Wednesday , January 16 2019

Home / 2017 / June / 07

Daily Archives: June 7, 2017

MMOJA APIGWA RISASI RUFIJI NA WAWILI WAOKOTWA WAKIWA WAMEKUFA

unnamed

Nurdin Mohammed Kisinga ,anaedaiwa kupigwa risasi ya kichwa huko kijiji cha Ngomboroni kata ya Umwe Kaskazini,Ikwiriri wilayani Rufiji,akipatiwa matibabu. …………………. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Nurdin Mohammed Kisinga ,amejeruhiwa baada ya kupigwa risasi ya kichwa ,na watu wasiojulikana huko kijiji cha Ngomboroni kata ya Umwe Kaskazini,Ikwiriri wilayani Rufiji. Katika hatua nyingine watu wawili wenye jinsia ya …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AMALIZA ZIARA MUSOMA MJINI LEO

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia boksi lililohifadhiwa samaki tayari kwa kusafirisha nje ya nchi wakati alipotembelea kiwanda cha Kuchakata Samaki cha Musoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye kiwanja cha Mukendo ikiwa …

Read More »

MARAIS WASTAAFU ALI HASSAN MWINYI NA JAKAYA KIKWETE WAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BALOZI SISCO MTIRO JIJINI DAR ES SALAAM

1

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini …

Read More »

Askari wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia Wampongeza JPM

unnamed

Katibu wa Chama cha askari wastaafu waliopigana Vita Kuu ya Pili ya Dunia(TLC) Mzee Sylvester Lubala (katikati) akizungumza na waaandishi wa habari (hawapo pichani) juu kumuunga mkono  Rais Magufuli kwa hatua anazozichukua katika vita ya madawa ya kulevya pamoja na kupiga vita uhujumu uchumi nchini, kulia ni Mwenyekiti wa Chama …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

unnamed

MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUVUNJA USIKU OFISI ZA IDARA YA MAJI WILAYA YA UKEREWE. WATU WA NNE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUPATIKANA NA MIRUNGI KIASI CHA KILOGRAMU 56.75, WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 07/06/2017 MAJIRA YA SAA 04:15HRS ALFAJIRI KATIKA MTAA …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI AAGWA RASMI NA WIZARA

1

  Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Yamungu Kayandabila akizungumza na watumishi alipokua akiwaaga. Dkt. Kayandabila ameteuliwa na Mhe. Rais kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. (BoT). Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Yamungu Kayandabila akipokea …

Read More »

CCM Z’BAR YATOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA PROF. ISHAU

Chama_Cha_Mapinduzi_Logo

SALAMU ZA RAMBI RAMBI ZA CCM KUHUSIANA NA KIFO CHA MAREHEMU PROF. ISHAU ABDULLAH KHAMIS.   CHAMA Cha Mapinduzi kimepokea kwa mshituko, huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewahi kuwa Mjumbe  wa Halmashauri Kuu na Afisa Mwandamizi (Mstaafu) wa Idara ya Organaizesheni CCM Zanzibar Marehemu Prof. Ishau Abdullah Khamis, …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KUMZIKA PROF.ISHAU

3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alijumuika na Waislamu,Viongozi mbali mbali na Wananchi katika kumswalia Marehemu Mzee Prof.Ishau Abdalla Khamis katika Msikiti wa Ijumaa Donge leo,Marehemu aliwahi kushika nyazifa mbali mbali katika Serikalia ya Mapinduzi Zanzibar na Chama cha Mapinduzi. Rais wa Zanzibar na …

Read More »

JPM ALIAHIDI,ANATEKELEZA

unnamed

Na Benjamin Sawe. Maelezo Upo usemi wa wahenga usemao “mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.” Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kuhusiana na harakati za Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kuhakikisha kuwa Sekta ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi inaimarika. Dkt. John Pombe Magufuli …

Read More »