Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 09

Daily Archives: June 9, 2017

NAIBU WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO AKUTANA NA VIONGOZI WA TANZANIA MEDIA FUND (TMF) OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

4

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akizungumza na viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo Kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi. Meneja Huduma  kutoka Tanzania …

Read More »

JAFO AKUNWA NA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA SERIKALI NYAMAGANA

unnamed

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua utekelezaji wa maagizo katika Kituo cha Afya Nyamagana Jijini Mwanza Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo wakipunga mikono katika uzinduzi wa mashindano ya Umiseta jana jijini Mwanza Wananchi wakiwa katika dirisha la …

Read More »

RAIS MAGUFULI APONGEZWA KWA UZALENDO

1

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi  Hassan Tati akifungua kikao maalum cha halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Ikungi Mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu  akitoa salaam za serikali kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM wilaya. Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi  Hassan Tati akiongoza kikao cha halmashauri …

Read More »

MAGUFULI NI MAKTOUM WA TANZANIA

mtaka

Mkuu wa Mkoa wa Simuyu Mhe Antony Mtaka (Picha Na Mathias Canal) Mwandishi ni ANTHONY MTAKA Makala hii inapatikana Katika gazeti la Raia Mwema la tarehe 08.06.2017 KITABU cha *My Vision* (Dira Yangu) kilichoandikwa na mtawala wa Dubai, Sheikh Mohamed Bin Rashid Ali Maktoum kinaeleza wazi kwamba mabadiliko yoyote ya kiuchumi  kwa nchi  …

Read More »

Wasomi, Wananchi Wapongeza Bajeti

Mhe.Mpango

Jovina Bujulu na Benjamin Sawe-MAELEZO Baadhi ya wasomi na wananchi wameisifu bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/18 wakisema kuwa imelenga kumkomboa mwananchi na imeakisi ahadi za Rais za kusaidia Tanzania ya uchumi wa viwanda. Akizungumzia bajeti hiyo, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Dk. Benson Bana amesema kuwa …

Read More »

WAAMUZI WA DJIBOUTI KUCHEZESHA TAIFA STARS v LESOTHO

00350326 a6f4f629786ed13e751d88b7c3148421 arc614x376 w1200

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limetangaza wamuzi wa mchezo kati ya Tanzania na Lesotho unaotarajiwa kufanyika Jumamosi Juni 10, mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa CAF, waamuzi hao ni Abdillah Mahamoud – atakayekuwa mwamuzi wa kati wakati wasaidizi wake ni …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 6.1

3

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephraim Kwesigaboakiongea na wanahabari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Mei  2017 jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephraim …

Read More »

TANGAZO LA UDAHILI

index

TANGAZO WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KWAMBA IMEANZA KUPOKEA MAOMBI YA WANAOTAKA KUJIUNGA NA MASOMO KATIKA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII (CDTIs) NA MAENDELEO YA JAMII UFUNDI (CDTTIs). VYUO VINAVYOTOA KOZI YA MAENDELEO YA JAMII NI BUHARE, MLALE, MONDULI, RUAHA, RUNGEMBA NA …

Read More »

Man United kumtema Ibrahimovic

_96406435_d724d4d1-5e82-47b7-8ca4-43345e911096

Timu ya Man united huenda isimuongeze mkataba mpya mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic, mkataba wake wa sasa unamalizika Juni 30. Zlatan mwenye miaka 35 alisaini mkataba wa mwaka mmoja na kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi. Lakini mpaka sasa hakuna mjadala wa mkataba mpya na jeraha la goti alilopata mwezi …

Read More »