Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 08

Daily Archives: June 8, 2017

Wasindikaji Wadogo 1287 Wanufaika na TFDA

1

Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Raymond Wigenge akifungua mafunzo ya wasindikaji wadogo wa vyakula (hawapo pichani) ambayo yaliatibiwa na Mamlaka hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Meneja wa  Ukaguzi na Ufuatiliaji wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Justin Makisi akitoa …

Read More »

SPIKA NDUGAI APATA UGENI WA BALOZI WA MOROCCO NCHINI TANZANIA PAMOJA NA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

unnamed

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa Abdelilah Benryane (kushoto) pale alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akizungumza jambo pale alipopata ugeni wa  Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa Abdelilah Benryane (kushoto) katika kikao kilichofanyika leo …

Read More »

WAZIRI WA MALIASILI, PROF. JUMANNE MAGHEMBE AFANYA MAZUNGUMZO BALOZI WA FINLAND NA UJUMBE WA UBALOZI WA MAREKANI LEO MJINI DODOMA

magha

Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Finland nchini, Pekka Hukka ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili namna ya kuimarisha sekta ya misitu nchini ikiwemo kuwakaribisha wawekezaji kutoka Finland kuwekeza katika viwanda vya kuchakata mazao ya misitu pamoja na uzalishaji wa nishati mbadala. Waziri wa Maliasili …

Read More »

SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI KUHUSIANA NA KIFO CHA MAREHEMU , MZEE KHAMIS MKADARA.

index

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimepokea kwa mshituko  na  masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Mjumbe  wa Baraza la Wazee wa CCM Pemba,  Marehemu Mzee Khamis Mkadara aliyefariki Juni 7, 2017 baada ya kusumbuliwa muda mrefu na Maradhi ya kawaida na kuzikwa Kijijini kwao Wawi Mkoa wa Kusini     Pemba. Naibu Katibu Mkuu wa CCM …

Read More »

Afrika Mashariki inalenga kupanua na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii miongoni mwa nchi wananchama

images

Na Immaculate Makilika. Soko la pamoja la Afrika Mashariki linalenga kupanua na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii miongoni mwa nchi wananchama kwa maslahi yao. Hii inatoa fursa  kwa raia wote na hasa Watanzania ambao wanaonekana hawafahamu ama hawatumii fursa hizo kama raia wengine wa nchi wanachama. Ryunosuke Satoro, mwandishi …

Read More »

Dk.Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga

WAU3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar   walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 08/06/2017. Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar …

Read More »

PATO LA MTANZANIA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11.

unnamed

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi ya mwaka 2016 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 Bungeni Mjini Dodoma.  Na Raymond Mushumbusi MAELEZO DODOMA JUNI 08/2017 Pato la kila mtanzania kwa mwaka 2016 limeongezeka kwa aslimia 11 kutoka shillingi …

Read More »

WAZEE KUPATIWA MATIBABU KWA VITAMBULISHO MAALUM

unnamed

Jovina Bujulu,MAELEZO.              Hivi karibuni , Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu  ameagiza Halmashauri zote nchini kuwaadalia na kuwapa wazee vitambulisho  vya kupata huduma za matibabu bila malipo katika hospitali , vituo vya afya na zahanati  za umma katika maeneo yao. Waziri Ummy …

Read More »