Friday , March 22 2019

Home / 2017 / May / 30

Daily Archives: May 30, 2017

ASILIMIA 24.9 HUVUTISHWA MOSHI WA TUMBAKU KWENYE SEHEMU ZA KAZI.

index-35-225x165

NA ALLY DAUD-WAMJW DODOMA ASILIMIA 24.9 ya watanzania huvutishwa moshi wa tumbaku katika sehemu za kazi hivyo kuchangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani nyingi hapa nchini. Hayo yamebainishwa kwenye taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia , Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu inayohusu Maadhimisho ya siku ya kutotumia …

Read More »

TOP 100 MID-SIZED COMPANY LAUMCHED

B2

Makampuni ya kiwango cha kati yanatimiza jukumu muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. Kwa kutambua hilo, KPMG na Mwananchi Communications walianzisha utafiti wa makampuni 100 bora yafanyayo biashara ya kiwango cha kati. Banki M Tanzania ndiye mdhamini mkuu wa tuzo zitakazotolewa baada ya utafiti huo muhimu. Utafiti huo hubainisha …

Read More »

DC KAPUFI “MAHAKAMA NI MUHIMIRI ULIO HURU”

DSC_0971

Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl ,Herman Kapufi akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Himiza Social Justice yenye lengo la kutoa msaada wa Kisheria kwa watu wenye uitaji Wajumbe wa Bodi tendaji wa Taasisi Hiyo.   Mkuu wa Wilaya akiingia kwenye viiwanja vya Ofisi ya …

Read More »

ABInBev Yashiriki Mkutano Wa Uzalishaji Wa Viwanda Wa Nchi Za Afrika Mashariki Nchini Rwanda

unnamed

Maofisa Waandamizi waliowakilisha  TBL Group  katika mkutano huo (Kushoto) ni Lucy Manning -ABInBev Quality Assurance East Africa, na Manoj Kr. Chaudary- ABInBev Energy, Fluid & Maintenance Coordinator East Africa   Baadhi ya wawezeshaji katika mkutano huo wakitoa mada zinazohusiana na biashara ya viwanda ………………………… Mkutano unaohusu uzalishaji viwandani na changamoto …

Read More »

Serikali Yatoa Bilioni 13 Kumalizia Ujenzi wa Jengo la Moi

2

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), Dkt. Respicious Boniface akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku nne kwa madaktari kutoka nchi mbali mbali za Afrika, Kushoto ni Daktari bingwa wa MOI, Dkt. Edmund Ndalama.Ufunguzi huo umefanyika leo Jijini …

Read More »

MFUKO WA PPF WAENDELEA KUKABIDHI VIFAA TIBA

IMG_0123

Mfuko wa Pensheni wa PPF umeendelea kukabidhi vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya nchini kulingana na sera yake ya uchangiaji na udhamini. Katika wilaya ya Kisarawe, Mfuko wa PPF umekabidhi vifaa tiba hivyo kwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI,Utumishi na Utawala bora Mhe. Selemani Jaffo …

Read More »

WCF yawataka Waajiri Kutii Sheria Bila Shuruti

unnamed

Mjumbe wa  Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi  (WCF)  Richard Wambali akifungua Semina ya uelimishaji kwa Waajiri kuhusu haki na wajibu wa mwajiri na mfanyakazi jijini Dar es Salaam leo (jana). Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Laura Kunenge akichangia mada katika semina …

Read More »

ARSENE WENGER ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI ARSENAL

40DF7AA000000578-0-image-a-13_1496143689286

Kocha Mkuu wa klabu Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo,Mfaransa huyo amekuwa meneja wa Arsenal kwa miaka 21 sasa. Wenger na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke walikutana Jumatatu kuamua hatima ya meneja huyo, na kisha …

Read More »

JAFO AWAONYA WAKANDARASI WA MIRADI YA TAMISEMI

4

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na wananchi wa Wilunze kata ya Manchali katika uzinduzi wa mradi wa maji. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo pamoja na Mbunge wa Jimbo la Chilonwa Joel Mwaka wakipiga makofi baada ya kuzindua mradi wa maji Wilunze. Naibu Waziri …

Read More »

SERIKALI KUIFANYIA MABADILIKO SHERIA YA NDOA NA MIRATHI.

PIX 6 kigwangala

Na DaudiManongi,MAELEZO,DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo yaJamii,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kuwa imewasilisha mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Ndoa na Sheria ya Mirathi Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa hatua zaidi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya …

Read More »

BALOZI WA NAMIBIA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN

unnamed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Namibia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Theresia Samaria Balozi wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake …

Read More »

index

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA TELEGRAMS:   POLISI,                                                                                               OFISI YA TELEPHONE: 2500712                                                                         KAMANDA WA POLISI, Fax: 2502310                                                                                            MKOA WA MWANZA, E-mail: mwapol@yahoo.com                                                                                      S.L.P. 120,            rpc.mwanza@tpf.go.tz                                                                                  MWANZA. TAARIFA YA JESHI LA POLISI …

Read More »