Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / May / 29

Daily Archives: May 29, 2017

CCM WILAYA YA GEITA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI.

DSC_0767

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama cha mapinduzi Wilayani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa kupitisha wagombea wa nyadhifa mbali mbali ndani ya chama.   Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Wilaya ya Geita Barnabasi Mapande akiwasikiliza wajumbe ambao walikuwa wakizungumza kwenye Mkutano huo.   Mkuu wa Wilaya wa Wilaya ya …

Read More »

“MRADI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA NCHINI UGANDA HADI BANDARI YA TANGA WAIVA”

KL

 Afisa Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Augustino Kasale kulia akimueleza jambo  Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Charles Mwijage kushoto wakati alipofungua maonyesho ya tano ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga.  Mwanasheria Mwandamizi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini Tanzania (TPDC), Kelvin …

Read More »

MAREKEBISHO KIKOSI TAIFA STARS KINACHOSAFIRI

MAYA

Kikosi cha wachezaji 21 wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti, kinatarajiwa kuondoka kesho Jumanne saa 10.45 jioni kwenda Misri. Taifa Stars ambayo itakuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kesho saa 7. 45 mchana inakwenda Misri kufanya kambi ya siku …

Read More »

AARIFA KUTOKA JESHO LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii-1

TAREHE 25.05.2017 MAJIRA YA SAA 05:00HRS ALFAJIRI KATIKA MTAA WA NDOFE WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, NUHU JAMES MIAKA 50 MKAZI WA NDOFE, ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUMFANYIA UKATILI MTOTO WAKE AITWAYE NDALO NUHU MIAKA 14, MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI IGOMA SEKONDARI …

Read More »

Gihon Needy Comfort Organization kushirikiana na wadau kuleta maendeleo kwa jamii

wananchi

Taasisi isiyo ya kiserikali ya GIHON NEEDY  COMFORT  Organization imedhamiria  kushirikisha jamii wahisani wadau na maendeleo ikwemo serikali katika kupigania ustawi wa kuchumi kijamii na kiutamaduni ili kuondoa umaskini unyanyasaji na uonevu ili kuleta maendeleo.   Mkurugenzi mtendaji wa   GIHON NEEDY COMFORY  Organization bi REBECA STANFORD  amesema shirika hilo si …

Read More »

VIONGOZI WA DINI WAMPONGEZA KAMANDA SIRRO KUTEULIWA IGP

siro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro Ikulu jijini Dar es Salaam leo. …………………………………………………………………. Na Jonas Kamaleki- MAELEZO Viongozi wa Dini hapa nchini wamempongeza Kamanda Saimon Sirro kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP). Pongezi hizo zimetolewa …

Read More »

WCF yatoa elimu kwa waajiri nchini

WC2

Makamu Mwenyekiti  kutoka Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi  (WCF)  Radhimina Mbilinyi akifungua Semina ya uelimishaji kwa Waajiri kuhusu haki na wajibu wa mwajiri na mfanyakazi jijini Dar es Salaam leo Afisa Matekelezo Mwandamizi  kutoka  Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi  (WCF)  akitoa mada …

Read More »

TAIFA STARS KUWEKA KAMBI MISRI, MKUDE ABAKI

TAIF

Kikosi cha wachezaji 20 wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti, kinatarajiwa kuondoka kesho Jumanne saa 10.45 jioni kwenda Misri. Taifa Stars ambayo itakuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kesho saa 7. 45 mchana inakwenda Misri kufanya kambi ya siku …

Read More »

MALINZI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI, POLE SIMBA SC

SIMB1

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu rambirambi kwa Rais wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Evans Aveva kutokana kifo cha shabiki wa timu hiyo, Shose Fedeline aliyefariki dunia jana mchana Mei 28, 2017 katika ajali ya gari. Kadhalika, Rais Malinzi ametuma …

Read More »

Kilimanjaro Lager yaingia ‘Beer for Africa’

KILI

-Kuuzwa pamoja na chapa maarufu 8 za Afrika duniani kote -Kuchangia kuondoa changamoto ya lishe kwa wanafunzi  barani Afrika    Bia ya Kilimanjaro inayotengenezwa na kampuni ya TBL Group chini ya kampuni mama ya  kimataifa ya ABInBev imejumuishwa pamoja na bia zingine vinara kutoka nchi mbalimbali  8 za Afrika na …

Read More »

MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO

1111

Mkurugenzi wa Manispaa ya ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Watanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kuzifuata fursa zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini ili kuiunga mkono Serikali katika jitihada zake za kukuza uchumi wa viwanda. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya ubungo Ndg John Lipesi Kayombo wakati akizungumza wakati akitoa …

Read More »

BOHARI KUU YA DAWA ZANZIBAR KWA KUKSHIRIKIANA NA OFISI YA MFAMASIA MKUU WAMUAGA RASMI ALIEKUWA MKUU WA KITENGO CHA KUSAMBAZA DAWA ABDALLA SULEIMAN AMBAE AMESTAAFU.

04

Aliekuwa Mkuu wa Kitengo cha kusambaza dawa Zanzibar Abdalla Suleiman akiwapa mkono wa kwaheri wafanyakazi wenzake katika sherehe za kumuaga, wa kwanza (kushoto) Mkurugenzi wa Bohari Kuu ya dawa Zahran Ali Hamad na (kati) Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji Wizara ya Afya Ramadhan Khamis Juma.    Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji Wizara …

Read More »

DARUSO Yampongeza JPM Kwa Kusimamia Rasilimali za Taifa

1

Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam ukilenga kutoa tamko la DARUSO kuhusu kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali hasa matokeo ya Tume ya kuchunguza kiwango cha madini kwenye makontena …

Read More »

WAZIRI UMMY: UGONJWA WA EBOLA HAUJAFIKA TANZANIA

1

Na. Eliphace Marwa MAELEZO 29.5.2017 SERIKALI imesema kuwa Tanzania bado haijafikiwa na ugonjwa hatari wa Ebola na kuwatoa hofu wananchi baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kuikumba nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, …

Read More »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU FUTARI YA PAMOJA NA VYAKULA VYA KUPIKA MWEZI HUU WA RAMADHANI KUFUATIA KUREJEA MARADHI YA KIPINDUPINDU.

01

Kaimu Waziri wa Afya Riziki Pembe Juma akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mripuko wa maradhi ya kipindupindu Zanzibar huko Makao Makuu ya Wizara ya afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya Serikali na binafsi wakimsikiliza Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar katika mkutano uliofanyika Wizara …

Read More »

SIRRO ASISITIZA USHIRIKIANO KUONDOA UHALIFU

1

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amewasisitiza wananchi kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo kwa kutoa taarifa za wahalifu waliopo katika maeneo yao jambo ambalo litapunguza au kuondoa kabisa uhalifu nchini. IGP Sirro ameyasema hayo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam alipokuwa  akizungumza na …

Read More »