Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June / 01

Daily Archives: June 1, 2017

Wanamichezo Watakiwa Kuzingatia Nidhamu

2

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harisson Mwakyembe( wa pili kushoto) akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Timu ya Everton Bw.Robert Elstone (wa kwanza kushoto) walipokuwa wakiingia katika uwanja wa Taifa tayari kwa kukagua timu ya vijana chini ya miaka 17, wengine ni mchezaji wa zamani wa timu ya …

Read More »

Wauzaji wa Mbolea Watakiwa Kuzingatia Ubora

index

Na Ismail Ngayonga MAELEZO DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Mbolea Nchini (TFRA) imewaagiza  Wafanyabiashara na wauzaji wa mbolea nchini kuzingatia ubora wa viwango vya bidhaa hiyo na kuepuka kuwauzia wakulima mbolea isiyokidhi viwango vya ubora vilivyotolewa na Shirika la Viwango Nchini (TBS). Hayo yamesemwa jana Jijini Dar …

Read More »

MWENGE WA UHURU WAINGIA PWANI NA KUANZA MBIO ZAKE MAFIA

xMwenge-1-730x375.jpg.pagespeed.ic.2zc1pRlnQu

Na Mwamvua Mwinyi ,Pwani MWENGE wa Uhuru umeanza mbio zake mkoani Pwani ambapo unatarajia kutembea miradi 81 yenye thamani ya sh.bil 225.1. Akipokea mwenge huo kutoka mkoa wa Dar es Salaam,mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo, alisema kati ya miradi hiyo ,27 itawekewa mawe ya msingi, na miradi …

Read More »

WAZIRI MKUU: TUMEBAINI MADAI HEWA YA BILIONI 21/-

KUU

* Ni kwenye malipo ya mawakala wa mbolea, awali yalifikia sh. bilioni 65.  *Akiri kukutana nao, asema wenye madai halali wote watalipwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imebaini madudu katika uhakiki wa madeni ya mawakala wa mbolea kwa sababu baadhi yao hawakuwa waaminifu. “Tulipoanzisha mfumo wa kutoa pembeje kwa …

Read More »

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YAENDELEA NA MAZOEZI MISRI

3

Makipa wa Taifa Stars kutoka kushoto, Said Mohammed, Aishi Manula na Benno Kakolanya wakivuta pumzi baada ya mazoezi ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’ yaliyofanyika jana usiku kwenye Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria jana usiku Mei 31, 2017. Taifa Stars inayodhaminiwa Bia ya Serengeti …

Read More »

MSHINDI KOMBE LA SPORTPESA KUWAVAA EVERTON DAR JULAI 13

unnamed

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, (wa pili kushoto) akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Everton Robert Elstone (kushoto) Mchezaji wa zamani wa timu ya Everton, Leon Osman (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Singo, wakati wakiwasili Uwanja wa Taifa leo …

Read More »

Dkt. Kyaruzi Aikabidhi Majukumu Bodi Mpya Ya TGDC

1

Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco Dkt. Dkt. Alexander Kyaruzi akitoa maelekezo wakati wa kuikabidhi rasmi majukumu bodi mpya ya TGDC. Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Bodi ya TGDC.    …………………………………………….. Na Johary Kachwamba -TGDC   Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Dkt. Alexander Kyaruzi amezindua rasmi …

Read More »

BARAZA LA WAZEE JIJINI ARUSHA WAMUOMBA RAIS MAGUFULI AWAKUMBUKE WAZEE AMBAO HAWAJALIPWA STAHIKI ZAO ZA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

IMG_9664[1]

Mwenyekiti wa Baraza la wazee mkoa wa Arusha Mathius Kichao aliyeshika karatasi mkononi,akiwa anazungumza na waandishi wa habari hivi katibuni Jijini hapo.Picha na Vero Ignatus Blog. Katibu wa wazee wa Baraza la wazee Jijini Arusha Kassim Seremuka  akizungumza jinsi ambavyo wazee hao wamenifaika na vitambulisho vya bima ya afya .Picha …

Read More »

TAARIFA KUHUSU UJIO WA RAIS WA SPECIAL OLYMPICS KANDA YA AFRIKA

The Olympic Rings stand in front of the flags of Nations in the Olympic Park in Sochi.. Picture date: Monday February 3, 2014. See PA story OLYMPICS Sochi. Photo credit should read: David Davies/PA Wire.

Wajumbe wa Board,                                                                                               22/5/2017                                                                                                                     Special Olympics Tanzania, S.L.P. 42979, DAR ES SALAAM.                         Ndugu,   YAH: TAARIFA YA UJIO WA RAIS WA SPECIAL OLYMPICS KANDA YA AFRIKA Rejeeni kichwa cha habari hapo juu. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapeni  taarifa kuwa rais wa chombo chetu cha Special Olympics Kanda ya …

Read More »

MBUGA ZA WANYAMA UNAZOWEZA KUTEMBELEA BURE WIKENDI HII?

amboni-caves

Na Jumia Travel Tanzania   Siku ya Jumatatu ya Juni 5 itakuwa ni maadhimisho ya ‘Siku ya Mazingira Duniani’ ambayo huadhimishwa na mataifa tofauti duniani ikiwa imebeba kauli mbiu ya ‘Kuwaunganisha Watu na Mazingira Asilia.’    Mapema wiki hii Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na …

Read More »