Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 03

Daily Archives: June 3, 2017

Tunaungana na Ulimwengu Kuokoa Bahari- Tizeba

imbobo

Sehemu ya fukwe  wa Bahari ya Hindi maeneo ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa imeathiriwa na uchafu  …………………………………………………………………………. Na Boss Brown Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi  Dkt. Chares Tizeba ataongoza ujumbe kutoka Tanzania kushiriki  katika Kongamano la Bahari Duniani linalotarajiwa kuanza Jumatatu tarehe 5 hadi 9 katika  Makao …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AWASILI BUTIAMA MKOANI MARA LEO

MAKM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua juu ya kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kuwasili Butiama ambapo atakuwa mgeni rasmi kwenye  sherehe za siku ya mazingira Duniani ambazo Kitaifa zinafanyika Butiama mkoani Mara. …

Read More »

Wasanii Nchini Watakiwa Kujiunga Katika Vyama Vyao

REG

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Godfrey Mungereza aliyemwakilisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe akishiriki kubeba jeneza lililobeba mwili wa mzee Francis Maige Kanyasu (Ngosha) anayesadikiwa kuwa mbunifu wa Nembo ya Taifa mara baada ya zoezi la kuuga mwili huo kumalizika katika Hospitali …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA KILOSA WAILIPE GAIRO DENI LA0

GAI1

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Bi. Seriel Mchembe mara baada ya kuwasili wilayani humo (Juni 3, 2017) kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephen Kebwe. (Picha na OWM). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge …

Read More »

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA YAFANYIKA MKOANI MARA

bund3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akitoa maelezo ya awali ya ufunguzi katika mijadala ya kuadhimisha siku Mazingira Duniani Wilayani Butiama Mkoni Mara. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Mahusiano Endelevu Kati ya Binadamu na Mazingira.” Wanajopo wa mada ya kwanza ya …

Read More »

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA(2017)AITAKA KIBITI IDUMISHE AMANI

MWEN

Na Mwamvua Mwinyi,Kibiti KIONGOZI wa mbio za mwenge kitaifa ,Amor Hamad ,amewaasa wananchi wa Kibiti -Pwani ,kupendana na kuachana na vitendo vinavyoondosha amani ili kuendelea kufanyakazi zao za kimaendeleo na kiuchumi . Aidha amewataka walimu katika shule mbalimbali wilayani hapo,kuhubiri amani na uzalendo kwa wanafunzi ili waweze kuwa mabalozi ndani …

Read More »

BULEMBO NDANI YA WILAYA YA KASULU JANA

kasu1

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kasulu, Mabalozi, Watendaji wa CCM na wa Serikali, katika kikao cha ndani kilichofanyika leo, Juni 2, 2017, mjini Kasulu, akiwa katika mwendelezo wa ziara zake …

Read More »

WADAU WA PSPF WAWATANGAZIA FURSA WASTAAFU WATARAJIWA

psf

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Mwanza MFUKO wa Pensheni wa PSPF umewaleta poamoja watumishi wa umma kutoka wilaya zote za mkoa wa Mwanza zaidi ya 450, ambao wanatarajiwa kustaafu hivi karibuni ili kuwapatia semina ya mafunzo itakayowawezwesha kujiandaa kustaafu kwa amani. Katika semina hiyo iliyoanza leo Juni 2, 2017 kwenye ukumbi …

Read More »

BULEMBO APOKEWA KWA KISHINDO WILAYANI BUHIGWE MKOANI KIGOMA

BUHIGWE

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Juuia ya WazaziTanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akikabidhiwa chombo cha kiasili cha kuhifadhia chakula ‘Hotpot’ cha asili ya Kabila la Waha, alipopokewa kwenye Ofisi ya CCM, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, jana, kuendelea na ziara yake ya Kichama mikoani. Anayemkabidhi ni Dynes Wiston. …

Read More »

Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi

KI1

Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali …

Read More »