Sunday , August 19 2018

Home / MICHEZO / JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA

JANG’OMBE BOYS WAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP, YAPIGWA 2-0 NA GOR MAHIA

unnamed

Mshambuliaji wa Jang’ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia,Kagere Medie, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliomalizika hivi punde, Gor Mahia wameshinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Medie Kagere katika dakika ya 63 na 84. Picha kwa hisani ya Montage Ltd.

2

Kiungo wa Jang’ombe Boys, Abdi Kassim, akimiliki mpira mbele ya beki wa Gor Mahia, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
3
Kipa wa Gor Mahia, Shakava Haron, akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
4
Mchezaji wa Jang’ombe Boys, Abdallah Rashid, akimtoka Wafula Innocent, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Montage Ltd

About Alex

Check Also

serie

DSTV SASA KURUSHA SERIE A- KIFURUSHI CHA BOMBA!

Mechi zote 380 kwenye ‘live’ HD ndani ya Bomba Pia Mechi zote 380 za La …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × five =