Thursday , November 23 2017

Home / 2017 / May / 29 (page 2)

Daily Archives: May 29, 2017

UVCCM SIMANJIRO YAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI

unnamed

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, imeungana na wapenda maendeleo nchini kumpongeza Rais John Magufuli kwa hatua ya kuzuia usafirishaji mchanga wa madini (makinikia) nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Katibu wa UVCCM wilayani Simanjiro, Bakary Mwacha alisema hatua …

Read More »

UMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO

IMG-20170528-WA0101

Kaimu Katibu Tawala upande wa Uchumi na Uzalisha Mkoa wa Dar es salaam Ndg Edward Otieno akizungumza wakati wa ufunguzi wa  UMISSETA Mkoa wa Dar es salaam Leo Mei 28, 2017 katika Uwanja wa Uhuru. Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akiwasalimu wanamichezo wakati wa ufunguzi wa …

Read More »

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AVUNJA REKODI KKKT USHARIKA WA ENABOISHU NA KUFANIKISHA UPATIKANAJI WA MILIONI 39 NA VIONGOZI WAMBARIKI

1nchemba

Na Mwandishi Wetu, Arusha   Watumishi wa halmashauri ya Jiji La ARUSHA Kwa kushirikana na Mkurugenzi wao Bwana Athumani Juma Kihamia wamechangia kiasi cha shilingi Milioni 14 kwenye ibada ya harambee ya kuchangia maendeleo ya mtaa iliyofanyika katika kanisa la KKKT  usharika wa Enaboishu halmashauri ya Arusha .   Katika …

Read More »

WAZIRI WA MALIASILI, PROF. JUMANNE MAGHEMBE ATEMBELEA CHUO CHA BTI TABORA, AMTAKA MKUU WA MKOA HUO KUANDAA UTARATIBU KWA WAJASIRIAMALI WA UFUGAJI NYUKI KUJIFUNZA CHUONI HAPO

DSC_0292

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akisaini kitabu kitabu cha wageni chuoni hapo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza na uongozi wa chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki, Tabora BTI alipotembelea chuoni hapo leo. Kulia ni Mkuu wa chuo hicho Semu Daudi na Mratibu …

Read More »

MASHINDANO YA COPA UMISSETA YAZINDULIWA JIJINI DAR

UMI1

Mchezaji wa Shule ya Sekondary Chang’ombe, Hamad Hemed (kulia), akiwania mpira na mchezaji wa Shule ya Makongo, Muksin Mohamed, wakati wa michuano ya Copa/UMISSETA yaliodhaminiwa na Kampuni ya Coca-Cola, kwenye Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Mchezaji wa Shule ya Sekondari Makongo (kushoto), akiwania mpira na mchezaji wa Shule ya …

Read More »

MKUU WA WILAYA AISHAURI MAHAKAMA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

WAM1

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Ruvuma (Hawapo Pichani) wakati alipomtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Binilith Mahenge ofisini kwake akiwa katika ziara ya kukagua shughuli za Mahakama na Kusisitiza Utekelezaji wa Mpango …

Read More »