Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 04

Daily Archives: June 4, 2017

TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA NCHINI MISRI

MIS2

Kipa Said Mohammed Nduda , akichupa kuzuia mpira wakati wa mazoezi yanayosimamiwa na Kocha wa Makipa wa Taifa Stars, Patrick Mwangata aliyepiga magoti katika mazoezi yanayofanyika Kituo cha michezo cha Tolip (Tolip Sports City) hapa Alexandria, Misri. Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inayozalishwa na Kampuni ya Bia ya …

Read More »

DR.KHALID ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU YA DINI

KHALID

Ostadh Idd Shekha Makame kwa  niaba ya Mwakilishi wa jimbo la Donge  Dkt. Khalid Salum Mohamed akitoa nasaha kwa washiriki wa mashindano ya kuhifadhi Quran huko Donge Kitaruni Unguja. ……………………………………………………. Na Juma Farid, Zanzibar. WAZAZI na walezi nchini wameshauriwa kuwahimiza watoto wao kusoma kwa bidii elimu ya dini ya kiislamu …

Read More »

WAONGOZA UTALII WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA KUWAPENDEKEZA WATAKOINGIA KATIKA KINYANG’ANYIRO CHA KUMPATA MUONGOZAJI BORA WA MWAKA 2017

TOU1

  Wa kwanza kushoto ni Muasisi wa Tanzania Tour Guide Awards Sadock Mugetta, aliyepo kushot kwake ni Katibu wa Freelance Guides Society of Tanzania(FGST )anayefuata ni mjumbe wa  wakiwa katika maonyesho ya (3)Utalii ya Kilifair  katika uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro. …………………………………………. Na.Vero Ignatus Kilimanjaro.  Wito umetolewa …

Read More »

WAZIRI MKUU AAHIDI KUTUMA MKAGUZI GAIRO

GAIA01

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia mamia ya wakazi wa mji wa Gairo kwenye uwanja wa shule ya msingi Gairo ‘A’ uliofanyika Juni 3, 2017. Waziri Mkuu alikuwa wilayani humo kwa ziara ya siku moja. (Picha na OWM). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza maelezo yanayotolewa na Mbunge wa Gairo, Bw. Ahmed …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA LEO

msangii-1

TAREHE 03.06.2017 MAJIRA YA SAA 06:00HRS ASUBUHI KATIKA MTAA WA KITANGIRI KATA YA KITANGIRI WILAYA YA ILEMELA JIJI NA MKOA WA MWANZA, KULWA MABULA  MIAKA 37, MKAZI WA MTAA WA KITANGIRI AMEKUTWA AKIWA AMEJINYONGA HADI KUFA KWA KUTUMIA KAMBA YA MANILA ALIYOKUWA AMEIFUNGA KWENYE MTI ULIOKUWA KANDO YA BARABARA YA …

Read More »

AFC LEOPARDS YA KENYA YAFANYA MAZOEZI YAKE KARUME LEO

MON1

Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume  jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya ‘SportPesa Super Cup’  inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa …

Read More »

The Changes Of All Product Design Field

Over my years, we witnessed some changes a investment industries. IT was the chosen sector right up until finally a two years ago thereafter it were replaced by the semi conductors and the electronics. Now cleantech is seen rising associated with nowhere. But one sector whicj has been consistently internationally …

Read More »