu wa CCM  Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Sadala  amefanya  mazungumzo na Mkurugenzi …

Read More »

Serikali yaanzisha mfumo wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja

SEL1

Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Bw. Lazaro Kitandu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mfumo mpya wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja (Bulk Procurement System). Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bw. …

Read More »

Rais atoa Risala ya Mwezi Mtukuifu wa Ramadhan

DK.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla na kuwatakkia kheri katika mwezi huo,pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusima Quran,kuswali sana hasa swala za Suna na kutoa zaka,[Picha …

Read More »

MAONESHO YA VYUO VIKUU VYA NCHINI INDIA YANATARAJIWA KUFANYIKA KESHO KATIKA UBALOZI HUO ULIOPO JIRANI NA UKUMBI WA KIMATAIFA WA MIKUTANO WA JULIUS NYERERE (JNICC).

1

MAONESHO ya Vyuo Vikuu vya nchini India yanatarajiwa kufanyika kesho huku yakitarajiwa kutoa fursa kwa wanafunzi wa Kitanzania kuvifahamu vyuo vilivyopo nchini humo na ubora wa taaluma zake. Maonesho hayo ambayo yameandaliwa na Global Education Link (GEL) kwa kushirikiana na Ubalozi wa India nchini yatafanyika kesho katika ubalozi huo uliopo …

Read More »

ZIARA YA BULEMBO KITETO LEO

unnamed

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabaraza ya Jumuia za CCM na Mabalozi wa CCM wa kumi zilizo karibu na Makao Makuu ya  Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara leo katika Ukumbi wa CCM Wilaya …

Read More »

WIZARA YA VIWANDA YAANZISHA DAWATI LA BIASHARA.

MWAI

Na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji imeanzisha dawati la wepesi wa kufanya biashara ambao lina jukumu la kuondoa ugumu wa kuanzisha na kuendesha biashara  nchini. Hayo yamesemwa leo Bungeni na Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Magomeni Mhe.Jamal Kassim …

Read More »