Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June / 06

Daily Archives: June 6, 2017

MAREHEMU PHILEMON NDESMBURO AZIKWA MKOANI KILIMANJARO

NDESI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe akiwasili nyumbani kwa marehemu Philemon Ndesamburo wakati alipohudhuria mazishi yake yaliyofanyika leo  Moshi mkoani Kilimanjaro Marehemu Ndesamburo alifariki wiki iliyopita na kuzikwa leo mkoani humo angalia matukio mbalimbali  katika picha kuhusu tukio zima la ibada ya mazishi.(Picha na Dixonbusagagablog).

Read More »

BAADA YA MWENGE WA UHURU KUTOKA RUFIJI ,MWINGINE AUAWA

NJWAYO

Mkuu wa wilaya ya Rufiji ,Juma Njwayo ……………………………………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Erick Mwarabu(37) mkazi wa Kitongoji cha Kazamoyo wilayani Rufiji ,mkoani Pwani ,ameuawa kwa kupigwa risasi mbili za ubavuni na moja ya kichwani . Baadhi ya wakazi wa eneo hilo ,wameeleza marehemu ameuawa usiku  wa kuamkia June 6 mwaka …

Read More »

HAZARD KUKOSA MECHI ZA MWANZO WA MSIMU UJAO CHELSEA

_96357366_hazard

Kiungo mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard atakosa mwanzo wa msimu ujao Ligi ya Premia baada yake kufanyiwa upasuaji kwenye kifungo cha mguu,Hazard mwenye umri wa miaka 26, amekuwa akihusishwa na kuhamia Real Madrid. Aliumia kwenye mfupa kifundo cha mguu wa kulia akifanya mazoezi akiwa an timu ya taifa ya Ubelgiji …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA UJENZI WA MAABARA UKAMILISHWE HARAKA

unnamed

*Azindua usambazaji vifaa vya sayansi *Ni kwa ajili ya shule za sekondari nchini            WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Waziri wa Nchi, Ofisi Rais (TAMISEMI), Bw. George Simbachawene ahakikishe Halmashauri zote zinakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi ili vifaa vilivyoletwa visikae bohari kwa muda mrefu. “Vifaa vya maabara vitatolewa katika …

Read More »

TAIFA STARS YAIVA MISRI, KUREJEA NYUMBANI KESHO JUMATANO

MIS5

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania maarufu kwa jina la Taifa Stars, inatarajiwa kuondoka Cairo, Misri usiku wa kuamkia kesho Jumatano kurejea Dar es Salaam, Tanzania ambako inatarajiwa kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, siku hiyo hiyo saa 6.30 mchana. Timu hiyo iliyosafiri kwa ndege wa …

Read More »

VIJANA WATOA SIRI KUFICHUA MITANDAO YA UHALIFU NCHINI

TAA 2

Na Jonas Kamaleki-MAELEZO Zaidi ya vijana wapatao  1230  wametoa siri nzito kwa  Maaskofu na Mashekhe  kutoka katika Kamati ya Kitaifa ya Maadili , Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini  Nchini  kufichua mtandao  haramu  wa watu  wanaoendesha mauaji na uhalifu mwingine kwenye   mikoa  13, nchini …

Read More »

RAIS AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WA MAGEREZA

unnamed

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa watano wa Magereza kuwa Naibu Makamishna  na  wengine 24 kuwa Makamishna Wasaidizi Waandamizi  wa Magereza kuanzia tarehe  25 mwezi Mei, 2017. Waliopandishwa vyeo kuwa Naibu Kamishna wa Magereza ni …

Read More »

Songwe Airport Yadhibiti ugonjwa wa Ebola

1

Afisa Afya Bw. Peter Alfred (katikati) akikagua hati ya kusafiria ya Bw. Paluku Ngahngondi (kushoto) Mkongo anayeishi Zambia, kabla ya kupanda ndege ya Fastjet kuja Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Afya Bi. Shukrani Nkonjeka akiwa kwenye mashine maalum inayompima kila abiria anayepita mbele yake kwa kupiga picha na …

Read More »

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAENDESHA MAFUNZO KWA AJILI YA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI TANZANIA BARA WA MWAKA 2017/18

1

Mkufunzi anayesimamia mafunzo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi Tanzania Bara wa Mwaka 2017/18 (2017/18 HBS) Sergiy Redyakin akimwelekeza mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) namna ya kujaza dodoso litakalotumika katika utafiti huo unaotarajia kufanyika nchini kuanzia mwezi Agosti, 2017. …

Read More »

KAULIMBIU MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA 20117

index

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULIMBIU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16, 2017 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na asasi za kiraia itaungana na mataifa mengine barani Afrika kusherehekea sikuu ya mtoto wa Afrika kwa Mwaka 2017 Kitaifa mkoani …

Read More »

SIMBA SC UWANJANI LEO MICHUANO YA SPORTPESA!

DV2A5122

Washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Simba leo wanatupa kete yao ya kwanza kwenye michuano ya SportPesa Super Cup watakapomenyana na Nakuru All Stars Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Mchezo huo utaanza Saa 8:00 mchana na utafuatiwa na mchezo …

Read More »

RC TABORA TOENI ELIMU SAHIHI YA MATUMIZI YA VYANDARUA

unnamed

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri akifungua Mkutano jana mjini Tabora wa viongozi mbalimbali kuhusu mpango endelevu wa ugawaji wa vyandarua vyenye viuatilifu vya muda mrefu kupitia vituo vya kutolea huduma za afya na shule msingi mkoani humo.   Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara akisisitiza …

Read More »

BULEMBO ASABABISHA MAAFA CHADEMA NGARA, 71 WATIMKIA CCM LEO

BN640094

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipokea kadia kutoka kwa Niniani Bakhari, aliyekuwa Kada machachari wa Chadema, ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa ndani uliofayika leo katika mji mdogo wa Ngara mkoani Kagera  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Ninian kwa …

Read More »