Monday , October 22 2018

Home / 2017 / June / 10

Daily Archives: June 10, 2017

MABONDIA ABDALLAH PAZI NA JAKOBO MAGANGA WASAINI KUZIPIGA JULAI 15

18582361_1384143671631772_2781496467335852807_n

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Dotto Texas katikati akiwainua mikono juu mabondia Jakobo Maganga kutoka Tanga kushoto na Abdalla Pazi ‘Dulla Mbabe’ wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika julai 15 jijini Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS Na Mwandishi Wetu MABONDIA Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ wa Dar …

Read More »

USAJILI WA WACHEZAJI MSIMU WA 2017/2018,KUFUNGULIWA JUNI 15.

IMG_6866_0

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linatangaza kufungua dirisha la usajili kwa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa mashindano wa 2017/2018. Dirisha hilo linafunguliwa Juni 15, mwaka huu na litafungwa Agosti …

Read More »

Mhe. Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson Awajulia Hali Watoto Wanawaosubiri kufanyiwa Upasuaji Wa Moyo Katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

10

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimpokea  Mhe. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Tulia Ackson alipotembelea Taasisi hiyo leo kwa ajili ya kuwajulia hali watoto  wanawaosubiri kufanyiwa upasuaji. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. …

Read More »

Wafamasia Watakiwa kuzingatia Maadili

FAM4

Msajili wa Baraza la Famasi Tanzania Bi. Elizabeth Shekalaghe akisisitiza jambo wakati akifungua mafunzo ya siku moja kwa wafamasia wanaotarajiwa kuanza kutoa huduma mara baada ya kuhitimu masomo yao na kula kiapo cha kuzingatia maadili ya taaluma hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Naibu Msajili wa Baraza hilo Bi. Zainabu …

Read More »

WATANZANIA WASHAURIWA KUBADILI MTAZAMO KUHUSU UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

TDA2

Mwezeshaji wa Kongamano hilo, Prof. Honest Ngowi (aliyesimama) akizungumza katika Kongamano la Mwaka la Uwezeshaji. Wengine picha ni watoa mada mbalimbali walioshiriki katika Kongamano hilo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (aliyesimama) akichangia nafasi ya Benki yake katika kuchagiza uwezeshaji wananchi kiuchumi kupitia mnyororo mzima wa ongezeko la …

Read More »

MANISPAA YA UBUNGO YAINGIA MIKATABA KAZI YA BILIONI NNE

MANI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo (Kulia) akikabidhi mikataba ya Wazabuni, Mwingine ni Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Me Boniface Jacob (Katikati) Zoezi la utiliaji saini Mikataba kazi za Manispaa ya Ubungo likiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo (Kulia) na Mstahiki Meya …

Read More »