Tuesday , January 22 2019

Home / 2017 / May / 27

Daily Archives: May 27, 2017

VIDEO:ARSENAL BINGWA KOMBE LA FA CUP,YAIGONGA CHELSEA

40DD7BB900000578-4547786-image-a-2_1495912463365

Arsenal imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza Mchezo wa kombe la FA CUP magoli yakifungwa  na Alex Sanchez dakika ya 4 na Aroon Ramsey dakika ya 79 huku Diego Costa akifunga bao la kufutia machozi dakika ya 76, ushindi sasa unamuwekea rekodi …

Read More »

102.5 LAKE FM MWANZA WATINGA KWA WANANZENGO KUPITIA GULIO LA MTAA.

1

Mkurugenzi Mkuu wa Lake Fm Mwanza, Doreen Noni, akiwasilisha shukurani na salamu zake kwa niaba ya wafanyakazi wake kwenye burudani ya Gulio la Mtaa katika mnada wa Nyakato National Jijini Mwanza.   #BMGHabari 102.5 Lake FM Mwanza, #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo jana Mei 26,2017 ilizindua rasmi burudani za Gulio la Mtaa kupitia …

Read More »

TRA Watoa Somo la Ulipaji Kodi kwa Wafanyabiashara wa Kichina

1

Meneja wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Gabriel Mwangosi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu semina juu ya Kodi, Utaratibu na Sheria kwa wafanyabiashara kutoka China iliyoandaliwa kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) pamoja na Kampuni …

Read More »

YANGA YATUA ARUSHA KWA KISHINDO HUKU IKIWA NA KOMBE LAKE

uBINGWA

picha na maktaba Na Woinde Shizza,Arusha   Kikosi cha Afc Arusha kimejinasibu kuwa kitawafunga mabigwa wa ligi kuu bara msimu uliomalizika  Timu ya  Yanga Afrika,katika mchezo wao wa kirafiki unaotajarajiwa kupichezwa Jumapili hii May 28 katika kiwanja cha kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini hapa Akiongea na gazeti hili kocha …

Read More »

SIMBA YAREJEA KIMATAIFA,YAIBUTUA MBAO FC

IMG_0101-640x427

Klabu ya Simba imefanikiwa kutwaa taji ls Azam Sports Federation Cup (FA Cup) baada ya kuifunga Mbao bao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ushindi wa Simba umewapa ubingwa wa kombe, pesa kiasi cha shilingi milioni 50 za Tanzania pamoja na kupata nafasi ya kushiriki …

Read More »

ASAS inawatakieni mfungo mwema Waislamu wote Duniani

asa

Mwezi wa 9 katika kalenda ya kiislamu ni mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni maarufu zaidi kutokana na ibada ya Saumu. Katika mwezi huu waislamu hutakiwa kufunga kutoka Machweo mpaka Machwa (Mawio) katika kipindi ambacho hawatakiwa kula wala kunywa chochote. Mwezi wa Ramadhani ni muhimu kwa waumini was dini ya …

Read More »

NAIBU WAZIRI NGONYANI AKAGUA UJENZI DARAJA LA KELEMA.

ngon2

Mhandisi Mshauri wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Mayamaya-Mela Km 99.35 Eng. Leornado Licari akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, kuhusu hatua za ujenzi zilizofikiwa za Daraja la Kelema Mita 220 linalounganisha wilaya ya Chemba na kondoa mkoani Dodoma, leo. Naibu Waziri …

Read More »

RC ASIYETAKA KUPANDA MITI ANA SIFA YA KUKAA TABORA

index

Na Tiganya Vincent, Sikonge Serikali ya Mkoa wa Tabora imesema mkazi wake anayepinga zoezi la upandaji miti katika maeneo yake ni vema akatafuta sehemu nyingine ambayo hawako tayari  kuhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa Bw. Aggrey Mwanri wakati wa Mkutano wa hadhara wilayani Sikonge alipokuwa akiwaelimisha juu …

Read More »

RC TABORA ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU

WW

Na Tiganya Vincent,Sikonge . Vijana wametakiwa kumucha Mungu kwa kuwasikiliza na kutii maelekezo yanayotewa na viongozi mbalimbali ikiwemo vingozi wa dini ili kujenga jamii yenye maadili mema na yenye hofu ya kufanya mambo ambayo ni kinyume maagizo ya Muumba wa Mbingu na Nchi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa …

Read More »

MWAMUZI WA TANGA KUIPELEKA SIMBA KIMATAIFA LEO?

simba-vs-mbao-fc_dhgu8a1ys6nq1ny5m5d92i0r2

Kwa mujibu wa Kanuni ya 13 ya michuano ya Azam Sports Federation Cup HD msimu wa 2016/17, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Ahmed Kikumbo wa Dodoma kuwa mwamuzi wa mchezo wa fainali kati ya Simba SC na Mbao SC utakaofanyika Uwanja wa Jamburi Mei 27, 2017 kuanzia …

Read More »

ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUENDESHA GARI UMBALI MREFU

002

Na Jumia Travel Tanzania   Linaweza kuwa si jambo la kushangaza kuwaona watu wakisafiri kwenye usafiri wao binafsi kuelekea mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Na hii ni kutokana na maendeleo na mabadiliko ya kiuchumi miongoni mwa watanzania wengi ambapo hapo awali walikuwa wanategemea usafiri wa umma.   Sababu za kusafiri zinaweza …

Read More »