Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / May / 28

Daily Archives: May 28, 2017

MWANZA WATAKA VIWANDA VYA PEDI ZA KISASA.

1

Muuguzi Mkuu mkoani Mwanza Agness Hassan, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Hedhi Duniani 2017, kimkoa Mwanza yakifanyika uwanja wa Nyamagana hii leo Mei 28,2017.   #BMGHabari Wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali Jijini Mwanza wameiomba serikali kusaidia ujenzi wa viwanda vya pedi za kisasa vitakavyosaidia pedi hizo kuuzwa kwa …

Read More »

WARIDE: ASISITIZA UBUNIFU KWA WATENDAJI WA CCM NA SERIKALI.

unnamed

Katibu wa NEC,  Idara ya Itikadi na Uenezi  CCM Zanzibar,  Waride Bakari Jabu.   (PICHA YA MAKTABA YA AFISI KUU CCM-ZANZIBAR). …………………………. NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. KATIBU wa NEC,  Idara ya Itikadi na Uenezi  CCM Zanzibar,  Waride Bakari Jabu amewataka viongozi na watumishi wa Chama na Serikali kubuni miradi na fursa …

Read More »

CHALES MWIJAGE AFUNGUA MAONYESHO YA TANO YA BIASHARA TANGA

DSCN0014

Meneja Mkuu Idara ya Masoko kiwanda cha saruji cha  Rhino Tanga, William Malonza, akimuonyesha moja ya bidhaa zizalishwazo na kiwanda hicho, Waziri wa Viwanda na Biashara, Chales Mwijage, wakati wa maonyesho ya tano ya Kimataifa ya biashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwahako Tanga. Mwijage ameyafungua maonyesho hayo leo katika viwanja …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAASWA KUWAFIKIA WAKULIMA WADOGO NCHI NZIMA

mkab1

Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa William Tate Ole Nasha (MB) (mwenye tai) akikaribishwa katika Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) mara baada ya kufungua Maadhimisho ya Kampeni ya Wiki ya Maziwa inayofanyika Kitaifa mjini Bukoba, mkoani Kagera kuanzia tarehe 28 Mei had Juni …

Read More »

SERIKALI YAWAPONGEZA WANANCHI WALIONDOA MAKAZI YAO KATIKA HIFADHI KWA HIARI.

ramo

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Eng. Ramo Makani (wa pili kushoto) akikagua maeneo ya Hifadhi ya Msitu wa Isawima Wilayani Kaliua hivi karibuni. ……………………………………………………………………….. Na Tiganya Vincent-Kaliua Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amewashukuru wavamizi  wa Msitu wa Hifadhi wa Isawima wilayani Kaliua ambao wameamua kwa hiari …

Read More »

TIMU YA WATAALAM YAAGIZA KUANDA RIPOTI YA KUMALIZA MGOGORO WA BWAWA LA ULUWA WILAYANI SIKONGE.

magi

Na Tiganya Vincent, Sikonge Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ameteua timu ya Maafisa watano  wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kwa ajili ya kuandaa taarifa(ripoti) itakayowasilishwa kwake Jumatano(wiki inayoanza kesho) ili imwezeshe kutoa maamuzi yatakaondoa kuondoa mgogoro uliosababisha ujenzi Mradi wa Bwawa la Umwagiliaji la Uluwa ushindwe kuendelea kwa …

Read More »

WANANCHI WA KITETO WAENDELEA KUJIUNGA NA MFUKO WA PPF

kite

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera (wa pili kulia) akikabidhiwa vifaa tiba na Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF, Bi. Lulu Mengele (wa pili kushoto) kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Kiteto katika hafla iliyofanyika mwishoni wa wiki iliyopita. PICHA NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG- KITETO. …

Read More »

TBL Group kuendelea kuunga mkono mpango wa ‘Mwanamke wa wakati Ujao’

NDAL6

Mmmoja wa wahitimu wa mafunzo ya mpango wa Mwanamke wa wakati Ujao  ,Warda Kimaro kutoka TBL Group,akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Joyce Ndalichako wakati wa mahafali yaliyofanyika  katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam ,kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri nchini,Mh.Almas Maige. …

Read More »

DARAJA LA MAGARA KUANZA KUJENGWA MWEZI JULAI

MAGAR4

Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Manyara Eng. Bashiri Rwesingisa, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, wakati alipokuwa akikagua mahali ambapo litajengwa Daraja la Magara lenye urefu wa Mita 84, Wilayani Babati, mkoani Manyara, jana. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi …

Read More »

CHAMA CHA WAONGOZA WATALII TANZANIA (TTGA) WALIA NA MIUNDO MBINU MIBAYA YA BARABARA NDANI YA HIFADHI

RUS

Wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa chama cha waongoza Watalii Halifa Msangi,Wakwanza kushoto ni Katibu wa umoja huo Emanuel Mollel,Haji Mbuguni Mjumbe wa (TTGA)Omari Rajabu mjumbe,Apolinary Kiwhili M/Msaidizi wakiwa katika maonyesho ya utalii ya 18 ya  Karibu Wa pili kulia ni mwenyekiti wa Chama cha  waongoza Utalii Nchinni Tanzania Halifa Msangi,Wa …

Read More »