Wednesday , January 16 2019

Home / 2017 / June / 05

Daily Archives: June 5, 2017

Uchukuzi Yaadhimisha Siku Ya Mazingira NIT

1

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi), Dk. Leonard Chamuriho aliyekuwa Mgeni rasmi akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi zilizopo chini ya sekta hiyo, kabla ya kuanza kwa zoezi la kufanya usafi wa mazingira kwenye Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) na Soko la Mabibo, ikiwa ni …

Read More »

WANANCHI WA CHILONWA, DODOMA WAIOMBA SERIKALI KUJENGA DARAJA.

chil2

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, akisalimia wananchi wa kata ya Chilonwa, wilayani Chamwino mkoani Dodoma alipotembelea wilayani hapo leo, ikiwa ni kutekeleza ahadi yake ya kukagua daraja la  Chilonwa kwa Mbunge wa jimbo la Chilonwa, Mhe. Joel Makanyaga.   Mbunge wa jimbo la Chilonwa, Mhe. …

Read More »

Wafanyakazi wa TBL Group walivyoadhimisha Siku ya Mazingira Duniani

zing6

-washiriki kusafisha mazingira na kupanda miti   Katika kuendeleza mkakati wake wa kutunza mazingira kampuni ya TBL Group na wafanyakazi wake kutoka viwanda vyake vilivyopo katika mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Kilimanjaro,Arusha,na Mbeya wameshirikiana na serikali  na wadau wengine kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani .   Wafanyakazi wa TBL Group walishiriki …

Read More »

UNESCO YATAKA WANANCHI KUENZI URITHI WA DUNIA KWA KUTEMBELEA

UNE

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi. Irina Bokova, katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, leo ametaka wananchi mbalimbali kutenga muda binafsi na kutembelea moja ya maeneo ambayo ni urithi wa dunia yakifadhiliwa na UNESCO.   Amesema anaamini kuwa kwa wananchi kushiriki watashawishika kuendelea kuishi kwenye maeneo hayo na kuyaenzi.   …

Read More »

PEREIRA ATOA NASAHA NZITO KWA VIONGOZI WA CCM Z’BAR.

PERE1

Katibu wa NEC,  Idara ya Organazesheni CCM Taifa,Nd. Pereira Ame Silima   akizungumza na Wajumbe wa  Kamati  ya siasa ya Mkoa ya CCM Mjini pamoja na Wajumbe wa sekreterieti na kamati Tekelezaji za jumuiya za Chama hicho huko  Katika Ukumbi wa CCM  Amani Unguja. Baadhi ya Wajumbe wa  Kamati  ya siasa …

Read More »

KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI DAR ES SALAAM

KILE1

Wadau wa sekta za Mazingira wakiwa katika maandamano ikiwa ni kuadhimisha kilele cha siku ya Mazingira Duniani. ( Picha na Benjamin Sawe-Maelezo) Wadau wa sekta za Mazingira wakiwa katika maandamano ikiwa ni kuadhimisha kilele cha siku ya Mazingira Duniani. ( Picha na Benjamin Sawe-Maelezo) Wadau wa sekta za Mazingira wakiwa …

Read More »

Wakazi 234,398 wa Chalinze kunufaika na mradi wa maji .

CHAL6

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim  Majaliwa wakati wa hafla ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa mfumo wa kusafirisha na kusambaza maji safi pamoja na matenki ya kuhifadhi maji katika Jimbo la Chalinze. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka …

Read More »

Waziri Mbarawa apokea Kivuko cha MV Kazi

RAW5

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Songoro Marine Transport Ltd. Bw. Major Songoro (kulia)  wakati wa makabidhiano ya Kivuko cha MV. KAZI mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mtendaji Mkuu toka Wakala wa Ufundi na Umeme  …

Read More »

Waziri Lukuvi Kupewa Tuzo ya Uwajibikaji na Utendaji Bora

5 (1)

        Na Jonas Kamaleki- MAELEZO. Viongozi wa Dini wanajiandaa kumpa tuzo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi kwa utendaji mzuri uliojaa ubunifu na uwajibikaji. Hayo yameelezwa katika mahojiano maalum jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maadili na Haki za …

Read More »

Vijana Wampongeza Rais Magufuli kwa Ulinzi wa Rasilimali.

19044034_303

Na Jonas Kamaleki -MAELEZO Vijana Wazalendo wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa hatua alizozichukua kuwapinga wanyonyaji wa uchumi na rasilimali za nchi kupitia sekta ya Nishati na Madini. Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wazalendo Tanzania, …

Read More »